Single Moms njooni tuelimishane kitu hapa

Single Moms njooni tuelimishane kitu hapa

Usimzuie kumwona mwanae,Ila weka mipaka kati yako na yeye,yan akikuona ajue nyie ni strangers and it's all about mtoto,hapo atakuheshimu🙏asirudie kosa kumvulia kyupi tena mwanaume aliyekataa damu yake,huyo ni demon,ukibanwa genye kakigawe bure hata kwa shamba boi ila yeye usimpe access Tena.
 
Mwenzenu huu usinglemom ulinikuta chap Kwa haraka...Yaan bila kutarajia...mtu niliyemwamini na niliyekuwa na malengo nae alinigeuka....nikisema iliingia Kwa bahati mbaya nitakuwa nadanganya...tulipanga Nami nilijiaminisha Kwa sababu Kuna hatua tulipitia ambazo nikajua yessss,nimelipata bwana!

We bwana wee...kumbe nimepatikana ...Yaan Ile kitu kutiki tu jamaa akasema "katoe mimba".....nyie wadada wenzangu mnaotupondea singlemoms...siyo Kwamba sikuweza kumeza P2 au miso-p au kwenda hospital kukwanguliwa...noo,ningeweza ila tu huyu kiumbe hakuwa na hatia.So mwishowe nikazaa huyu son wangu...jamaa alichoniambia ni kuwa...umezaa basi umejipanga kulea I mean hajawahi toa hata Senti kulea mwanangu then Leo hii anajitutumua eti anataka mwanaye.Teh!

Sasa point yangu ni ipi ya kuwakusanya wamama wenzangu...ni hivi...hatujaua,tumezaa,tunalea....na huenda tukawa tumebahatika kupata wanaume wema wanaotupenda siye na wanetu...sasa ninachokuuliza ..hivi wenzangu mnawezaje kuendelea kuwasiliana na mwanaume aliyeshindwa kukupa thamani ya kuweka ndani na akakuacha na mtoto....mnawezaje kuvua nguo tena Kwa mwanaume ambaye si mumeo Yaan Ex tena aliyekudharaulisha? Aisee,mwenzenu nimeshindwa....nilimwambia nitakuwahisha kunizoea😖🤨

NB:sijawahi mjaza sumu mwanangu...hicho ndicho nilichoshinda....namwacha akue yeye ndo atachambua magugu na ngano.Hongereni Kwa kupambana wanawake wenzangu kulea ni Kaz kweli.Nawapenda sana😍😘
Deeply moved!

wengine ma gentle tukatoka mkoa hadi mkoa kubeba inayoitwa mizigo yetu!!LAKINI leo tunajuta Bora tungekua rud boys!!

yaani unageukwa hadi shetani anashangaa!!!

Back to topic

honest confession

NGOJA nijitose again!
 
Mimi sijawahi kuwapondea kama unakumbuka vizuri nilifungua uzi kabisa nikiwatetea na kutoa mtazamo wangu chanya kuhusu singo maza sema tu kuna kasumba imejijenga kwenye jamii na nyie wenyewe mnajinyanyapaa wenyewe
Sijawahi jinyanyapaa aisee,nikiangalia anaenipondea nae ana maswaibu yake...bas mie🙄
 
Usimzuie kumwona mwanae,Ila weka mipaka kati yako na yeye,yan akikuona ajue nyie ni strangers and it's all about mtoto,hapo atakuheshimu🙏asirudie kosa kumvulia kyupi tena mwanaume aliyekataa damu yake,huyo ni demon,ukibanwa genye kakigawe bure hata kwa shamba boi ila yeye usimpe access Tena.
Sasa kwa shamba boi sii ndio utashangaa imei gia nyingine imoooo 🤣🤣🤣 maana lazima asimamie kucha na kunyunyuzia mbolea ndani ndani ndaniiiiiiii
 
Deeply moved!

wengine ma gentle tukatoka mkoa hadi mkoa kubeba inayoitwa mizigo yetu!!LAKINI leo tunajuta Bora tungekua rud boys!!

yaani unageukwa hadi shetani anashangaa!!!

Back to topic

honest confession

NGOJA nijitose again!
Pole Kwa yaliyokusibu....Kuna muda wanawake pia tunakosea sana
 
Usimzuie kumwona mwanae,Ila weka mipaka kati yako na yeye,yan akikuona ajue nyie ni strangers and it's all about mtoto,hapo atakuheshimu🙏asirudie kosa kumvulia kyupi tena mwanaume aliyekataa damu yake,huyo ni demon,ukibanwa genye kakigawe bure hata kwa shamba boi ila yeye usimpe access Tena.
Mwanae watakutana mbele siyo mikononi mwangu.Mwanae yupi kwanza ?
 
Kua singo mama sio ulemavu.

