Single mother bana, tabu tupu

Single mother bana, tabu tupu

Mkuu hii sio kweli?

Mimi mwenyewe nimeoa single mother naishi nae vizuri tu na mtoto yupo kwa bibi yake na likizo anakuja kwangu namtreat kama mwanangu tu ilihali mpaka babake namjua na namba yake ninayo.

Na wife hana mawasiliano na huyu jamaa japo mwanzoni walikuwa wanawasiliana kisa mahitaji ya mtoto ila jamaa akawa mgumu basi nikamwambia aachane nae tutafix wenyewe mpaka dogo yupo darasa la 7 mwaka huu sioni chochote kuhusu huyo jamaa.

Sio wanawake wote wapo hivyo ni baadhi tu, na huyo unaesema wewe kwa sababu bado hujamuoa sasa unadhani una cha kumpangia?

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app

Congratulations gentleman na Mungu akuzidishie..
Unawekeza kesho ya mtoto ambae atakuja kukufurahisha mbeleni na kuinua ndugu zake.
 
Mkuu hii sio kweli?

Mimi mwenyewe nimeoa single mother naishi nae vizuri tu na mtoto yupo kwa bibi yake na likizo anakuja kwangu namtreat kama mwanangu tu ilihali mpaka babake namjua na namba yake ninayo.

Na wife hana mawasiliano na huyu jamaa japo mwanzoni walikuwa wanawasiliana kisa mahitaji ya mtoto ila jamaa akawa mgumu basi nikamwambia aachane nae tutafix wenyewe mpaka dogo yupo darasa la 7 mwaka huu sioni chochote kuhusu huyo jamaa.
Babu jinga kaa ufikiri mali yako inaliwa
 
Singo maza ni sawa na kununua gazeti jioni,fulustop...

Niwe mjinga,kilaza,mpumbavu utajua wewe ila watu wangu wakaribu huwa wananielewa ninapowaeleza kuwa singo maza ni kama kituo cha polisi...

Wewe pamoja na werevu wako lakini unalea hako katoto peke ako na ujinga wako..wanawake kama wewe mliletwa duniani mkutane na wanaume wawazalishe,wawatelekeze ili muwe mifano kwa wengine...
Usiichukie hali uliyonayo wewe ni singo maza tu na kama inauma chomoa.
Hahahhahaha wewe ni mpumbavu sana. Ni hasara kwa jamii[emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Mimi naishi maisha ambayo ni maisha ya ndoto zako. Mume wangu ni aina ya mwanaume ambao una ndoto za kuwa kama hao ukiacha ujinga.

Naishi kwenye nyumba ambayo ni nyumba za ndoto zako.
Namiliki magari ambayo nina uhakika pia ni magari ya ndoto zako.

Halafu nina watoto wawili wazuri na wanasoma shule ambayo usipoacha upumbavu hautokaa kuweza kumpeleka mtoto wako hapo.

Huo muda wa kutukana single maza tumia kujikwamua kimaisha uache ujinga na makasiriko.
 
Halafu anakuja mpumbavu mmoja ametoka huko machakani...
Ni singo maza,Hajui kuhusu ndoa,hajui uhuru wa mtu,kato**wa hajaoga,ananuka janaba,na kapua kake ameweka juu et "wewe mpumbavu,sijakutukana nimekuita jina"...
Kwani uongo? Wewe ni mpumbavu na ulipaswa uwe unajua tayari.

Unazungukwa na watu wanafiki ilibidi wawe wameshakuambia ukweli kwamba wewe ni Mpumbavu .
 
Samaleko...

Hiki nacho ni moja ya visa vyangu kwenye harakati zangu za kumpata mtoto wa mama mkwe.

Kuna ka binti nilikutana nako miezi kama mitatu iliyopita. Siku ya kwanza tu nakaona nilipokasalimia tu, kalinichangamkia sana. Kakaniambia "ni kama nakuonaga maeneo flan" na ni kweli ndio maeneo niyoushi. Nikamjibu itakua kweli maana naishi maeneo hayo. Kwenye stori stori kumbe hakai mbali na ninapoishi. Basi tukabadilishana namba kila mtu kwao.

Nikatulia kama wiki kadhaa nikamche, just kumpa salam. Nikamuuliza upo wap? Akanijibu, kumbe anapofanya kazi nami huwa napita kila siku nikitoka kwenye mishe zangu jion. Basi nikamwambia naomba nisubiri nitakupitia hapo, akaubali.

Basi nimefunga zangu mida ya saa3 usiku nikamuuliza umemaliza kazi akajibu ndio, nikamwambia nakupitia, akajibu sawa. Kweli nikampita, nikampitisha mahala kupata dinner then kila mtu kwao. Siku ikaisha.

Sasa kipindi hichi sasa nikaanza kukathaminisha kama kanaweza nifaa kwenye nia yangu. Kimuonekano kakawa kanaingia, kanatoka. Nikajiambia anyway, ngoja nitupe ndoano huwezi jua pengine roho yake na treatment zake zinaweza nifanya nizame mazima. Wakati huu bado sijui kama ni ka single mother maana kalikua hakana muonekano wa kamba kalisha zaa na hakana smartphone, so sikua hata naona status zake whatsapp. Maana njia nyingine ya mkujua mtu ni kupia status anazopost.

Basi nikaanza kukasaundisha. Kakaanza kuingia lain. Jinsi nilivyokua romantic hadi kuna siku kakaniambia "yaani wanaume wengine jaman, unaweza hata wabebea mimba". Mimi bichwa hilo.

Basi life likaendelea, muda huu wote sijui kama ni ka single mother. Siku moja, nikasema leo nataka nijiridhishe na maisha yake. Nikamwambia atafute siku atakua na muda nimtoe dinner. Kweli akaniambia siku flan. Siku ikafika tukatoka. Basi ni msosi na soft drinks tu (situmii alcohol).

