Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
- Thread starter
- #21
Wavulana utawajua Tu!Msimamo ni ule ule single mother hawafai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wavulana utawajua Tu!Msimamo ni ule ule single mother hawafai
kununua gazeti jioni ni raha maana linakuwa halina mpinzani watu wanakuwa wameshalisoma na habari zake hutangazwa mpaka kwa redio na tv.Wana msemo mwingine et KUOA SINGO MAZA NI SAWA NA KUNUNUA GAZETI JIONI
76%((Wapo single mother wachache ambao kweli waliozaa nao wana stahili lawama ,ila wengi wao ni wao wenyewe wameyataka na mara nyingi huambiwaga ukweli ila hawa helewi))
Nimekoti hayo maneno yako kuonyesha nakazia mkuu
Umetisha Sana mkuukununua gazeti jioni ni raha maana linakuwa halina mpinzani watu wanakuwa wameshalisoma na habari zake hutangazwa mpaka kwa redio na tv.
Wapo sahihi mkuu kuna ndugu yetu kaoa Single mother maisha yao ni tofauti naamini hasinge oa single mother changamoto anazozipitia zisinge kuwepo, mfano kwenye kujenga uchumi wa familia utakuta single mother anajenga uchumi wa mtoto wake na malengo yake anayaweka kwa mtoto wake wa nje ni tofauti angekuwa hajazaa wala hasinge waza kujenga uchumi wake binafsi na mtoto wake, Single mother wengi wakiolewa wengi wao wanakuwa na malengo yao binafsi, yani mnaingia kwenye ndoa na mwanamke huku yeye akiwa na malengo tofauti ya familia yani yeye anaingia kwenye ndoa ili mtoto wake hasiteseke na awe maisha mazuri, ni tofauti na ukioa mwanamke ambaye hajawahi kuzaa yeye atakuwa anawaza watoto mliozaa naye.Wanazingua Sana mkuu
Wananikera Sana hawa jamaa!
Ukitaka mke wa kucheza nae kwa furaha oa binti / mwali / kigori.
Ukitaka mke wa kukutunza / malezi mazuri oa single mother au mjane au mtalikiwa.
Na wengi tunachanganya Kati ya single mother na mjane mwenye watoto.
Kwa single mother ukimpiga kwenye mshono baasi kwisha habari yake utaenjoy sana. Sasa huo mshono wake utakutana changamoto zake (Umri, tabia na makuzi ya awali ya mtoto).
Single mother saviour aya bhana una point ila umeziandika hovyo
Wapo sahihi mkuu kuna ndugu yetu kaoa Single mother maisha yao ni tofauti naamini hasinge oa single mother changamoto anazozipitia zisinge kuwepo, mfano kwenye kujenga uchumi wa familia utakuta single mother anajenga uchumi wa mtoto wake na malengo yake anayaweka kwa mtoto wake wa nje ni tofauti angekuwa hajazaa wala hasinge waza kujenga uchumi wake binafsi na mtoto wake, Single mother wengi wakiolewa wengi wao wanakuwa na malengo yao binafsi, yani mnaingia kwenye ndoa na mwanamke huku yeye akiwa na malengo tofauti ya familia yani yeye anaingia kwenye ndoa ili mtoto wake hasiteseke na awe maisha mazuri, ni tofauti na ukioa mwanamke ambaye hajawahi kuzaa yeye atakuwa anawaza watoto mliozaa naye.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Fanyeni kaaziHizi ni baadhi ya kauli za wavulana juu ya single maza "ukioa single Maza ukae tayar kuchapiwa", "single Maza sio WA mtu mmoja",,, "single Maza ana wakwe pande mbili na mawifi pande mbili",,,"unaoa single Maza Una akili timamu kweli?"
Swali kwenu wavulana hao ambao sio single Maza mnao chapiwa kwenye ndoa zenu hawana mawifi pande mbili? Hawana wakwe pande mbili? Na Hadi mnachapiwa hivi nyie mnaakili kweli?
Sikilizeni nyie wavulana tofauti ya single Maza walio zalishwa na wake zenu walio zalishwa ndani ya ndoa zenu na wanaume wengine ni moja Tu, mawifi na wakwe WA single Maza wanajulikana tayar ila nyie WA kwenu hawajulikani bado, kwahiyo msishupalie Sana kauli zenu juu ya single Maza wakati nyie mnalea watoto ambao sio wenu!
Mfano mzuri ni Yule mchungaji na katibu,nadhani mmeona alioa mwanamke sio single Maza lkn watoto Kwa mwonekano wanaonekana sio WA mwenye mke,sijui mmenielewa vizuri hapo? Kwahiyo msiwa nyanyase masingle Maza coz hawa kupenda kuwa hivyo Ila ni mazingira Tu sometime Yana wafanya wajikute katika Hali hiyo.
Mnawasema vibaya Sana single Maza,je nyie Hamna wadogo zenu WA kike au dada zenu WA kike,je shangazi zenu au mama zenu wadogo? Mnapinga kabisa wasiolewe,ebu chukulia ndio mdogo wako au dada yako je ungependa aziniwe tu kila siku Bila kuolewa?
Kutwa kucha mnashabikia upumbavu tu dhidi ya single Maza, mapovu yanawatoka kisa mnawapiga Vita single Maza wa watu Tu tena saa nyingine nyie ndio sababu ya wao kuwa single Maza. Ebu acheni huo upuuzi mara moja, kuna wengine wamebakwa na wengine ni manyanyaso ya kijinsia halafu nyie mnaongea ujinga Tu dhidi Yao!
Kwenu wanaume unapo amua kumuoa single Maza basi hakikisha unapenda na watoto wake, hakuna mwanamke anayependa kuishi mbali na mtoto wake, huwa wana majonzi Sana baadhi ya wanawe wanaishi vizur halafu mwanae mwingine sijui yupo kwa mjomba huko au shangazi hata kula yake ni shida, halafu unategemea utapewa penzi zuri na mkeo wakati humpendi mwanae? Hayo mahaba ya kukupa wewe yatatokea wapi wakati unabagua wanawe?
Wanaume wenzangu mjitafakari sana na mfanye mkeo afurahie uwepo wa wanawe wote ndani ya familia moja, wanaume Mungu awape Maisha marefu.
Ni hayo Tu!
Mengi uliyoyasema ni sahihi lakin hapa chini umebugi
Kwahiyo msiwa nyanyase masingle Maza coz hawa kupenda kuwa hivyo Ila ni mazingira Tu sometime Yana wafanya wajikute katika Hali hiyo.
kuna vijinga vinatega mbususu hovyo hovyo pasipo kujua hata kama mwanaume kwa muda huo anataka mtoto,wanawake wengi sasa hawajali wao ni kutega tu,inabid wafanye mapenzi kwa akili
Fanyeni kaazi
Nawapenda sana single mother. Wapo matured.
😡😡😡KUOA SINGO MAZA NI KUNUNUA GAZETI JIONI.. HUO NDO UKWELI TAFUTA KIGOLI OA, ACHANA NA MAJITU YALIYOZALISHWA HATA KAMA NI DADA YANGU SHAURI YAKE
...
Hata ujanja wa kuoa hunaKwahiyo unafikir tunaoa single Maza ili watulishe au...
Pole Sana mkuu Kwa mtazamo huo