Single Moms njooni tuelimishane kitu hapa

Kabisa,sema kujisahau tu
Wanajizima data,
U single mum sio mpya duniani upo tangu kuumbwa kwa misingi ya Dunia,unakumbuka Hajir alivyozaa na Ibrahimu na baadae Sara alivyopata mimba,Hajir na mwanae wakaondolewa pale kwenda nchi za uarabuni na mwanae Ishmael,Sasa yule ndio president wa single mum's....siku hizo wanajifanya wanachambaa hawana lolote...pambania Kijana wako ukute ni future president
 
Ashakhum si Matusi, hata mama yako, shangazi yako, Dada yako au Mkeo anaweza kuwa Single Mom

Usihukumu na kutukana Binadamu wenzio

Mtu anakuwa single mom kwa kufiwa na Mumewe au kwa kuachwa bila sababu halafu analea mtoto peke yake mpaka anakuja kuwa Daktari, Mwanasheria, Mwalimu, Mhandisi n.k

Hili jambo wengi huwa wanajudge kishabiki lakini hata hapa wapo waliolelewa na Single mothers

Ni ushauri tu
Ujuaji huwa unampoteza asiyejua katika kujua. Kama ulikuwa hujui jaribu kuuliza uelimishwe. Simba, nyumbu, sungura, ng'ombe, mbwa, paka, hawa wote ni wanyama wenye miguu minne ila wanatokea familia tofauti kiasili katika makundi ya wanyama.

Mwanamke aliyefiwa na mume wake huyu haitwi Single mother, ni widow, kwa kiswahili ni mjane.

Mwanamke alieachwa huwa anaitwa Divorced Woman sio single mother.

Nakuongezea mwanamke ambaye amekutwa na haya madhira ya hapo juu huwa anawekwa kwenye kundi la Single Parent. Single kwa maana hana mwenzake na Parent kwa maana mzazi mlezi yaani mtu ambaye anavigezo vya kuwa mama au mke wa familia but hayupo na mtu.

Single mother ni mwanamke ambaye kwa hiyari yake na kwa dhamira ya moyo ameamua kupata mtoto kwa sababu ambazo si za kimaadili na hata akikwambia ni mtu kichaa tu ndie atakaemuelewa na ndio maana mtu anayeungana mkono na single mothers huwa namuona na yeye ni tatizo sio mzima.

Sababu za Mjane kulea mtoto au watoto bila mwenzake ni kwasababu mwenzake kufariki, sasa sidhani mtu timamu atamlaani mwanamke kwa kufiwa na mume wake eti hastahiki kupata mwenza mwingine. Kufiwa ni janga sio jambo la kujitakia. Wajane wanastahiki kupata huruma ya jamii.

Sababu za Divorced Woman kulea mtoto au watoto mwenyewe bila baba mtoto au watoto ni kwasababu kuna kushindwa reconciliation ya tofauti za kimahusiano but pengine alipigania sana ndoa yake kwa kujaribu kufanya mambo yaende sawa ila ni mwanamke mwenye haiba nzuri na anajitambua na maadili. Huyu huwezi muhukumu kwa kuandikiwa talaka bali kama aliachwa sio kwa tabia zake mbaya ila ni tabia na shida za mwanaume wake then huyu anastahili hifadhi na anapewa haki ya kuolewa tena kama anajitambua.

Single mother ni mbegu ya shetani katika ulimwengu kwaajiri ya kutengeneza jeshi la wadamu watakaomtumikia yeye shetani. Tazama uzao wa single mothers na mambo wanayofanya. Sababu zao ni negative na ni kinyume cha Ustawi wa jamii, ndoa na ubinadamu.

Single mothers wanachukia MUNGU na njia zake ndio maana wapo kazini kumsaidia shetani kazi yake ya kuharibu uzao wa mwanadamu uzao wa kumtukuza MUNGU na njia zake. Yoyote anaesapoti single mothers utimamu wake haupo sawa, hajitambui, hajui anachoki advocate na kama anajua then unaelewa anadhamira gani. Kimsingi Single mother ni kansa ya jamii na ni hatari kuliko ukimwi, ndio hub ya magonjwa ya zinaa, ndio chanzo cha maumivu ya watoto na kuwapa traumatic experience za utoto, ndio wazalisha kizazi cha wadangaji, malaya, na mabinti vichaa wasio na uelekeo wa kuja kuwa mke wa mtu, ndio kiwanda cha uzalishaji wa watoto wa kiume wanaokuja kuwa mashoga, panyaroad, wala rushwa, na wezi wengineo.

