Single Moms njooni tuelimishane kitu hapa

Kwa taarifa yako hamna mwanaume ana mvuto kama aliekutelekeza na mtoto, Huwa tunakuwaga attractive kiasi kwamba kila ukiniona na mtoto utatamani uwepo na wewe na ubaya zaidi ni hizi simu zenye kuonesha kila kinachoendelea basi ukiona bata ninalokula na mtoto wakati wewe unampikia mumeo mpya mbona utamuanziashia kisirani upesi.
 
Sawasawa mkuu
 
Story za abunuwasi,we endelea kumwaga mbegu zako hovyo bila malengo🙏🙏
 
Abunuwasi eeh, haya sawa ila kama ushakuwa single maza huna cha kunielewesha nikaelewa... Najua tabia zenu na akili zenu kwa asilimia 80.
Mbona unapanic🤣🤣 endelea kumwaga mbegu hovyohovyo,kidume wewe🙏
 
Mkuu,sipo kwenye masihara hapa....huu ni moyo wa nyama tafadhali.... Subiri kizazi champ kije kifanyiwe ivo...watakua mbona
Sitokuwa na uwezo wa kukitawala kizazi changu hasa Cha pili na Cha tatu.

Ila nature itafanya kazi yake kwa asiye jitambua na kujua nini afanye kwa muda gani?

Kifupi nitawaambia maisha ni mchezo ila ukicheza vibaya lazima ulie.

Maisha ni kioo, ukicheka na yenyewe yatakuchekea na ukinuna hutokuwa na furaha nayo.

Maisha ni mipango ila usipopanga basi utapangiwa

Maisha ni ndoto, usipofuata ya kwako basi utafuata ya mtu mwingine

La mwisho nitawaambia Kuna makosa ya aina tatu

1. Ya asili
Usipoheshimu wazee na tamaduni ulizofundishwa na ukoo wako, mababu utampata matatizo.

Na usipoheshimu muda na kuwa na haraka utaangukia pua.

2.Maumbile
Maumbile yako yana thamani kubwa ila kila sehemu kwenye mwili Ina muda wa matumizi yake ila ukitaka kuharakisha jiandae au ukitumia tofauti.

3.Mungu
Ukimkufuru subiri yatakayo kupata.

Sorry kama nimekukwaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…