Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Ni spana after spana 🤣😂Bora ukalale kituo cha polisi kuliko kuishi na singo maza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni spana after spana 🤣😂Bora ukalale kituo cha polisi kuliko kuishi na singo maza
Kabisa na Biblia inasema asiyekunywa bia ana laana (kumb 28) so nakuunga mkonoHizo ela unazowapa wanawake nunua viwanja jenga nyumba za wapangaji, ukizeeka ni bia tu
Haina ugumu hata kidogo,ni vile unanichukulia 😘
Dhambi ni ile inayoonekana"It takes two to tango" .
Wote, ma "single mother" na wanaume (mababa wasiojijuwa) waliowajaza mimba na kuwazalisha ni zao la ukosefu wa maadili. Wote hao ni wafanya uasherati na uzinzi.
Hakuna aliyechelewa, rudini kwa kujisalimisha kwa Mola Muumba wetu muombe toba. Kila mwanamme aliyemzalisha mwanamke akamtelekeza ajisalimishe waoane kihalali.
Kuoa single mother nisawa na kuvuta sigara SHELL"It takes two to tango" .
Wote, ma "single mother" na wanaume (mababa wasiojijuwa) waliowajaza mimba na kuwazalisha ni zao la ukosefu wa maadili. Wote hao ni wafanya uasherati na uzinzi.
Hakuna aliyechelewa, rudini kwa kujisalimisha kwa Mola Muumba wetu muombe toba. Kila mwanamme aliyemzalisha mwanamke akamtelekeza ajisalimishe waoane kihalali.
Kwa Zanzibar mwanamke aliyepewa talaka anaitwa mjane. Kwa hiyo issues inakuwa ni ile ile kwa nini ameachwa? Hasa akiwa na mtoto.aliye afadhali ni mjane tu, tena sio mjane wa Kizanzibar maana kule mtalikiwa pia ni mjane..
Mjane wa kizanzibar tufafanulie japo....kidogo😔
Nacho kujua wanawake wa Zanzibar ni wakarimu sana wanajua nafasi zao pia wanaupendo wa Dhati....
Tulia we bibi kizee"It takes two to tango" .
Wote, ma "single mother" na wanaume (mababa wasiojijuwa) waliowajaza mimba na kuwazalisha ni zao la ukosefu wa maadili. Wote hao ni wafanya uasherati na uzinzi.
Hakuna aliyechelewa, rudini kwa kujisalimisha kwa Mola Muumba wetu muombe toba. Kila mwanamme aliyemzalisha mwanamke akamtelekeza ajisalimishe waoane kihalali.
Wasalaam JF,
Hivi hawa masingle mother ni viumbe gani, inakuwaje wanawaza kamserereko tu bila kujiongeza, kila muda wako negative, omba omba, chuma ulete, wengi ni akina mama cha wote, hakuna mwaminifu hata single mothers walokole nao hamna kitu.
Wasipobadirikq tutawanyandua kwa magepu sana.
Ukiwapa pesa lampsum hawajitambui, ukiwapa weekly pasua kichwa.
Mpaka sasa maamuzi yangu single mothers ntawanyandua kwa one night stand tu, na kwa huruma labda occasionally maana hawajitambui kabisa.
Ukiwasaidia ni kama wamekusaidie na usimpomsaidiia yeye ndio anakusaidia.
Badilikeni Maisha ni kujishusha na kuwa na focus.
Wadiz

Single mama 99% ni tatizoWapumzisheni kidogo dada zetu aisee, nadhani tusichue tabia za watu fulani tukazijumlisha kwa wote. Nina imani wapo ambao wanajielewa kuliko hata ambao hawana watoto.
Ila Pole sana kwa yaliyo kukuta mkuu.