Program Manager
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 2,763
- 3,955
Nitaoa single maza ilimradi anajitambua tu bas hamna shida akuje PM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora siku hizi umeacha kula tunda kimasihara, hii komenti ina kitu, sasa akiwa anamcare mtoto vizuri, si ndiyo ule msemo wa "hakuna mkate mgumu, mbele ya chai" unatumika.Kua singo mama sio ulemavu.
Sisi wanaume wa Kanda ya ziwa, hata kuoa ,tunaoa, na Mahari tunatoa Kwa singo mama.
Tatizo mnawapenda wa dasalama na mikoa mingine, hao ni waoga ,wanaogopa sana !!.
Kurudi kwenye Mada !!.
Kuzaa ni kielelezo tosha Cha Uwezo wako wa kuendeleza kizazi.
Usiumie, Kuna vyanamke vimeshatoa mimba lukuki yaan ukiviangalia tu usoni, unaona kabisa jina la siri limeandikwa kwenye paji lake la uso "Babeli Mkuu, Mama wa marehemu" !.
Kwa Nyie mlobena mimba, mkazaa,. Hongereni, Leeni watoto wenu, Wakiume awe na uanaume, wakike awe na uanamke.
Hapo kwenye kupasha kiporo Sasa, Nadhan kama mwanaume alikataa mimba, ukipasha naye kiporo unakua kweli ni mjinga, ila Sasa nyie Wanawake hamshindwi kitu, Huwa mnapasha tu, jamaa akianza kujirudi Kwa vinguonguo .
Lkn kama hajakataa kulea analea, Hela anatoa, sio lazima akuoe ,pengine umezaa na mwanaume kama Mimi !!. Wee muhim furahia mtoto ana bima ya Afya, anasoma shule Bora, anakula na kuvaa na kupata mahitaji yake, naaaaa, Kwa sisi wengine, Tukituma Hela Kwa Mzazi mwenzetu, Huwa tunaweka na kijihela Cha nyongeza Kwa sababu tunajua na Mama yake naye anataka kuvaa vizur, apendeze ,n.k!!.
Msife mioyo wapendwa !!!
Msiache bana 😅😅😅🤣🤣🤣🤣Tuache🥴
🤣🤣🤣🤣Walijichomeka....mume wa mtu hanogi aiseePoleni kwa malezi ya peke enu najua sio kazi rahisi, hii pole ni kwa wale tuu waliobeba mimba wakazaa wakiwa na mipango ya pamoja kisha jamaa kala kona.
Mliodanti waume za watu mkaona muwabebee mimba ili kuwanogesha pole zenu mkazichukue kwa wake zao.
Kwahiyo umempiga pin kumuona mtoto au anamuona??Yeah,and life goes on
😂Poleni kwa malezi ya peke enu najua sio kazi rahisi, hii pole ni kwa wale tuu waliobeba mimba wakazaa wakiwa na mipango ya pamoja kisha jamaa kala kona.
Mliodanti waume za watu mkaona muwabebee mimba ili kuwanogesha pole zenu mkazichukue kwa wake zao.
Mimi sijawahi kuwapondea kama unakumbuka vizuri nilifungua uzi kabisa nikiwatetea na kutoa mtazamo wangu chanya kuhusu singo maza sema tu kuna kasumba imejijenga kwenye jamii na nyie wenyewe mnajinyanyapaa wenyeweHuku hupati,kitaa wapo nyomi mkuu....huku mnawapondea mno
Mkuu ni ruksa kumla Singo mama unayemtunza yeye na mwanawe.Bora siku hizi umeacha kula tunda kimasihara, hii komenti ina kitu, sasa akiwa anamcare mtoto vizuri, si ndiyo ule msemo wa "hakuna mkate mgumu, mbele ya chai" unatumika.
Wanaume sii wa mchezo mchezo...yaani wanakusomesha hadi wewe mwalimu. Hatari! Sasa wee lea tuu na jamaa sii ulimpenda ndio ukaamua kuzaa. So akiomba mbususu mpe tuu. Kumbuka alikuwa na mazuri yake ujue mpaka ukamvulia kyupiMwenzenu huu usinglemom ulinikuta chap Kwa haraka...Yaan bila kutarajia...mtu niliyemwamini na niliyekuwa na malengo nae alinigeuka....nikisema iliingia Kwa bahati mbaya nitakuwa nadanganya...tulipanga Nami nilijiaminisha Kwa sababu Kuna hatua tulipitia ambazo nikajua yessss,nimelipata bwana!
We bwana wee...kumbe nimepatikana ...Yaan Ile kitu kutiki tu jamaa akasema "katoe mimba".....nyie wadada wenzangu mnaotupondea singlemoms...siyo Kwamba sikuweza kumeza P2 au miso-p au kwenda hospital kukwanguliwa...noo,ningeweza ila tu huyu kiumbe hakuwa na hatia.So mwishowe nikazaa huyu son wangu...jamaa alichoniambia ni kuwa...umezaa basi umejipanga kulea I mean hajawahi toa hata Senti kulea mwanangu then Leo hii anajitutumua eti anataka mwanaye.Teh!
Sasa point yangu ni ipi ya kuwakusanya wamama wenzangu...ni hivi...hatujaua,tumezaa,tunalea....na huenda tukawa tumebahatika kupata wanaume wema wanaotupenda siye na wanetu...sasa ninachokuuliza ..hivi wenzangu mnawezaje kuendelea kuwasiliana na mwanaume aliyeshindwa kukupa thamani ya kuweka ndani na akakuacha na mtoto....mnawezaje kuvua nguo tena Kwa mwanaume ambaye si mumeo Yaan Ex tena aliyekudharaulisha? Aisee,mwenzenu nimeshindwa....nilimwambia nitakuwahisha kunizoea😖🤨
NB:sijawahi mjaza sumu mwanangu...hicho ndicho nilichoshinda....namwacha akue yeye ndo atachambua magugu na ngano.Hongereni Kwa kupambana wanawake wenzangu kulea ni Kaz kweli.Nawapenda sana😍😘
Swala la kaburi hauzingatii?😁Nitaoa single maza ilimradi anajitambua tu bas hamna shida akuje PM
Hamna cha kasumba wala nini single moms ni majanga tuu...wakwepe kama ukoma ndugu yanguMimi sijawahi kuwapondea kama unakumbuka vizuri nilifungua uzi kabisa nikiwatetea na kutoa mtazamo wangu chanya kuhusu singo maza sema tu kuna kasumba imejijenga kwenye jamii na nyie wenyewe mnajinyanyapaa wenyewe