Single Moms njooni tuelimishane kitu hapa

Binafsi siwezi mpondea single mother. Na kama kuna watu wanatamani kuwa single mother basi ni wachache. Lea mwanao katika njia impasayo tu. Kama kuolewa utaolewa tu yupo ambae Mungu kakuandalia regardless of being a single mother. Wala usiwe desparate mpaka ukaangukia kwenye libwana lisilo faa. Mi nna marafiki zangu walikua single mothers lakini wameolewa na maisha yanasonga mbele. SINGLE MOTHERS WAHESHIMIWE.
😍 Hakika tuheshimiwe 🙏🙏🙏
 
Mwenzenu huu usinglemom ulinikuta chap Kwa haraka. Yaani bila kutarajia mtu niliyemwamini na niliyekuwa na malengo nae alinigeuka. Nikisema iliingia kwa bahati mbaya nitakuwa nadanganya tulipanga nami nilijiaminisha kwa sababu kuna hatua tulipitia ambazo nikajua yessss, nimelipata bwana!

We bwana wee kumbe nimepatikana, yaani Ile kitu kutiki tu jamaa akasema "katoe mimba" nyie wadada wenzangu mnaotupondea singlemoms. Siyo kwamba sikuweza kumeza P2 au miso-p au kwenda hospital kukwanguliwa noo, ningeweza ila tu huyu kiumbe hakuwa na hatia.So mwishowe nikazaa huyu son wangu, jamaa alichoniambia ni kuwa umezaa basi umejipanga kulea I mean hajawahi toa hata Senti kulea mwanangu then Leo hii anajitutumua eti anataka mwanaye.Teh!

Sasa point yangu ni ipi ya kuwakusanya wamama wenzangu...ni hivi...hatujaua,tumezaa,tunalea....na huenda tukawa tumebahatika kupata wanaume wema wanaotupenda siye na wanetu. Sasa ninachokuuliza hivi wenzangu mnawezaje kuendelea kuwasiliana na mwanaume aliyeshindwa kukupa thamani ya kuweka ndani na akakuacha na mtoto. Mnawezaje kuvua nguo tena Kwa mwanaume ambaye si mumeo Yaan Ex tena aliyekudharaulisha? Aisee,mwenzenu nimeshindwa. Nilimwambia nitakuwahisha kunizoea😖🤨

NB: Sijawahi mjaza sumu mwanangu hicho ndicho nilichoshinda namwacha akue yeye ndo atachambua magugu na ngano. Hongereni kwa kupambana wanawake wenzangu kulea ni kaz kweli.

Nawapenda sana😍😘
Pole Kipenz na pole kwa Single Moms wote😊its not easy at all na hongera sana najua ww ni fighter am so proud of you🎀💪
 
Sheemeji leo umeniuzunisha sana 🤨🤨 Zulu man naomba uzibe pengo vyema mama wa watu bado moyo unavuja dam

Sema kuna wanaume jau sana na majeuri ole wake mwanaume wa hivi aje kwa dada yangu mwangu naua
Usitoe hukumu kwa kusikiliza upande mmoja tu. Baharia naye angepata nafasi akaja kusimulia hapa ukasikia kilichomkimbiza pengine ungekuta ana sababu zenye mashiko.

Huwa siamini kama kuna mwanaume ambaye yuko vizuri kiuchumi anayeweza kukimbia jukumu lake muhimu na takatifu la kulea kiumbe kisicho na hatia alichoshiriki kukileta hapa duniani.

Kwa wanawake kuzalishwa na kuachwa huwa halinishangazi sana maana watu wakubwa mkishindwa kuelewana njia nzuri na bora ni kuachana kwa amani. Japo always wao ndiyo victims tu walioonewa na kuachwa bila sababu lakini ukichunguza vizuri utakuta waachaji nao wana sababu zao....

Tatizo sasa hawa dada zetu hawa. Leo anamsema vibaya mzazi mwenzie na kesho na kesho kutwa unakuta tena huyo huyo anakwenda kupasha naye kiporo. Hata wakiolewa chanzo kikuu cha ndoa zao kuyumba ni hawa hawa mabaharia waliozaa nao kabla. Huwa hawawezi kumalizana nao moja kwa moja kwa kisingizio cha mzazi mwenzangu!

