Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Hahahaha Mkuu sio kuvimba, Kila mtu anajidai Mahali pake, yaan palipo Pako ndipo unaporingia Nawewe !!.unavimba sana, punguza
siunaona akina mpoki, masanja, wanavyovimba Tena Kwa mapicha picha na mabango wanatupa??.
Wewe hupaswi kuwakasirikia au kuwaombea njaa kwakua Hauna Cha kuvimbia, , wewe pambana, ufike Mahali ambapo Nawewe utavimba yaan utakua Boss Kwa waliochini yako.
Na hiyo ni kanuni ya Maisha, Maisha ni lazima Kila mtu awe na Boss wake .!!.
Mengine yote yalobaki tunaweza sema ni kujifariji !!.
Mimi mwenyewe sijafikia napopataka, ila hata kwa hapa nilipo, ni lazima nivimbe, eehh Nijidai kidogo , nione Matunda buanaa !!.