Single mother bana, tabu tupu

Single mother bana, tabu tupu

Wewe ni mpumbavu.
Kumbuka, sijakutukana ila nimekuita kwa jina lako.
Punguza majuaji kila mtu anamisimamo yake,usinipangie maamuzi..tulia home lea hako katoto ulikopata baada ya kubakwa...

Mtulize basha wako na uache zako za kimalaya..
 
Asilimia 90 ya wanawake wanaeleza Emotions na feelings zao kupitia status...!! Kama mdangaji utajua tu[emoji3][emoji3]
Kabisa,
Wanachukulia status Kama namna flan ya kuachia waliyonayo moyoni[emoji4]
 
Samaleko...

Hiki nacho ni moja ya visa vyangu kwenye harakati zangu za kumpata mtoto wa mama mkwe.

Kuna ka binti nilikutana nako miezi kama mitatu iliyopita. Siku ya kwanza tu nakaona nilipokasalimia tu, kalinichangamkia sana. Kakaniambia "ni kama nakuonaga maeneo flan" na ni kweli ndio maeneo niyoushi. Nikamjibu itakua kweli maana naishi maeneo hayo. Kwenye stori stori kumbe hakai mbali na ninapoishi. Basi tukabadilishana namba kila mtu kwao.

Nikatulia kama wiki kadhaa nikamche, just kumpa salam. Nikamuuliza upo wap? Akanijibu, kumbe anapofanya kazi nami huwa napita kila siku nikitoka kwenye mishe zangu jion. Basi nikamwambia naomba nisubiri nitakupitia hapo, akaubali.

Basi nimefunga zangu mida ya saa3 usiku nikamuuliza umemaliza kazi akajibu ndio, nikamwambia nakupitia, akajibu sawa. Kweli nikampita, nikampitisha mahala kupata dinner then kila mtu kwao. Siku ikaisha.

Sasa kipindi hichi sasa nikaanza kukathaminisha kama kanaweza nifaa kwenye nia yangu. Kimuonekano kakawa kanaingia, kanatoka. Nikajiambia anyway, ngoja nitupe ndoano huwezi jua pengine roho yake na treatment zake zinaweza nifanya nizame mazima. Wakati huu bado sijui kama ni ka single mother maana kalikua hakana muonekano wa kamba kalisha zaa na hakana smartphone, so sikua hata naona status zake whatsapp. Maana njia nyingine ya mkujua mtu ni kupia status anazopost.

Basi nikaanza kukasaundisha. Kakaanza kuingia lain. Jinsi nilivyokua romantic hadi kuna siku kakaniambia "yaani wanaume wengine jaman, unaweza hata wabebea mimba". Mimi bichwa hilo.

Basi life likaendelea, muda huu wote sijui kama ni ka single mother. Siku moja, nikasema leo nataka nijiridhishe na maisha yake. Nikamwambia atafute siku atakua na muda nimtoe dinner. Kweli akaniambia siku flan. Siku ikafika tukatoka. Basi ni msosi na soft drinks tu (situmii alcohol).

Kwenye mastori nikamtega akajaa. Akaanza kufunguka kuwa yy anamtoto wa kike alizaa na jamaa wa bukoba. Mtoto anaishi na baba yake bukoba. Nikamtega zaidi akaendelea kufunguka. Akasema, kuwa anampigia sim mzazi mwenzie anampa sim mtoto anaongea nae. Nikajiambia, hawa bado wana bondi inayoishi kabisa. Kwa kifupi nika conclude kwamba siku hio iwe mwisho wa kumfuatilia. Basi baada ya muda nikarudisha kwao maana anakaa na mama yake.

Sasa wiki mbili zilizopita nilimuona maeneo flan mida ya saa3 asubuhi ila yy hakuniona. Ilipofika saa5 nikamtext, nimekuona maeneo flan sijui ulikua wewe. Akasema ndio ni mm. Nikamuuliza hujaenda kazini? Akajibu sijaenda, ninasafari ya bukoba leo naondoka na magari ya saa7 yanayotoka dar. Nikamwambia safari njema. In short nilihisi kabisa anenda kwa mzaz mwenzie. Sasa kipindi hichi kesha nunua smartphone.

Kweli alisafiki. Picha likaanza kwenye status. Mara ampost mzazi mwenzie na caption like "asante baba kwa kunitunzia mwanangu" yaani ni post za mzaz mwenzie like bado wana uhusiano. Muda huu mm nilishasitisha zoezi, so nothing to complain.

