Single Maza kiboko ya Wavulana

Single Maza kiboko ya Wavulana

Mpaka sasa umepata single mazas wangapi huko pm?
Jamaa bhana 😂 halaf ni ustadhi wewe ..IttaqLLAH......Nina single mom ..sijutii ...hizi kelele za vijana wa humu wakikua wataacha tu..

Sisi watu wazima hatuwezi kufundishwa na vijana wadogo....

Hizi kelele za kwamba eti kumlisha na kumuhudumia mtoto asiye wako inauma Ni za kitoto..Mbona tunasaidia watu wengi huku kitaa..

Vijana tafuteni pesa ndio mwiba wa kila kitu...kanuni Ni ileile tu Demu akizingua piga chini..ova
 
Ni binadamu Ndio, Ila mtoto wao kwanza. Wanaonesha care na upendo kwa watoto wao kuliko wewe baba na watoto mliowazaa, hua tunaweza maana yake ni kwamba yule jamaa wa mwanzo anapendwa na kuthaminiwa sana kuliko nyie wengine.
Je hapa unazungumzia mtoto wake ambaye unaishi nae pamoja au yupo nje huko
 
Okay, ninamaanisha kuwa tayari umetanguliwa kwa magoli utawezaje kudhibiti hilo wakati tayari limetokea?
Kudhibiti kwa maana gani,yaani ana mtoto tayar ndio wauliza utadhibiti vipi asizae tena nje au unamaanisha kipi
 
Kwa maoni yangu,kuendelea kuzaa nje au kutoendelea inategemea na Tabia au hulka ya huyo mwanamke

Hii hutokea hata Kwa hawa ambao hawajazaq bado,kama utulivu ni zero lolote laweza tokea

Ila Kwa single Maza ambaye akapata mtu akamuoa Kwa asilimia kubwa hatoruhusu kutokea Hilo kwasababu kwake yeye kupata hifadhi Kwa mwanaume mwengine na kulea mtoto wake ni bahati kubwa Sana na ni Jambo la kujivunia Sana,lazima atakuwa Makini ili asipoteze nafasi aliyopata..

Kikubwa iwe Kwa single Maza au kigoli ni kuomba Mungu upate mtu sahihi

Shukrani
 
Anaish nae
Daah hapa nipo njia panda kwasababu,unajua Kwa kawaida mama hupenda wanawe wote unless kama huyo mume nae ana mtoto wa nje,hapo ndo mwanamke hataonyesha mapenzi Kwa hao watoto

Lakini kama ni damu yake hapo naona ni Jambo jipya kabisa Kwa mwanamke kubagua watoto wake
 
Usipumbazwe na maneno ya humu.
Hawa single maza tunawaponda tu hapa jukwaan ila huku field ndio tunakomaa nao..

Ka single maza kangu kamoja hiv dah..katam sana.

Ila hapa jukwaan lazima tuwapopoe si unajua maisha bila unafiki hayaendi?
 
Ishu single mama issue ni je mtoto yupo Kwa baba yake au Kila kitu single mother kama ni single mother na ANAISHI NA MTOTO WAKE YAAN BABA YAKE HAWAJIBIKI HAPO TATIZO!!!!ILA KAMA NI SINGLE MOTHER NA BABA YAKE KAMCHUA NI FRESH TU
Kwahiyo wewe unakimbia majukumu ya kumlea mtoto ambaye sio wako au sio?
 
Usipumbazwe na maneno ya humu.
Hawa single maza tunawaponda tu hapa jukwaan ila huku field ndio tunakomaa nao..

Ka single maza kangu kamoja hiv dah..katam sana.

Ila hapa jukwaan lazima tuwapopoe si unajua maisha bila unafiki hayaendi?
Afadhali wewe hujawa mnafiki mkuu

Ebu chukua popcorn Kwa mangi mwambie bey atasimamia show
 
Jamaa bhana 😂 halaf ni ustadhi wewe ..IttaqLLAH......Nina single mom ..sijutii ...hizi kelele za vijana wa humu wakikua wataacha tu..

Sisi watu wazima hatuwezi kufundishwa na vijana wadogo....

Hizi kelele za kwamba eti kumlisha na kumuhudumia mtoto asiye wako inauma Ni za kitoto..Mbona tunasaidia watu wengi huku kitaa..

Vijana tafuteni pesa ndio mwiba wa kila kitu...kanuni Ni ileile tu Demu akizingua piga chini..ova
Salute kwako mkuu

Nakubaliana na wewe Kwa asilia zote mkuu

Shukrani
 
Back
Top Bottom