Single Men

Namimi nachapia kama yeye badala ya mtaalamu naandika kikurya mtaaramu.

Ila nyege zinamsumbua ni kipindi chake maana ndio kavunja ungo
Huyo anaonekana ni empty kichwani.
 
We dogo siuliaga tokea jana kuwa upo busy na shule?

Kipi kinachokurudisha rudisha humu? Au bado hujapata company?
 
Halafu mwisho wa siku unakuja kuta mleta mada ni mwanaume halafu anakuteka si mchezo
Ni kweli mkuu ulimwengu hauko sawa.....unaweza kufanyiwa fumanizi,tahadhari ni ya muhimu zaidi, kabla ya kukutana na mtu yeyote ni bora kujiridhisha kwa kila kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…