Single Moms njooni tuelimishane kitu hapa

Singo maza wote mbumbumbu bogus OmbaOmba wagawa utamu hopeless wapenda waume za watu wamejaa stress wachawi wana roho mbaya... Vijana msithubutu kuoa singo maza hawanaga akili

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] khaaaaaaa!!!
 
Singo maza wote mbumbumbu bogus OmbaOmba wagawa utamu hopeless wapenda waume za watu wamejaa stress wachawi wana roho mbaya... Vijana msithubutu kuoa singo maza hawanaga akili
Nani huwa anasababisha Single Mothers ?
 
Pole sana kuna baadhi ya Wanaume wana roho mbaya sana kazi yao ni kuongeza idadi ya Single Moms.
 
Sawasawa...atulie sasa
Single mothers wengine ni hawajawa hivyo kama ulivyokuwa wewe. Wengine wamekuwa hivyo kwa ujinga wao wenyewe.

Kuna mtu ni single at the same time bado ni wife material na kuna wengine ni hopeless na walikuwa hivyo hata kabla ya kuzalishwa.

Ukiwa single mom halafu ukawa KILAZA utapata tabu sana aisee.
 
Mwambie tu. Mwanao ukweli bali usidanganye
. Mwambie babako alisema ni kuchomoe
Usiongeze maneno wala ujsipunguze, yeye mwenyewe ataamua kumsamehe au kuendeleza palipo ishia
 
Wewe ni scraper
 
Tatizo single moms wanaendelea kuongezeka kea Kasi ya 4G.Wanawake kuingia kichwa kichwa kwenye mahusiano bila ya kutumia hata akili za kuzaliwa ndo madhara Yake haya.

Tamaa ndo kitu kikubwa kinachowaponza wadada wengi.
Naomba unipe elimu ni jinsi gani naweza tumia akili ya kuzaliwa ili kuweza kuwa na mahusiano sahihi

Mana mpaka hapa nilipo mambo ni mtosomtoso shughuli mbovu moja haikai mbili haisogei naliona shimo refu lenye giza lileeeeeeeeeee mbele

Natanguliza shukrani mwalimu wangu
 
Mwambie tu. Mwanao ukweli bali usidanganye
. Mwambie babako alisema ni kuchomoe
Usiongeze maneno wala ujsipunguze, yeye mwenyewe ataamua kumsamehe au kuendeleza palipo ishia
Una uelewa wowote kuhusu Childhood Traumatic experiences?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…