Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni kauli yenye hekima Sana mkuuSijui kwanini ila binafsi napenda mwanamke mwelewa na anayejitambua mengine hayana nafasi kwangu.
Sio kweliDaah hapa nipo njia panda kwasababu,unajua Kwa kawaida mama hupenda wanawe wote unless kama huyo mume nae ana mtoto wa nje,hapo ndo mwanamke hataonyesha mapenzi Kwa hao watoto
Lakini kama ni damu yake hapo naona ni Jambo jipya kabisa Kwa mwanamke kubagua watoto wake
Ukiwa kama mwanadamu lazima uwe na matamanio. So mnasema hamna mpango wa kuolewa means mnampango wa kuziniwa tu. Na ikitokea imeingia mimba nyingine na nyingine ni kwa kila mtoto kuwa na baba yake. Mpaka hapa tayari mnatupa picha single mother ni watu wa aina gani. Sio kwamba tuna wanyanyapaa but mifumo ya maisha mlochagua inatupa wakati mgumu sana kuwaelewa nyie viumbeMtuache wengine tushajikubali na usingle mama wetu na hatuna habari na ndoa na wala hatuzifikirii achilia mbali kuzitaka
Kikubwa kwetu ni afya , furaha na uwezo wa kutimiza mahitaji ya watoto wetu basi,
Kila mtu anaishi na kupewa kwa kile anachostahili
So sisi single mama tumewepa kile tunachostahili,haina haja ya kuumia kwa maneno wanayoongea waja ,wala kujishusha thamani na kufikia point ya kutamani au kujifananisha na hao wenzentu ambao si single mama ,walio kwenye ndoa zao na waume zao
Kila mtu anaishi kwa nafasi yake na hii ndo nafasi yetu
Tulishapewa watoto na ni wa kwetu na tushukuru kwa uwepo wao (amna kujuta eti kwanini ilitokea mimi nikawa single mama)
Kubakwa,mjane,kutalakiwa au kutelekezwa vyovyote vile tusianze kujutia mpaka tukajiona hatustahili kwenye jamii
Khaa ebu tuishini maisha yetu na watoto wetu ACHANENI NA HAWA WAJA WA MUNGU
Ndo ishakua sasa
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Mtoa mada we single mother au umeowa single mother mbona unatokwa na Mipovu?Hizi ni baadhi ya kauli za wavulana juu ya single maza "ukioa single Maza ukae tayar kuchapiwa", "single Maza sio WA mtu mmoja",,, "single Maza ana wakwe pande mbili na mawifi pande mbili",,,"unaoa single Maza Una akili timamu kweli?"
Mkuu hawa bado watoto kuna vitu vingine tuwaache wakue watajua wenyewe.Sio kweli
Mtoto daraja la kwanza ni huyo uliyemkuta nae.
Wale wengine ni raia daraja la pili, na itahitajika focus yako kuwaendeleza.
Na kama alikubali kukaa na wewe akiwa hana upendo wa dhati,
Subiri watoto wawe wakubwa basi utaona kila aina ya vimbwanga na kutothaminiwa juu.
Atakuwa yeye na mtoto wake wakipanga mipango usio shirikishwa na akiwa wa kiume utaisoma namba.
Ila unajitahidi kupingana na uhalisia
Sijui lengo lako ni nini?
Point niliyo isoma kwako ni kama hajakupenda Kwa dhati ndio huenda vimbwanga vinatokeaSio kweli
Mtoto daraja la kwanza ni huyo uliyemkuta nae.
Wale wengine ni raia daraja la pili, na itahitajika focus yako kuwaendeleza.
Na kama alikubali kukaa na wewe akiwa hana upendo wa dhati,
Subiri watoto wawe wakubwa basi utaona kila aina ya vimbwanga na kutothaminiwa juu.
Atakuwa yeye na mtoto wake wakipanga mipango usio shirikishwa na akiwa wa kiume utaisoma namba.
Ila unajitahidi kupingana na uhalisia
Sijui lengo lako ni nini?
Mimi sio WA nadharia Tu hata vitendo nimefanya piaMtoa mada we single mother au umeowa single mother mbona unatokwa na Mipovu?
Kiufupi nimekufatilia nyuzi zako kadhaa nimeona we ni mtu wakusoma mavitabu ko akili yako imejaa nadharia zidi kuliko uhalisia. Tunakusubiri ukue then tutazungumza nawewe
Je ambao sio single Maza hawazini nje na kuzaa na wanaume wengine mkuu?Mkuu hawa bado watoto kuna vitu vingine tuwaache wakue watajua wenyewe.
Juzi tumetoka kusuruhisha ndoa: mwanamke(single mother) kazini na baba wa mtoto wake wa nje then anajitetea kwenye kikao et kisa kaambiwa na mganga ili mtoto Wake huyo apone ni lazima akutane kimwili na mzazi mwenzake.
Pole mkuu ndio changamoto za MaishaNgoja ninyamaze kimya tu...
Ila kaka kwa YALIYONIKUTA kwa hao dada zangu mimi BINAFSI
Naomba nikae upande wa wabaya! Tu
Pole mkuu ndio changamoto za Maisha
Kwenye kundi la mamba hata kenge nao wapo
Kama hutojali unaweza fungua code tujifunze kitu kama hutaki usijali mkuu
KheMkuu hawa bado watoto kuna vitu vingine tuwaache wakue watajua wenyewe.
Juzi tumetoka kusuruhisha ndoa: mwanamke(single mother) kazini na baba wa mtoto wake wa nje then anajitetea kwenye kikao et kisa kaambiwa na mganga ili mtoto Wake huyo apone ni lazima akutane kimwili na mzazi mwenzake.
😂😂😂Kwa alichonifanya yule single maza nikioa single maza niiteni bull dog nimekaa pale kwenye uzi wa riki boy
Ni ushauri wa bure tu kutokana na Mikasa iliyotukuta, wengi tulikua wabishi. Tuliambiwa tukakataa,Kama hupendi kuoa single mother si usioe? Huwezi kuoa wanawake wote duniani, kila mmoja ana machaguo yake.
Yanini kuwafanya wengine wajisikie vibaya kwa maandiko yako, kwann unapiga kampeni mbaya dhidi ya watu wengine?
Hatma yako ni mbaya usipoomba msamaha.