Single Moms njooni tuelimishane kitu hapa

Bora siku hizi umeacha kula tunda kimasihara, hii komenti ina kitu, sasa akiwa anamcare mtoto vizuri, si ndiyo ule msemo wa "hakuna mkate mgumu, mbele ya chai" unatumika.
 
Bora siku hizi umeacha kula tunda kimasihara, hii komenti ina kitu, sasa akiwa anamcare mtoto vizuri, si ndiyo ule msemo wa "hakuna mkate mgumu, mbele ya chai" unatumika.
Yeah,and life goes on
 
Poleni kwa malezi ya peke enu najua sio kazi rahisi, hii pole ni kwa wale tuu waliobeba mimba wakazaa wakiwa na mipango ya pamoja kisha jamaa kala kona.

Mliodanti waume za watu mkaona muwabebee mimba ili kuwanogesha pole zenu mkazichukue kwa wake zao.
 
🤣🤣🤣🤣Walijichomeka....mume wa mtu hanogi aisee
 
Bora siku hizi umeacha kula tunda kimasihara, hii komenti ina kitu, sasa akiwa anamcare mtoto vizuri, si ndiyo ule msemo wa "hakuna mkate mgumu, mbele ya chai" unatumika.
Mkuu ni ruksa kumla Singo mama unayemtunza yeye na mwanawe.

Ruksa na Hili hadi kwenye Katiba limeandikwa, na katiba imeliweka wazi jambo hili ,kua ukimtunza Mtoto na mama yake, ni lazima naye akupe mbususu .

Akikunyima mbususu, Katiba imeeleza wazi, kama ulikua unamtumia Hela, badili Hela kua huduma yaan wewe Anza kupelekaa huduma na mahitaji sio Hela.

Sijui Mtoto anaumwa, Mfate, mpeleke wewe Hosp, au mkatie Bima.

Sijui Mtoto Hela ya ABCDE, Nunua ABCDE peleka.

Sijui Mtoto shule, Nunua yunifomu, lips ada, peleka Risiti 😂😂

Mpaka atakuelewa tu
 
Wanaume sii wa mchezo mchezo...yaani wanakusomesha hadi wewe mwalimu. Hatari! Sasa wee lea tuu na jamaa sii ulimpenda ndio ukaamua kuzaa. So akiomba mbususu mpe tuu. Kumbuka alikuwa na mazuri yake ujue mpaka ukamvulia kyupi
 
Mimi sijawahi kuwapondea kama unakumbuka vizuri nilifungua uzi kabisa nikiwatetea na kutoa mtazamo wangu chanya kuhusu singo maza sema tu kuna kasumba imejijenga kwenye jamii na nyie wenyewe mnajinyanyapaa wenyewe
Hamna cha kasumba wala nini single moms ni majanga tuu...wakwepe kama ukoma ndugu yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…