Shida ilianza na ninyi wanawake kutaka wanaume wastaarabu wawajie na kuwatokea ninyi wanawake kwa style za kihuni.
Haiunaga mwanaume mstaarabu mwenye lengo la Ndoa na wewe atataka kukupeleka clubs, sijui maeneo ya bata, au atataka kukupa pesa ya saluni ili ukaweke fake hair na kuweka yale makucha kama reki. Its you women ambao mlianzisha huu mchezo.
Now u can't even tell the difference between muhuni na mwanaume mwenye dhamira nzuri.
Jana tu i was talking about this kwenye uzi somewhere. Wanawake wa siku hizi kudate now its not like what it used to be back in the days.
Mwanaume akimpenda mwanamke huwa hana dhamira ya kuoverspend alichonacho kwa huyu mwanamke ili kumuimpress maana ni hatari kwa uhusiano wao siku za mbeleni, ni vipi kikiisha atamuimpress na nini tena?! So mwanaume atataka mwanamke anaempenda approve namna gani ataweza sustain mahusiano yao at the lowest cost possible maana maisha hayana guarantee.
Shida sasa ni ninyi wanawake kulazimisha na kutaka wanaume watumie kwenu kwa nguvu yaani unataka kwa nguvu mwanaume atoe pesa akupe wewe bila kujali ana income source gani, na hapo tu ni umekutana nae na haumjui personality yake, how is it possible kwa huyu mtu kukupenda au kukuvalue wewe mwanamke ambaye umeshaprove kuwa ni takataka na hauna self consciousness?
Mwanaume ambaye atataka kuspend on you lavishly ni yule ambaye amekuona wewe hauna akili kama mwanamke na unatakiwa kurubuniwa ili yeye apate anachotaka, and i guarantee you ukiingia line kwenye akili yake kutaregister kuwa wewe upo kwake kupata vitu vizuri na hii automatically itamjenga kukaa na wewe kwa mashaka hence hakutakuwa na mapenzi ya dhati na lazima atatafuta nje huko.
Huyo mwanaume wako amekutazama ameona unamkamua ndio maana alikataa ujauzito wako aliona ni mtego wa kumkamua zaidi. Imagine unatoka na mdangaji mtu ambaye kila sms mbili amekutangazia njaa anataka hela, huyu ukizaa nae si itakuwa yeye, mtoto na ukoo wake wanakuandama kutaka uwape matumizi, kwa kipato gani sasa uweze kusapoti watu wote hao?
Wanaume hawajaumbwa kulalamika na kuongea hovyo, akishaongea mara moja take it very serious usilazimishe aongee zaidi tena kwa ukali ndipo uelewe. Ubishi ndio huwa unawaponza ninyi viumbe kwa kutokuwa watayari wa kutii na kuelewa maelekezo.
Anyways, huu mchezo ni ninyi ndio mlibadilisha rules of engagement. Wanaume tulitaka utaratibu mzuri tu wa kuanzia chini tukienda juu of which is natural hakunaga mtu anaanzia juu kwenda juu zaidi. But ninyi mnalazimisha tuanzie juu na hapo ndipo mnaona wanaume waongo, ila nani anaependa kuambiwa uongo kati ya mwanaume na mwanamke?