Ninachota kuwaambia, kuoa single mother ni kujitafutia stress tu. Hawaachanagi hawa. Kama uko fresh tafuta fresh mwenzio muanze kwa score ya 0-0. Vinginevyo jiandae kuja kutuomba ushauri hapa.
Mkuu hii sio kweli?

Mimi mwenyewe nimeoa single mother naishi nae vizuri tu na mtoto yupo kwa bibi yake na likizo anakuja kwangu namtreat kama mwanangu tu ilihali mpaka babake namjua na namba yake ninayo.

Na wife hana mawasiliano na huyu jamaa japo mwanzoni walikuwa wanawasiliana kisa mahitaji ya mtoto ila jamaa akawa mgumu basi nikamwambia aachane nae tutafix wenyewe mpaka dogo yupo darasa la 7 mwaka huu sioni chochote kuhusu huyo jamaa.

Sio wanawake wote wapo hivyo ni baadhi tu, na huyo unaesema wewe kwa sababu bado hujamuoa sasa unadhani una cha kumpangia?

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
Kuna kitu kinaitwa co-parenting wakikutana tu,hapo ndipo unaibukaga ule msemo wa ".......hawala hana talaka ukimtaka unampata........".Wapo wenye kuwakazia waliozaa nao ila wachache sana.
 
Punguza majuaji kila mtu anamisimamo yake,usinipangie maamuzi..tulia home lea hako katoto ulikopata baada ya kubakwa...

Mtulize basha wako na uache zako za kimalaya..
Ooops nilijua tayari unajua wewe ni MPUMBAVU lakini kwa namna ulivyo react ni Wazi wewe ni mjinga pia ndiyo maana ujinga wako hauwezi kukuruhusu utambue wewe ni mpumbavu.

Pole sana ilibidi uwe umeshajua siku nyingi how stupid you are!
 
Kuzaliwa na single mother hakufanyi wewe uoe single mother, je Kama mamayako alikua Malay** na wewe utaoa malaya, Kama mamako m hawi na wewe utaoa mchawi,....mahusino yako hayaingilia I na line ya ndugu zako mpaka uheshimiwe
Wazazi wangu ingetokea wakawa hivyo nikifika eneo hilo nakaa kimyaa.Kwahiyo nimepatia unazaliwa na single mother eeh!!?
 
Mkuu hii sio kweli?

Mimi mwenyewe nimeoa single mother naishi nae vizuri tu na mtoto yupo kwa bibi yake na likizo anakuja kwangu namtreat kama mwanangu tu ilihali mpaka babake namjua na namba yake ninayo.

Na wife hana mawasiliano na huyu jamaa japo mwanzoni walikuwa wanawasiliana kisa mahitaji ya mtoto ila jamaa akawa mgumu basi nikamwambia aachane nae tutafix wenyewe mpaka dogo yupo darasa la 7 mwaka huu sioni chochote kuhusu huyo jamaa.

Sio wanawake wote wapo hivyo ni baadhi tu, na huyo unaesema wewe kwa sababu bado hujamuoa sasa unadhani una cha kumpangia?

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
Good luck [emoji106]
 
Ooops nilijua tayari unajua wewe ni MPUMBAVU lakini kwa namna ulivyo react ni Wazi wewe ni mjinga pia ndiyo maana ujinga wako hauwezi kukuruhusu utambue wewe ni mpumbavu.

Pole sana ilibidi uwe umeshajua siku nyingi how stupid you are!
Singo maza ni sawa na kununua gazeti jioni,fulustop...

Niwe mjinga,kilaza,mpumbavu utajua wewe ila watu wangu wakaribu huwa wananielewa ninapowaeleza kuwa singo maza ni kama kituo cha polisi...

Wewe pamoja na werevu wako lakini unalea hako katoto peke ako na ujinga wako..wanawake kama wewe mliletwa duniani mkutane na wanaume wawazalishe,wawatelekeze ili muwe mifano kwa wengine...
Usiichukie hali uliyonayo wewe ni singo maza tu na kama inauma chomoa.
 
Ni kweli mkuu kama hili lisagaji tu Dr. Mariposa ni mfano hai
 
Yaani upo kwenye MAHUSIANO na mwanaume X then unampostiposti mwanaume Y eti kwasababu mulia hana for good

Somo la mahusiano lianzishwe mashuleni

Kwani picha Ni nini?
Alafu alieandika kasema mahusiano?
Hata kumtongoza hajamtongoza kaanza lawama..
Sijasema kama mimi ni Ke au Me nimejibu kwa nionavyo
 
Back
Top Bottom