Skudu makudubela
JF-Expert Member
- May 20, 2023
- 561
- 1,112
Fear men, mimi na wanaume ni hivi[emoji3538]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fear men, mimi na wanaume ni hivi[emoji3538]
Usiombe, ni taabu tupu. You need to be a strong mother. Nenda dawati kashuhudie kesi za kule, most of them ni single mums wanasumbuliwa na watoto wao.Kiukweli naonaga uvivu sana,kuongelea issue ya usingle mama.....naonaga Kama watu Wana exaggerate sana,Kuna watu wengi tu wamelelewa na mama zao bila uwepo wa baba either Kwa wazazi kutengana au Kwa baba kufariki,lakini Leo ni watu Bora kabisa kwenye jamii zetu...Mama ni mlezi,mama ni daktari,ni mpishi,ni dobi,ni mwalimu,ni hakimu ana mengii sana
Endelea kufear men wakat men ndo huwapa mitaj hao wadada unawaona uko mjin wako na madukaFear men, mimi na wanaume ni hivi[emoji3538]
Mwanae kamzaa yeye? Alikuwa wapi siku zote? He is not a father, he is just a sperm donor.Mpe mwanaume mwanae acha kumng'ang'ania baba yake anamtaka
Hapana asimwambie hivyo, amwambie tu Baba yako yupo iko siku mtaonana....basi.Mwambie tu. Mwanao ukweli bali usidanganye
. Mwambie babako alisema ni kuchomoe
Usiongeze maneno wala ujsipunguze, yeye mwenyewe ataamua kumsamehe au kuendeleza palipo ishia
Asante kwa kuwa mwelewe....wanadunisha Sana role ya mama Katika malezi ya mtoto kitu ambacho sio sawa kabisa.Hapo sawa....
Mi mwenyewe nipo na mama tu, miaka mingi sasa, bado sijasoma changamoto yeyote....
Hii mitazamo sijui watu wanaitoa wapi...
Ushasema ni msamiati tu,je Kabla ya huo msamiati hakukuwepo wanawake waliolea watoto peke yao?Msamiati Single mother umeanza miaka ya 1960s,tena umeanzia Marekani katika jamii ya mtu mweusi.
Ni sawa na kusema amapiano ilikuwapo Tanzania kabla ya uhuru, hivi ni kweli?! [emoji23][emoji23]
Kuna watukutu kibao wametokea Katika familia zenye baba na mama,hizo tabia mbaya ni matokeo tu ya malezi na mazingiraBut i think its good. Kufight your own weakness. Hii nature ya mwanamke kulea watoto mwenyewe ni kansa kubwa sana katika jamii na madhara yake ni ngumu sana kuyareverse.
Natamani sana kushare nawe research papers za tafiti za kijamii katika familia za watu weusi especially kule Marekani ili uone.
Wataalamu wanakwambia viumbe hufanana tabia hata wakiwa located katika different geographical locations. Watu weusi wakiwa subjected katika mazingira ya kufanana wanabahave the same.
Tazama jamii ya mwafrika marekani na ya mwafrika South Africa, sababu ya kuishi na Mzungu wamejikuta wanaathiriwa na kuwa na tabia zile zile za kufanana kimatokeo, uhalifu, matukio ya mauwaji, ubakaji, molestations, homosexuality, obesity, Single motherhood, Dead beat fathers,drugs, na number kubwa ya jailed males.
Single motherhood ndio one of the source au breeding ground ya hizi social chaos zingine nimekulistia hapo juu.
Ukisema its Okay for single mother hood kuexist u might as well say Yes to drugs, homosexuality, AIDS, STDs, crimes like Panyaroad, etc.
