Single Men

Umalaya uko kwenye forms nyingi sana nowdays.

By the way huna uzuri wowote. Humu JF wanawake wazuri ni wa kuwatafta kwa bainokla.
Bainokla ndo nini mkuu?? Hahahahahaaa...
 
Kati ya wale wanaotumia majina ya kutukuza uzuri wao wachache mno wanakuaga Kama hayo majina.
 
Naona wazee baba mmefunguka vya kutosha.

Nilishawasha namba 4 nimkute picnic tupatembili tatu mmeshanikatisha tamaaa.
Usiwasikilize Hawa kakutane na mtoto mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…