Single Men

Single Men

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,124
Reaction score
5,745
Sitafuti mwanaume wakuoa wakampani kama uko arusha nitakuwa ninastress sana kwa sababu ya mitihani if so natafuta kampani ila arusha ndio advantage kabisa.
Just company for a company.
Kama mimi nikatoto kazuri apate lakatoto kabaya no sex.
Just a company
1. Awe handsome
2.Ajue kumtoa mtu stress
3.Must be polite nice voice
4.someone who knows how to behave
5.Awe serious kunipa company couse sipendi kudate na wahumu napenda charting only mtaani hawajanichoka bado.
Muwe na usiku mwema
 
Wewe binti mbona hutulii??

Si umetuaga wewe? Na tumekupa baraka zote huko uendako vipi mbona bado unahangaika humu jukwaani?
 
Sitafuti mwanaume wakuoa wakampani kama uko arusha nitakuwa ninastress sana kwa sababu ya mitihani if so natafuta kampani ila arusha ndio advantage kabisa.
Just company for a company.
Kama mimi nikatoto kazuri apate lakatoto kabaya no sex.
Just a company
1. Awe handsome
2.Ajue kumtoa mtu stress
3.Must be polite nice voice
4.someone who knows how to behave
5.Awe serious kunipa company couse sipendi kudate na wahumu napenda charting only mtaani hawajanichoka bado.
Muwe na usiku mwema
Hivi humu kuna anaependa kudate na wewe? Yule wa m60 vipi hawezi kukupa kampani?
 
Hivi wewe unahabari hata dege la marekani limeanguka lenye software ghali duniani
 
Katoto kazuri... Ivi nilin utaacha mambo izi???

Wee ni dume, hii unayofanya unamambo gani lkn??.

Ninauhakika 100% hamna mwanaJF ulowah kutana naye,,, wanakufata PM ,ukishawajua unawatafutia sababu ya kuwakimbia, yote hiyo wee ni Mwanaume.

Jaman tubadilike basi.

Sanasana upo hum kujua sura. Kazi za watu na mahali wanapoishi.

Ninaamin unalako jambo, either nisababu hujaajiliwa unataka kupiga watuizinga kwa kujivisha uanamke, au ndo wale wale .

Acha izo mambo aseee ...NACHUKIA MNO.
 
Back
Top Bottom