Ni hao uliokutana nao ambao hawana akili,wapo s/ mom wako vizuri upstairs kuliko hivyo vi slay queen vyenu,so don't generalize.Singo maza wote mbumbumbu bogus OmbaOmba wagawa utamu hopeless wapenda waume za watu wamejaa stress wachawi wana roho mbaya... Vijana msithubutu kuoa singo maza hawanaga akili
Naona hutaki mazoea kabisa🤣🤣👋😂 sitaki mchezo
Hapana hajaleft kabisa Life strategies zake amejiwekeaMaana yake nini?
Ameshaleft group ama? 😳😳😳
Muone!Hapana hajaleft kabisa Life strategies zake amejiwekea
Shimba ya Buyenze I think this is obvious but sometimes it’s good to have a reminder..you aren’t required to date men.. You’re not required to “just give them a chance”😊Muone!
Wewe ni mwanasaikolojia mzuri sana. Ana trauma huyo. Shughulika naye umrudishe kundini. Si wanaume wote ni wabaya na huyo aliyemuumiza asije akatuharibia wote.
Can I count on you on this? 🙏🏿🖐
Obviously🙊, sex is overrated but we can’t stop fearing them🌚Shimba ya Buyenze I think this is obvious but sometimes it’s good to have a reminder..you aren’t required to date men.. You’re not required to “just give them a chance”😊
Not that you have to date women either😊..I have bunch of few people like that Ms eyes sometimes we need to understand them as they are it doesn’t mean that they’re mentally challenged 🤣👋
You know sex is overrated 🤣👋
Ms eyes surely I agree with you 🤣🤣👋Obviously🙊, sex is overrated but we can’t stop fearing them🌚
tujitahidi kupunguza unafki hapa jukwaani😂You know sex is overrated
🤣🤣🤣👋tujitahidi kupunguza unafki hapa jukwaani😂
Ms eyes. What did men do to you that pushed you to the point of fearing them? Rape? Narcissistic manipulation? Physical, psychological, spiritual & emotional abuse?Obviously🙊, sex is overrated but we can’t stop fearing them🌚
Ivi mwanao umempa jina la pili au la ukoo la mwanaume aliyekupa mimba au jina gani?Mwenzenu huu usinglemom ulinikuta chap Kwa haraka. Yaani bila kutarajia mtu niliyemwamini na niliyekuwa na malengo nae alinigeuka. Nikisema iliingia kwa bahati mbaya nitakuwa nadanganya tulipanga nami nilijiaminisha kwa sababu kuna hatua tulipitia ambazo nikajua yessss, nimelipata bwana!
We bwana wee kumbe nimepatikana, yaani Ile kitu kutiki tu jamaa akasema "katoe mimba" nyie wadada wenzangu mnaotupondea singlemoms. Siyo kwamba sikuweza kumeza P2 au miso-p au kwenda hospital kukwanguliwa noo, ningeweza ila tu huyu kiumbe hakuwa na hatia.So mwishowe nikazaa huyu son wangu, jamaa alichoniambia ni kuwa umezaa basi umejipanga kulea I mean hajawahi toa hata Senti kulea mwanangu then Leo hii anajitutumua eti anataka mwanaye.Teh!
Sasa point yangu ni ipi ya kuwakusanya wamama wenzangu...ni hivi...hatujaua,tumezaa,tunalea....na huenda tukawa tumebahatika kupata wanaume wema wanaotupenda siye na wanetu. Sasa ninachokuuliza hivi wenzangu mnawezaje kuendelea kuwasiliana na mwanaume aliyeshindwa kukupa thamani ya kuweka ndani na akakuacha na mtoto. Mnawezaje kuvua nguo tena Kwa mwanaume ambaye si mumeo Yaan Ex tena aliyekudharaulisha? Aisee,mwenzenu nimeshindwa. Nilimwambia nitakuwahisha kunizoea[emoji37][emoji2955]
NB: Sijawahi mjaza sumu mwanangu hicho ndicho nilichoshinda namwacha akue yeye ndo atachambua magugu na ngano. Hongereni kwa kupambana wanawake wenzangu kulea ni kaz kweli.
Nawapenda sana[emoji7][emoji8]