Acha kutetea usichokijua, jielimishe kwanza. Sio unatumia kanuni ya Size moja itatosha wote.
 
Umejieleza kwa ufasaha na wamekusikia. Ila katika ulimwengu wa roho huyo mtoto ni damu ya huyo baba, ukifanya mila Ni lazima baba atafutwe.
 
Wanajizima data,
U single mum sio mpya duniani upo tangu kuumbwa kwa misingi ya Dunia,unakumbuka Hajir alivyozaa na Ibrahimu na baadae Sara alivyopata mimba,Hajir na mwanae wakaondolewa pale kwenda nchi za uarabuni na mwanae Ishmael,Sasa yule ndio president wa single mum's....siku hizo wanajifanya wanachambaa hawana lolote...pambania Kijana wako ukute ni future president
🤣😍 And life goes on
 
Kiukweli naonaga uvivu sana,kuongelea issue ya usingle mama.....naonaga Kama watu Wana exaggerate sana,Kuna watu wengi tu wamelelewa na mama zao bila uwepo wa baba either Kwa wazazi kutengana au Kwa baba kufariki,lakini Leo ni watu Bora kabisa kwenye jamii zetu...Mama ni mlezi,mama ni daktari,ni mpishi,ni dobi,ni mwalimu,ni hakimu ana mengii sana
 
♥️😘😘
 
Ashakhum si Matusi, hata mama yako, shangazi yako, Dada yako au Mkeo anaweza kuwa Single Mom

Usihukumu na kutukana Binadamu wenzio

Mtu anakuwa single mom kwa kufiwa na Mumewe au kwa kuachwa bila sababu halafu analea mtoto peke yake mpaka anakuja kuwa Daktari, Mwanasheria, Mwalimu, Mhandisi n.k

Hili jambo wengi huwa wanajudge kishabiki lakini hata hapa wapo waliolelewa na Single mothers

Ni ushauri tu
Kitu kikiwa si sahihi, ni sio sahihi tu.
Utashangaa hata huyo single mom hataki mwanae wa kiume aoe single mom.
Haya tuambie kwa nini huwa Wana kataa?

Wanaweza kuwa single mom ila hata wao wenyewe wanatambua hii sio njia sahihi.
 
Ujuaji huwa unampoteza asiyejua katika kujua. Kama ulikuwa hujui jaribu kuuliza uelimishwe. Simba, nyumbu, sungura, ng'ombe, mbwa, paka, hawa wote ni wanyama wenye miguu minne ila wanatokea familia tofauti kiasili katika makundi ya wanyama.

Mwanamke aliyefiwa na mume wake huyu haitwi Single mother, ni widow, kwa kiswahili ni mjane.

Mwanamke alieachwa huwa anaitwa Divorced Woman sio single mother.

Nakuongezea mwanamke ambaye amekutwa na haya madhira ya hapo juu huwa anawekwa kwenye kundi la Single Parent. Single kwa maana hana mwenzake na Parent kwa maana mzazi mlezi yaani mtu ambaye anavigezo vya kuwa mama au mke wa familia but hayupo na mtu.

Single mother ni mwanamke ambaye kwa hiyari yake na kwa dhamira ya moyo ameamua kupata mtoto kwa sababu ambazo si za kimaadili na hata akikwambia ni mtu kichaa tu ndie atakaemuelewa na ndio maana mtu anayeungana mkono na single mothers huwa namuona na yeye ni tatizo sio mzima.

Sababu za Mjane kulea mtoto au watoto bila mwenzake ni kwasababu mwenzake kufariki, sasa sidhani mtu timamu atamlaani mwanamke kwa kufiwa na mume wake eti hastahiki kupata mwenza mwingine. Kufiwa ni janga sio jambo la kujitakia. Wajane wanastahiki kupata huruma ya jamii.

