Ashakhum si Matusi, hata mama yako, shangazi yako, Dada yako au Mkeo anaweza kuwa Single Mom
Usihukumu na kutukana Binadamu wenzio
Mtu anakuwa single mom kwa kufiwa na Mumewe au kwa kuachwa bila sababu halafu analea mtoto peke yake mpaka anakuja kuwa Daktari, Mwanasheria, Mwalimu, Mhandisi n.k
Hili jambo wengi huwa wanajudge kishabiki lakini hata hapa wapo waliolelewa na Single mothers
Ni ushauri tu
Ujuaji huwa unampoteza asiyejua katika kujua. Kama ulikuwa hujui jaribu kuuliza uelimishwe. Simba, nyumbu, sungura, ng'ombe, mbwa, paka, hawa wote ni wanyama wenye miguu minne ila wanatokea familia tofauti kiasili katika makundi ya wanyama.
Mwanamke aliyefiwa na mume wake huyu haitwi Single mother, ni widow, kwa kiswahili ni mjane.
Mwanamke alieachwa huwa anaitwa Divorced Woman sio single mother.
Nakuongezea mwanamke ambaye amekutwa na haya madhira ya hapo juu huwa anawekwa kwenye kundi la Single Parent. Single kwa maana hana mwenzake na Parent kwa maana mzazi mlezi yaani mtu ambaye anavigezo vya kuwa mama au mke wa familia but hayupo na mtu.
Single mother ni mwanamke ambaye kwa hiyari yake na kwa dhamira ya moyo ameamua kupata mtoto kwa sababu ambazo si za kimaadili na hata akikwambia ni mtu kichaa tu ndie atakaemuelewa na ndio maana mtu anayeungana mkono na single mothers huwa namuona na yeye ni tatizo sio mzima.
Sababu za Mjane kulea mtoto au watoto bila mwenzake ni kwasababu mwenzake kufariki, sasa sidhani mtu timamu atamlaani mwanamke kwa kufiwa na mume wake eti hastahiki kupata mwenza mwingine. Kufiwa ni janga sio jambo la kujitakia. Wajane wanastahiki kupata huruma ya jamii.
Sababu za Divorced Woman kulea mtoto au watoto mwenyewe bila baba mtoto au watoto ni kwasababu kuna kushindwa reconciliation ya tofauti za kimahusiano but pengine alipigania sana ndoa yake kwa kujaribu kufanya mambo yaende sawa ila ni mwanamke mwenye haiba nzuri na anajitambua na maadili. Huyu huwezi muhukumu kwa kuandikiwa talaka bali kama aliachwa sio kwa tabia zake mbaya ila ni tabia na shida za mwanaume wake then huyu anastahili hifadhi na anapewa haki ya kuolewa tena kama anajitambua.
Single mother ni mbegu ya shetani katika ulimwengu kwaajiri ya kutengeneza jeshi la wadamu watakaomtumikia yeye shetani. Tazama uzao wa single mothers na mambo wanayofanya. Sababu zao ni negative na ni kinyume cha Ustawi wa jamii, ndoa na ubinadamu.
Single mothers wanachukia MUNGU na njia zake ndio maana wapo kazini kumsaidia shetani kazi yake ya kuharibu uzao wa mwanadamu uzao wa kumtukuza MUNGU na njia zake. Yoyote anaesapoti single mothers utimamu wake haupo sawa, hajitambui, hajui anachoki advocate na kama anajua then unaelewa anadhamira gani. Kimsingi Single mother ni kansa ya jamii na ni hatari kuliko ukimwi, ndio hub ya magonjwa ya zinaa, ndio chanzo cha maumivu ya watoto na kuwapa traumatic experience za utoto, ndio wazalisha kizazi cha wadangaji, malaya, na mabinti vichaa wasio na uelekeo wa kuja kuwa mke wa mtu, ndio kiwanda cha uzalishaji wa watoto wa kiume wanaokuja kuwa mashoga, panyaroad, wala rushwa, na wezi wengineo.
Acha kutetea usichokijua, jielimishe kwanza. Sio unatumia kanuni ya Size moja itatosha wote.