Single mother anaamini kuwa step-Dad hampendi mwanae bali anaigiza

Single mother anaamini kuwa step-Dad hampendi mwanae bali anaigiza

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Habari zenu,

Ewe Mwanaume uliejibebesha majukumu ya mwanaume mwenzako kwa kusingizia upendo tambua kuwa Single Mother aamini kuwa unampenda mwanae bali unaigiza.

Siku mwanae akiwa anaumwa na ukashindwa kumpeleka hospital atasema unataka mwanae afe kwasababu humpendi.

Siku ukimkemea mtoto na kumchapa, atasema unamchukia mwanae hata kama unamrekebisha.

Siku ukishindwa kulipa Ada ya shule, atasema umemnyima mwanae elimu kwasababu sio mtoto wako.

POLE SANA STEP DAD, MAANA KILA UFANYALO UNAONEKANA UNAIGIZA.
 
Back
Top Bottom