Single Moms njooni tuelimishane kitu hapa

Usimzuie kumwona mwanae,Ila weka mipaka kati yako na yeye,yan akikuona ajue nyie ni strangers and it's all about mtoto,hapo atakuheshimu🙏asirudie kosa kumvulia kyupi tena mwanaume aliyekataa damu yake,huyo ni demon,ukibanwa genye kakigawe bure hata kwa shamba boi ila yeye usimpe access Tena.
 
Wanaume sio watu wa kuwaamini
Kweli kabisa yaani utasomeahwa ushangae🤣🤣🤣🤣
Ila ata nyie sio wakuwaamini....mnatupanga balaaa na watoto mnatubambikia. Alooo...ohopa kiumbe aliyeweza kuongea na nyoka
 
Deeply moved!

wengine ma gentle tukatoka mkoa hadi mkoa kubeba inayoitwa mizigo yetu!!LAKINI leo tunajuta Bora tungekua rud boys!!

yaani unageukwa hadi shetani anashangaa!!!

Back to topic

honest confession

NGOJA nijitose again!
 
Mimi sijawahi kuwapondea kama unakumbuka vizuri nilifungua uzi kabisa nikiwatetea na kutoa mtazamo wangu chanya kuhusu singo maza sema tu kuna kasumba imejijenga kwenye jamii na nyie wenyewe mnajinyanyapaa wenyewe
Sijawahi jinyanyapaa aisee,nikiangalia anaenipondea nae ana maswaibu yake...bas mie🙄
 
Sasa kwa shamba boi sii ndio utashangaa imei gia nyingine imoooo 🤣🤣🤣 maana lazima asimamie kucha na kunyunyuzia mbolea ndani ndani ndaniiiiiiii
 
Deeply moved!

wengine ma gentle tukatoka mkoa hadi mkoa kubeba inayoitwa mizigo yetu!!LAKINI leo tunajuta Bora tungekua rud boys!!

yaani unageukwa hadi shetani anashangaa!!!

Back to topic

honest confession

NGOJA nijitose again!
Pole Kwa yaliyokusibu....Kuna muda wanawake pia tunakosea sana
 
Mwanae watakutana mbele siyo mikononi mwangu.Mwanae yupi kwanza ?
 
Wengi/baadhi wanapasha kwa sababu ya financial difficulties. Siamini kama mtu kakuzalisha, kakuacha kwa maneno machafu, kesho ukamvulie huku umelea kwa shida sana.

Ninachojua, Ke ana matatizo ya kiuchumi, anayeweza kumpa sapoti kwa haraka na ex baby daddy, hana jinsi zaidi ya kumwambia baba mtoto aje, ategwe, apewe.
 
Wewe ni miongoni mwa single mothers wachache wanaojitambua. Kwa uandishi huu unafaa kuwa mama wa mji.
 
Msamehe baba watoto To yeye
Ila inakuwaje anashindwa kukushawishi?
Mimi alitolewa mpaka mahari sijui alihudumia mpaka mimba.

Alivyosikia nimerudi mjini mbio ananitafutia.
Sasa mwamba anakwama wapi?
Ni mbinafsi....nilizaliwa mara Moja nitakuwa mara Moja...I swear sitomsamehe...alisema hata nisipompa Leo akikua mtoto atamtafuta.....ndo asubiri....sitaki kuniona sura yake hata kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…