Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
- Thread starter
- #181
Don't generalise, wapo masingle mums wanaojielewa sana.Walishaachika na wazazi wenza ila wanasimamia majukumu ya watoto wao kwa asilimia zote Wala hawamtegemei mtu Wala kudanga.
Kwanza mtoa mada unatakiwa uelewe kwamba Hakuna single mum aliyejitakia Hali hiyo ya kuwa single mother, maybe ilitokea kwa bahati mbaya labda mtu alifiwa na mzazi mwenza na akaapa kuishi hivyo bila ya kuolewa Wala kudanga.
Mungu na awafanyie wepesi masingle mothers wote Duniani 🙏
Mkuu uishi Maisha marefu
Shukrani