Ila mleta mada nimemwelewa mno - kama kweli ana msimamo huo. Na ameongea mambo mazito sana. Yote kwa yote kongole kwenu singo mazazi kwa kutokutoa mimba za hao viumbe wasio na hatia. Mungu Atawalipia kupitia watoto hao na vizazi vyao! 🙏🏿
 
Usitoe hukumu kwa kusikiliza upande mmoja tu. Baharia naye angepata nafasi akaja kusimulia hapa ukasikia kilichomkimbiza pengine ungekuta ana sababu zenye mashiko.

Huwa siamini kama kuna mwanaume ambaye yuko vizuri kiuchumi anayeweza kukimbia jukumu lake muhimu na takatifu la kulea kiumbe kisicho na hatia alichoshiriki kukileta hapa duniani.

Kwa wanawake kuzalishwa na kuachwa huwa halinishangazi sana maana watu wakubwa mkishindwa kuelewana njia nzuri na bora ni kuachana kwa amani. Japo always wao ndiyo victims tu walioonewa na kuachwa bila sababu lakini ukichunguza vizuri utakuta waachaji nao wana sababu zao....

Tatizo sasa hawa dada zetu hawa. Leo anamsema vibaya mzazi mwenzie na kesho na kesho kutwa unakuta tena huyo huyo anakwenda kupasha naye kiporo. Hata wakiolewa chanzo kikuu cha ndoa zao kuyumba ni hawa hawa mabaharia waliozaa nao kabla. Huwa hawawezi kumalizana nao moja kwa moja kwa kisingizio cha mzazi mwenzangu!

Ila mleta mada nimemwelewa mno - kama kweli ana msimamo huo. Na ameongea mambo mazito sana. Yote kwa yote kongole kwenu singo mazazi kwa kutokutoa hizo mimba za hao viumbe wasio na hatia. Mungu Atawalipia kupitia watoto hao na vizazi vyao! 🙏🏿
Amina
 
Mwenzenu huu usinglemom ulinikuta chap Kwa haraka. Yaani bila kutarajia mtu niliyemwamini na niliyekuwa na malengo nae alinigeuka. Nikisema iliingia kwa bahati mbaya nitakuwa nadanganya tulipanga nami nilijiaminisha kwa sababu kuna hatua tulipitia ambazo nikajua yessss, nimelipata bwana!

We bwana wee kumbe nimepatikana, yaani Ile kitu kutiki tu jamaa akasema "katoe mimba" nyie wadada wenzangu mnaotupondea singlemoms. Siyo kwamba sikuweza kumeza P2 au miso-p au kwenda hospital kukwanguliwa noo, ningeweza ila tu huyu kiumbe hakuwa na hatia.So mwishowe nikazaa huyu son wangu, jamaa alichoniambia ni kuwa umezaa basi umejipanga kulea I mean hajawahi toa hata Senti kulea mwanangu then Leo hii anajitutumua eti anataka mwanaye.Teh!

Sasa point yangu ni ipi ya kuwakusanya wamama wenzangu...ni hivi...hatujaua,tumezaa,tunalea....na huenda tukawa tumebahatika kupata wanaume wema wanaotupenda siye na wanetu. Sasa ninachokuuliza hivi wenzangu mnawezaje kuendelea kuwasiliana na mwanaume aliyeshindwa kukupa thamani ya kuweka ndani na akakuacha na mtoto. Mnawezaje kuvua nguo tena Kwa mwanaume ambaye si mumeo Yaan Ex tena aliyekudharaulisha? Aisee,mwenzenu nimeshindwa. Nilimwambia nitakuwahisha kunizoea😖🤨

NB: Sijawahi mjaza sumu mwanangu hicho ndicho nilichoshinda namwacha akue yeye ndo atachambua magugu na ngano. Hongereni kwa kupambana wanawake wenzangu kulea ni kaz kweli.

Nawapenda sana😍😘
Bora wewe mwenye akili timamu wengi wao ni hovyo sana,mtu alishakudhalilisha,akamkana mtoto,ukadharaulika,mwisho wa siku anaomba penzi anamkubalia,anabeba na mimba nyingine halafu jamaa linaingia mitini tena...
 
Back
Top Bottom