Sisi wanaume wa Kanda ya ziwa, hata kuoa ,tunaoa, na Mahari tunatoa Kwa singo mama.

Tatizo mnawapenda wa dasalama na mikoa mingine, hao ni waoga ,wanaogopa sana !!.

Kurudi kwenye Mada !!.

Kuzaa ni kielelezo tosha Cha Uwezo wako wa kuendeleza kizazi.

Usiumie, Kuna vyanamke vimeshatoa mimba lukuki yaan ukiviangalia tu usoni, unaona kabisa jina la siri limeandikwa kwenye paji lake la uso "Babeli Mkuu, Mama wa marehemu" !.

Kwa Nyie mlobena mimba, mkazaa,. Hongereni, Leeni watoto wenu, Wakiume awe na uanaume, wakike awe na uanamke.

Hapo kwenye kupasha kiporo Sasa, Nadhan kama mwanaume alikataa mimba, ukipasha naye kiporo unakua kweli ni mjinga, ila Sasa nyie Wanawake hamshindwi kitu, Huwa mnapasha tu, jamaa akianza kujirudi Kwa vinguonguo .

Lkn kama hajakataa kulea analea, Hela anatoa, sio lazima akuoe ,pengine umezaa na mwanaume kama Mimi !!. Wee muhim furahia mtoto ana bima ya Afya, anasoma shule Bora, anakula na kuvaa na kupata mahitaji yake, naaaaa, Kwa sisi wengine, Tukituma Hela Kwa Mzazi mwenzetu, Huwa tunaweka na kijihela Cha nyongeza Kwa sababu tunajua na Mama yake naye anataka kuvaa vizur, apendeze ,n.k!!.

Msife mioyo wapendwa !!!
Wengi/baadhi wanapasha kwa sababu ya financial difficulties. Siamini kama mtu kakuzalisha, kakuacha kwa maneno machafu, kesho ukamvulie huku umelea kwa shida sana.

Ninachojua, Ke ana matatizo ya kiuchumi, anayeweza kumpa sapoti kwa haraka na ex baby daddy, hana jinsi zaidi ya kumwambia baba mtoto aje, ategwe, apewe.
 
Mwenzenu huu usinglemom ulinikuta chap Kwa haraka...Yaan bila kutarajia...mtu niliyemwamini na niliyekuwa na malengo nae alinigeuka....nikisema iliingia Kwa bahati mbaya nitakuwa nadanganya...tulipanga Nami nilijiaminisha Kwa sababu Kuna hatua tulipitia ambazo nikajua yessss,nimelipata bwana!

We bwana wee...kumbe nimepatikana ...Yaan Ile kitu kutiki tu jamaa akasema "katoe mimba".....nyie wadada wenzangu mnaotupondea singlemoms...siyo Kwamba sikuweza kumeza P2 au miso-p au kwenda hospital kukwanguliwa...noo,ningeweza ila tu huyu kiumbe hakuwa na hatia.So mwishowe nikazaa huyu son wangu...jamaa alichoniambia ni kuwa...umezaa basi umejipanga kulea I mean hajawahi toa hata Senti kulea mwanangu then Leo hii anajitutumua eti anataka mwanaye.Teh!

Sasa point yangu ni ipi ya kuwakusanya wamama wenzangu...ni hivi...hatujaua,tumezaa,tunalea....na huenda tukawa tumebahatika kupata wanaume wema wanaotupenda siye na wanetu...sasa ninachokuuliza ..hivi wenzangu mnawezaje kuendelea kuwasiliana na mwanaume aliyeshindwa kukupa thamani ya kuweka ndani na akakuacha na mtoto....mnawezaje kuvua nguo tena Kwa mwanaume ambaye si mumeo Yaan Ex tena aliyekudharaulisha? Aisee,mwenzenu nimeshindwa....nilimwambia nitakuwahisha kunizoea[emoji37][emoji2955]

NB:sijawahi mjaza sumu mwanangu...hicho ndicho nilichoshinda....namwacha akue yeye ndo atachambua magugu na ngano.Hongereni Kwa kupambana wanawake wenzangu kulea ni Kaz kweli.Nawapenda sana[emoji7][emoji8]
Wewe ni miongoni mwa single mothers wachache wanaojitambua. Kwa uandishi huu unafaa kuwa mama wa mji.
 
Msamehe baba watoto To yeye
Ila inakuwaje anashindwa kukushawishi?
Mimi alitolewa mpaka mahari sijui alihudumia mpaka mimba.

Alivyosikia nimerudi mjini mbio ananitafutia.
Sasa mwamba anakwama wapi?
Ni mbinafsi....nilizaliwa mara Moja nitakuwa mara Moja...I swear sitomsamehe...alisema hata nisipompa Leo akikua mtoto atamtafuta.....ndo asubiri....sitaki kuniona sura yake hata kidogo
 
Back
Top Bottom