Single Maza kiboko ya Wavulana

Single Maza kiboko ya Wavulana

S/mother’s wengi/wote wameshaharibika mfumo wao wa ufikili
Hi ni kutokana na jamii inavyowaona/mfano ni hapa jukwaani pia kila siku tunawaongelea na kuwasema, japo sababu kubwa ni wao wenyewe!!
Hivyo wao ndio sababu ya haya yote

Utamchukua leo mtaanza maisha
Utajitoa na kumpenda kama mkeo..
Anasuka na kupendeza...
Kwa bahati mbaya nowadays kuna mitandao ya kijamii inatuunganisha!!
Anaweka picha zake huko ,jamaa anamuona anamtamani
Anaanza kumtongoza[emoji3]
Kwasababu wanakiunganishi(mtoto wao) inakua ngumu kumblock
Atakataa leo,kesho na keshokutwa....mtondogoo atakuja na gia ya mtoto

My brother umekwisha!!!
Na kwasababu hiyo inatuwia vigumu sana kuwachukua
Je hapa nan tatizo
Yeye anajua yupo na mimi iweje tena aende huko?
Mbaya zaidi, utanipa hadhi ya juu mbususu yake. Cha kusikitisha unasikia jamaa Fulani mme wa mtu anakula. Ukiwa Kama kijan hujaoa inauma sana. Jamaa lenyewe ukilicheki limempenda kwa kua wewe unamtumza, anapendeza vizuri. Ukiliachia majukumu linalala mbele anabaki hajui afanye nini
 
S/mother’s wengi/wote wameshaharibika mfumo wao wa ufikili
Hi ni kutokana na jamii inavyowaona/mfano ni hapa jukwaani pia kila siku tunawaongelea na kuwasema, japo sababu kubwa ni wao wenyewe!!
Hivyo wao ndio sababu ya haya yote

Utamchukua leo mtaanza maisha
Utajitoa na kumpenda kama mkeo..
Anasuka na kupendeza...
Kwa bahati mbaya nowadays kuna mitandao ya kijamii inatuunganisha!!
Anaweka picha zake huko ,jamaa anamuona anamtamani
Anaanza kumtongoza[emoji3]
Kwasababu wanakiunganishi(mtoto wao) inakua ngumu kumblock
Atakataa leo,kesho na keshokutwa....mtondogoo atakuja na gia ya mtoto

My brother umekwisha!!!
Na kwasababu hiyo inatuwia vigumu sana kuwachukua
Je hapa nan tatizo
Yeye anajua yupo na mimi iweje tena aende huko?
Asante mkuu Kwa kufungua code

Tunaendelea kupata uzoefu tofauti tofauti

Shukrani sana
 
Mwanamke Bora aolewe then Apate taraka yake kihalali then aanze kuwa single mother , kuliko Mtu kupewa mimba na kuzalia kwao hiyo haifai kabisa
Mkuu mimi ninavyo jua Single mother ni yule mwanamke aliye zalishwa bila kuolewa, Kwaiyo ina maana mwanamke aliye pewa talaka na mume naye anaitwa single mother na siyo mjane ?

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Hii mkuu nayo ni code mpya

Ngoja tupate muongozo hapa
 
Ni jambo la ujasiri sana kuoa binti/mwanamke aliyezalishwa na mwanaume mwingine aliyeshindwa kumuoa.
 
Mimi Kwa kweli nisiwe mnafiki katika hili kwa uzoefu wangu na hao wanawake niliowakuta na watoto......Kwa kweli simshauri kijana anayeanza maisha kuanza maisha na mwanamke aliyekwisha zaa mtoto........

Ni mtihani mkubwa sana Kwa kijana na ni vigumu sana kuushinda.........

Kwa umri wangu huu nimeyaona mengi na yamenikuta mengi kuhusu single mothers lakini mengi katika hayo ni mabaya.......

Nasisitiza tena Kwa kijana ambaye anayeanza maisha na anatafuta mwenza ambaye waje wasaidiane maisha si vizuri kuoa single mothers......ila Kwa mtu mzima ambaye umeshaji establish kitambo na una nyenzo na mali zinazoweza kukuletea hela hata kama umelala unaweza kuoa single mother na mkaishi Kwa amani kabisa........
 
Mkuu mbona wa Zanzibar wao mwanamke aliyeolewa bahati mbaya akapewa talaka( akaachwa) wao wana muhita mjane, na mwanamke aliyefiwa na mume we wanamuita kizuka.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Mjane- Ni mwanamke aliyefiwa na mumewe
Mgane- Ni mwanamume aliyefiwa na mkewe
Kizuka- Neno hili hutumika ukanda wote wa pwani katika bahari ya Hindi likinasibishwa na Mwanamke aliyefiwa na mumewe kipindi Cha karibuni na amewekwa eda.
 
Ila tuache utani washkaji wanawake wanapitia changamoto nyingi sana
Na hizo changamoto wanajitakia. Hata ukiwabeba kiasi gan, ipo siko watakata hiyo mbeleko, kuonesha na wao wapo. Just kuonesha tu watambulike na wao. Logic behind, unakuta haipo. Ni just kaamua tu.
 
Mimi single mother wanachosha hapa tupo nao wawili wanasumbua wanaume za watu wachumba za watu wanafanyaaajabu ili wanaowapate mahitaji ya muhimu .

Single Mother
Imetokea tu au wengine wanaliganda sehemu wasiotakiwa ila kweli wanaume wakisikia unamtoto hata marioo anasepa inakuwa shida kulea kitu ya mtu mwingine
 
Asante kwa maneno yako na maoni yako

Wewe ni Kati ya Wavulana ambao nimewaongelea hapo,huwa hamkosi sababu maadam Tu mhalalishe uvulana wenu.

Hakuna kitu cha kijasiri kama kumpenda mwanamke mwenye mtoto,upo tayar kulea mtoto wake na kumfanya wako,hakika hayo ni mapenzi makubwa Sana na inaonyesha jinsi gani mwanaume huyo ni husband material,anaweza kushow love Kwa familia yake,ndio maana nikasema Wanaume waishi Maisha marefu coz hawa ndio wanafanya jamii iwe katika uangalizi wao.

wavulana hata mkimpa mimba binti Tu mnakimbia,je ufaza mtauweza wapi?

kongole Kwa wanaume wote!
Chief hapa tunaongopeana, hata kwa upande wa dini yangu ya kikristo bado unatuongopea.
 
Back
Top Bottom