Sababu za Divorced Woman kulea mtoto au watoto mwenyewe bila baba mtoto au watoto ni kwasababu kuna kushindwa reconciliation ya tofauti za kimahusiano but pengine alipigania sana ndoa yake kwa kujaribu kufanya mambo yaende sawa ila ni mwanamke mwenye haiba nzuri na anajitambua na maadili. Huyu huwezi muhukumu kwa kuandikiwa talaka bali kama aliachwa sio kwa tabia zake mbaya ila ni tabia na shida za mwanaume wake then huyu anastahili hifadhi na anapewa haki ya kuolewa tena kama anajitambua.

Single mother ni mbegu ya shetani katika ulimwengu kwaajiri ya kutengeneza jeshi la wadamu watakaomtumikia yeye shetani. Tazama uzao wa single mothers na mambo wanayofanya. Sababu zao ni negative na ni kinyume cha Ustawi wa jamii, ndoa na ubinadamu.

Single mothers wanachukia MUNGU na njia zake ndio maana wapo kazini kumsaidia shetani kazi yake ya kuharibu uzao wa mwanadamu uzao wa kumtukuza MUNGU na njia zake. Yoyote anaesapoti single mothers utimamu wake haupo sawa, hajitambui, hajui anachoki advocate na kama anajua then unaelewa anadhamira gani. Kimsingi Single mother ni kansa ya jamii na ni hatari kuliko ukimwi, ndio hub ya magonjwa ya zinaa, ndio chanzo cha maumivu ya watoto na kuwapa traumatic experience za utoto, ndio wazalisha kizazi cha wadangaji, malaya, na mabinti vichaa wasio na uelekeo wa kuja kuwa mke wa mtu, ndio kiwanda cha uzalishaji wa watoto wa kiume wanaokuja kuwa mashoga, panyaroad, wala rushwa, na wezi wengineo.

Acha kutetea usichokijua, jielimishe kwanza. Sio unatumia kanuni ya Size moja itatosha wote.
Yaan wewe unaandika...kiasi Kwamba mada ndani ya mada🙄
 
Kitu kikiwa si sahihi, ni sio sahihi tu.
Utashangaa hata huyo single mom hataki mwanae wa kiume aoe single mom.
Haya tuambie kwa nini huwa Wana kataa?

Wanaweza kuwa single mom ila hata wao wenyewe wanatambua hii sio njia sahihi.
Sahihi mkuu
 
Yaan wewe unaandika...kiasi Kwamba mada ndani ya mada[emoji849]
Ha ha ha ha ha [emoji23][emoji23][emoji23] sasa mbona unanizuia kutema cheche. Hivi unajua ninaacha kazi nakuja chooni kuandika ili kuchangia mada halafu badala ya kusoma unisapoti au kunipinga kwa hoja unaniponda uandishi wangu. Mbona mwanamke una ghubu wewe? [emoji23]
 
Too much...umeeleweka mbona.Ninachojua mwanaume asili yake huwa haongei sana mkuu
 
Kiukweli naonaga uvivu sana,kuongelea issue ya usingle mama.....naonaga Kama watu Wana exaggerate sana,Kuna watu wengi tu wamelelewa na mama zao bila uwepo wa baba either Kwa wazazi kutengana au Kwa baba kufariki,lakini Leo ni watu Bora kabisa kwenye jamii zetu...Mama ni mlezi,mama ni daktari,ni mpishi,ni dobi,ni mwalimu,ni hakimu ana mengii sana
Hapana sio sahihi, hatuwezi sema ni exaggeration jambo ambalo lina impact mbaya katika jamii. Ni sawa na kusema tusicomplain sana kuhusu mafisadi na wala rushwa sababu ni watu ambao wanahudumia familia zao vema, wanasaidia ndugu, jamaa, marafiki na majirani katika shida na raha.

Wrong is just wrong and should be condemned at any cost.
 
Too much...umeeleweka mbona.Ninachojua mwanaume asili yake huwa haongei sana mkuu
No, kuna material hapo nilikuwa naweka in relation to the comment nilikuwa naijibu. By the way mtu kuwa mzito kusoma mambo mengi can say alot about how upo serious kwenye eneo la kujifunza.

Ni aidha nimeongea vitu vingi kwa wakati m'moja ubongo wako umeweka room ndogo sana ya kujifunza na kupokea vitu vipya, au nimeongea contents ambazo zinakuletea "Intrapersonal conflict" baada ya kuzisoma na zikachallenge your beliefs.

Sorry for the red pill [emoji381] effect.
 
Back
Top Bottom