katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,124
- 5,745
Wewe binti mbona hutulii??Sitafuti mwanaume wakuoa wakampani kama uko arusha nitakuwa ninastress sana kwa sababu ya mitihani if so natafuta kampani ila arusha ndio advantage kabisa.
Just company for a company.
Kama mimi nikatoto kazuri apate lakatoto kabaya no sex.
Just a company
1. Awe handsome
2.Ajue kumtoa mtu stress
3.Must be polite nice voice
4.someone who knows how to behave
5.Awe serious kunipa company couse sipendi kudate na wahumu napenda charting only mtaani hawajanichoka bado.
Muwe na usiku mwema
Hivi humu kuna anaependa kudate na wewe? Yule wa m60 vipi hawezi kukupa kampani?Sitafuti mwanaume wakuoa wakampani kama uko arusha nitakuwa ninastress sana kwa sababu ya mitihani if so natafuta kampani ila arusha ndio advantage kabisa.
Just company for a company.
Kama mimi nikatoto kazuri apate lakatoto kabaya no sex.
Just a company
1. Awe handsome
2.Ajue kumtoa mtu stress
3.Must be polite nice voice
4.someone who knows how to behave
5.Awe serious kunipa company couse sipendi kudate na wahumu napenda charting only mtaani hawajanichoka bado.
Muwe na usiku mwema
Upo kwenye siku zako?Nilitaka kujua nani hajalala