Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Hahahaha Mkuu sio kuvimba, Kila mtu anajidai Mahali pake, yaan palipo Pako ndipo unaporingia Nawewe !!.unavimba sana, punguza
😂😂😂 sasa nipanic nini wakati mimi ndo ex, Kupanic wanapanic wanaooa single mothersMbona unapanic🤣🤣 endelea kumwaga mbegu hovyohovyo,kidume wewe🙏
Bidada sikujui, tupo kwenye faceless forum ila naweza detect hisia za mtu.Amina
🤣🤣Sijaona Cha kudislike kwako,maybe another time.Ironbutterfly kwanini unaweka dislikes kwenye post za watu?? (Hujaweka kwangu)
AminaBidada sikujui, tupo kwenye faceless forum ila naweza detect hisia za mtu.
Naunganisha dots ili nijue upo katika situation gani.
Huu uzi ni muendelezo wa ule uzi wako "kuapa kutopenda" (sina hakika ni ikiwa nimepata title) . Mimi ni babu ki-umri nimekula-
Christmas zaid ya 30 na ushee, Najua mengi.
Ku-gain trust ya mtu si jambo dogo... upo katika jitihada za kugain trust ya mwamba, na yamkini mme mpya mmekutana Jf (just curious)... Na dairy anakutana na nyuzi za"usioe single mother otherwise akuonyeshe kabuki etc" so unataka umhakikishie kuwa yupo katika safe hand no Matter your Mtesi(ex) still alive or not.
Actually jamaa yupo katika safe hand ila achana entitlement mentality. Hii entitled mentality inavunja mahusiano mengi sana..... Ukifanya hivyo utaumaliza mwendo na huyo mwamba mpya, mengine world maker atamalizia.
Ole wako🤣🤣Sijaona Cha kudislike kwako,maybe another time.
itabidi nitesti mkuu, kila mtu anasema wako vizuri kwenye mgegedoIla nyie masingomaza mnakuwaga watamu 😋😋 Sema mnavibuti sana
nimeshawishika😂Aisee 🙌
Bi mkubwa kwani wewe unakiburi? Mbona mimi haujawahi kunionyesha.?Kiburi?
Hongera Aisee!Miaka 8
Kumwagia ndani mkuukwani umu duniani tumekuja kufanya nn ? 🤧