Single mother bana, tabu tupu

Single mother bana, tabu tupu

"It takes two to tango" .

Wote, ma "single mother" na wanaume (mababa wasiojijuwa) waliowajaza mimba na kuwazalisha ni zao la ukosefu wa maadili. Wote hao ni wafanya uasherati na uzinzi.

Hakuna aliyechelewa, rudini kwa kujisalimisha kwa Mola Muumba wetu muombe toba. Kila mwanamme aliyemzalisha mwanamke akamtelekeza ajisalimishe waoane kihalali.
 
Dhambi ni ile inayoonekana
 
Kuoa single mother nisawa na kuvuta sigara SHELL

kijana unayetaka kujitwika mabomu uoe single mother. ...

🤣🤣🤣😂😂
 
aliye afadhali ni mjane tu, tena sio mjane wa Kizanzibar maana kule mtalikiwa pia ni mjane..

Mjane wa kizanzibar tufafanulie japo....kidogo😔

Nacho kujua wanawake wa Zanzibar ni wakarimu sana wanajua nafasi zao pia wanaupendo wa Dhati....
Kwa Zanzibar mwanamke aliyepewa talaka anaitwa mjane. Kwa hiyo issues inakuwa ni ile ile kwa nini ameachwa? Hasa akiwa na mtoto.
 
"It takes two to tango" .

Wote, ma "single mother" na wanaume (mababa wasiojijuwa) waliowajaza mimba na kuwazalisha ni zao la ukosefu wa maadili. Wote hao ni wafanya uasherati na uzinzi.

Hakuna aliyechelewa, rudini kwa kujisalimisha kwa Mola Muumba wetu muombe toba. Kila mwanamme aliyemzalisha mwanamke akamtelekeza ajisalimishe waoane kihalali.
Tulia we bibi kizee

Kwanza nakupenda na nakuzimia, mi sijali hata kama unawajukuu nakupenda hivyo hivyo
 
Single mama hawezi kukupenda kwa jinsi ulivyo, bali kutakuwa na sharti la mtoto. Kwamba iwapo utamtunza mtoto kama single mama atakavyo basi utapewa mapenzi matamu. Ni ukweli usiopingika kuwa mwanamke apatapo mtoto mapenzi yote huhamia huko, hivyo wewe jiandae kuwa chaguo la pili kwake. Haya sio mapenzi na ujue tu kuwa huwezi kuwa na amani kamwe.
 
Nyumba yeyeto ambayo mwanaume mwenzio katoka nduki kuingia utakuwa una mapepo sio bure. Mke mwema aachiki
 
Mtoto si wako. Hata kama utampenda na kumhudumia kwa namna yoyote ile, ukweli utabaki kuwa huyo si mwanao, sio damu yako. Ni kwamba umejitwika jukumu la kumhudumia mtoto wa mwanaume mwenzako ambaye ndiye ataendelea kutambulika kama baba mzazi. Siku akikua ataanza kumtafuta aliyechangia mbegu mpaka akaja dunuani, sio aliyechangia ugali. Ikitokea mmeachana na single mama, ujue ndio mwisho wa kuonana na mwanao mpenzi uliyekuwa ukimtunza kwa nguvu zako zote
 
Wasalaam JF,

Hivi hawa masingle mother ni viumbe gani, inakuwaje wanawaza kamserereko tu bila kujiongeza, kila muda wako negative, omba omba, chuma ulete, wengi ni akina mama cha wote, hakuna mwaminifu hata single mothers walokole nao hamna kitu.
Wasipobadirikq tutawanyandua kwa magepu sana.

Ukiwapa pesa lampsum hawajitambui, ukiwapa weekly pasua kichwa.

Mpaka sasa maamuzi yangu single mothers ntawanyandua kwa one night stand tu, na kwa huruma labda occasionally maana hawajitambui kabisa.

Ukiwasaidia ni kama wamekusaidie na usimpomsaidiia yeye ndio anakusaidia.

Badilikeni Maisha ni kujishusha na kuwa na focus.

Wadiz

Tatizo leo hamsikilizi Kaka zenu mpaka mjaribu, haya sasa na wewe umejionea.
 
Single mama acheni tabia za kuwalisha sumu mabinti zenu Ili wasiishi maisha yenu. Kama ndoa haikuwa bahati kwako Acha kumpamdia sumu binti yako ya kuwachukia wanaume.
Ndo ni photocopy ya jinsi wazazi wako walivyo ishi kwenye ndoa. Kama mzazi wako hakuwa kwenye mfumo wa ndoa ni vigumu Sana mtoto nae kudumu kwenye mfumo wa maisha ya ndoa.
Acheni kuwalisha sumu watoto zenu mfano" asikubabaishe una Kazi YAKO" si umuache mbona Mimi maishi mwenyewe" hizi ni sumu mbaya Sana.
Ulishindwa wewe na sio kupanda sumu binti zako nao washindwe.
Ndoa ni ibada
 
Utatumia nguvu kubwa kulilinda penzi. Ili ujihakikishie kuwa single mama anatulizana na wewe, utahitaji kuishi maisha ya kumfurahisha yeye, kumpa atakacho ili asije akamkumbuka mume wake wa kwanza. Namna pekee ya kumfurahisha ni kuhakikisha mtoto wa mwanamume mwenzako anapata maatunzo mazuri, nguo nzuri, elimu nzuri n.k. Utalazimika kuwa karibu naye kuliko hata baba mzazi anavyokuwa, yote haya ni kutafuta kumfurahisha single mama. Utaishi maisha ya kujipendekeza, yenye stress nyinyi...
 
Mume wa kwanza ana nafasi ya kuendelea kumtafuna single mama atakavyo.
Kwa kawaida mwanamke akishazaa na mwanamume, ule muunganiko huwa haufi.
Tayari ni mzazi mwenza na hana cha khmficha tena, hivyo kupasha kiporo ni jambo la kawaida tu.
Pia mama atataka mtoto amjue baba yake halisi kwa ajili ya siku zijazo, hivyo hawezi kujiweka mbali na mzazi mwenzake. Sasa mzazi mwenza ni juu yake kuamua kuendelea kumla ama la, kwani hakuna kutongozana tena, ni kupanga miadi tu na kukutana kuserebuka.
Kidume wewe utageuzwa baba mlishi huku haki nyingine zote zikielekezwa kwa mwenye mwanaye.
 
Wasalaam JF,

Hivi hawa masingle mother ni viumbe gani, inakuwaje wanawaza kamserereko tu bila kujiongeza, kila muda wako negative, omba omba, chuma ulete, wengi ni akina mama cha wote, hakuna mwaminifu hata single mothers walokole nao hamna kitu.
Wasipobadirikq tutawanyandua kwa magepu sana.

Ukiwapa pesa lampsum hawajitambui, ukiwapa weekly pasua kichwa.

Mpaka sasa maamuzi yangu single mothers ntawanyandua kwa one night stand tu, na kwa huruma labda occasionally maana hawajitambui kabisa.

Ukiwasaidia ni kama wamekusaidie na usimpomsaidiia yeye ndio anakusaidia.

Badilikeni Maisha ni kujishusha na kuwa na focus.

Wadiz

Kwanini upate taabu kulalamika wakati uamuzi wa kuwa nao au kutokuwa nao ni wako??
Kwani umelazimishwa🙄
 
Back
Top Bottom