Single mother bana, tabu tupu

ukimpotezea atakuwa adui yako.wanawake ndo walivyo akikuonyesha kuku jal we ukamchukulia poa anahis kama umemzarau kinachofata ni vita,isha nikuta sana hii
 
Aisee ushauri gaani unataka sasa.
Tuna wapuuzi wengi sana humu duniani
 
Unakuta ata kataa ndoa tunawasagia kunguni as if watajioa [emoji1787][emoji1787] ila sizan sizan kama kuna mtu mjinga huku ataendeshwa na mawazo hasi .
Hawakosi kuna mamburula wafata mkumbo humu.. ndo mana mtu akija na mada ya kutaka kujiua au kujidhuru sifanyagi mzaha kabisaa u never know, sasa kuna watu humu ndo kwanza ana comment wasalimie kuzimu au utani kwenye mada za hatari. So ata ushaur wa kijinga wanafata pia
 

Kwisha habari yako [emoji23][emoji23]
 
Asipokuelewa naomba akaendelee tu na kilimo chake cha nyanya chungu.
 
Kaa kwa kutulia Uncle.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasalaam JF,

Hivi hawa masingle mother ni viumbe gani, inakuwaje wanawaza kamserereko tu bila kujiongeza, kila muda wako negative, omba omba, chuma ulete, wengi ni akina mama cha wote, hakuna mwaminifu hata single mothers walokole nao hamna kitu.
Wasipobadirikq tutawanyandua kwa magepu sana.

Ukiwapa pesa lampsum hawajitambui, ukiwapa weekly pasua kichwa.

Mpaka sasa maamuzi yangu single mothers ntawanyandua kwa one night stand tu, na kwa huruma labda occasionally maana hawajitambui kabisa.

Ukiwasaidia ni kama wamekusaidie na usimpomsaidiia yeye ndio anakusaidia.

Badilikeni Maisha ni kujishusha na kuwa na focus.

Wadiz
 
Unawataka ili ufanye research au [emoji1241]
 
Mnawapendea nn? Mbona kama mnateseka nao sana? Kuna kitu wanaume huwa kinatuumiza sana, kushindwa kumfuta mwanaume mwezako kichwani kwa mwanamke uliye naye. Wengi wanaolalamika kuhusu single mothers ni wale wanaotaka kujiaminisha wao ni wanaume kuliko waliompa mimba. Kama huna ulilotegemea ungefanya yako ungeondoka, wala asingekutesa.
 
Ni wote?
 
Ni wajinga sana hao, wastaarabu ni kama 10% tu kati yao, wasumbufu wanaomba omba pesa muda wote, na mbaya zaidi hutoa malalamiko dhidi ya walio wazalisha, lakini Cha ajabu mala kadhaa hukutana na hao waliowazalisha tena na wananyanduana, majinga sana hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…