Kwenye mastori nikamtega akajaa. Akaanza kufunguka kuwa yy anamtoto wa kike alizaa na jamaa wa bukoba. Mtoto anaishi na baba yake bukoba. Nikamtega zaidi akaendelea kufunguka. Akasema, kuwa anampigia sim mzazi mwenzie anampa sim mtoto anaongea nae. Nikajiambia, hawa bado wana bondi inayoishi kabisa. Kwa kifupi nika conclude kwamba siku hio iwe mwisho wa kumfuatilia. Basi baada ya muda nikarudisha kwao maana anakaa na mama yake.

Sasa wiki mbili zilizopita nilimuona maeneo flan mida ya saa3 asubuhi ila yy hakuniona. Ilipofika saa5 nikamtext, nimekuona maeneo flan sijui ulikua wewe. Akasema ndio ni mm. Nikamuuliza hujaenda kazini? Akajibu sijaenda, ninasafari ya bukoba leo naondoka na magari ya saa7 yanayotoka dar. Nikamwambia safari njema. In short nilihisi kabisa anenda kwa mzaz mwenzie. Sasa kipindi hichi kesha nunua smartphone.

Kweli alisafiki. Picha likaanza kwenye status. Mara ampost mzazi mwenzie na caption like "asante baba kwa kunitunzia mwanangu" yaani ni post za mzaz mwenzie like bado wana uhusiano. Muda huu mm nilishasitisha zoezi, so nothing to complain.

Ninachota kuwaambia, kuoa single mother ni kujitafutia stress tu. Hawaachanagi hawa. Kama uko fresh tafuta fresh mwenzio muanze kwa score ya 0-0. Vinginevyo jiandae kuja kutuomba ushauri hapa.
Mi nasubiria safari yangu na singo maza isogee sogee mbele angalau nishushe hata season 1. Ila wana wivu sana.
 
Kwani uongo? Wewe ni mpumbavu na ulipaswa uwe unajua tayari.

Unazungukwa na watu wanafiki ilibidi wawe wameshakuambia ukweli kwamba wewe ni Mpumbavu .
Hiyo nguvu unayotumia kunielewesha kwamba mimi nimpumbavu,hebu ipeleke kwa mwanao itamsaidia...
Hizo hasira zako,majuto yako bado hayatakusaidia kitu..
Ulisha uza mechi saizi umebaki na gubu kwa wanaume..
 
Hahahhahaha wewe ni mpumbavu sana. Ni hasara kwa jamii[emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Mimi naishi maisha ambayo ni maisha ya ndoto zako. Mume wangu ni aina ya mwanaume ambao una ndoto za kuwa kama hao ukiacha ujinga.

Naishi kwenye nyumba ambayo ni nyumba za ndoto zako.
Namiliki magari ambayo nina uhakika pia ni magari ya ndoto zako.

Halafu nina watoto wawili wazuri na wanasoma shule ambayo usipoacha upumbavu hautokaa kuweza kumpeleka mtoto wako hapo.

Huo muda wa kutukana single maza tumia kujikwamua kimaisha uache ujinga na makasiriko.
Hahahahaha Punguza jazba na uache huo ufeminist wako...hebu nambie umeolewa na diamond platnumz au mandonga mtu kazi...
 
Hiyo nguvu unayotumia kunielewesha kwamba mimi nimpumbavu,hebu ipeleke kwa mwanao itamsaidia...
Hizo hasira zako,majuto yako bado hayatakusaidia kitu..
Ulisha uza mechi saizi umebaki na gubu kwa wanaume..

Wala situmii nguvu kukuelewesha ni namna gani wewe ulivyo mpumbavu maana maandishi yako yenyewe yanakuelewesha ila vile ni mjinga hata hauelewi hadi mimi inabidi nikusaidie.

Acha ujinga na upumbavu ndiyo utaweza kuishi maisha ya ndoto zako ambayo mimi ndiyo nayaishi saivi. La sivyo utaendelea kuwa na makasiriko hadi ufe.
 
Sijui kwanini unafeli kuficha upumbavu wako.
Kwahiyo kwa akili yako ndoto zako ni za kuwa mwanaume aina ya Diamond au Mandonga? Hao ndiyo aina ya wanaume ambao una ndoto za kuwa kama wao? Idiot!

Basi nimeolewa na mwanaume ambaye hata katika ndoto zako hauwezi kuwa kama yeye. Ni bora kuzidi hao unaotamani kuwa kama wao.
 
Umepaniki!!! Hahahahaha hujui unachozungumza na huwezi kunipangia kitu..eti ndoto za kuwa kama mumeo hahaha....
 
Wala situmii nguvu kukuelewesha ni namna gani wewe ulivyo mpumbavu maana maandishi yako yenyewe yanakuelewesha ila vile ni mjinga hata hauelewi hadi mimi inabidi nikusaidie.

Acha ujinga na upumbavu ndiyo utaweza kuishi maisha ya ndoto zako ambayo mimi ndiyo nayaishi saivi. La sivyo utaendelea kuwa na makasiriko hadi ufe.
NEVER STOP DREAMING.
Endelea kupredict hizo future kwa kuota...
Eti ndoto una maisha ya ndoto wewe
 
Singo maza ni sawa na kununua gazeti jioni,fulustop...

Niwe mjinga,kilaza,mpumbavu utajua wewe ila watu wangu wakaribu huwa wananielewa ninapowaeleza kuwa singo maza ni kama kituo cha polisi...

Wewe pamoja na werevu wako lakini unalea hako katoto peke ako na ujinga wako..wanawake kama wewe mliletwa duniani mkutane na wanaume wawazalishe,wawatelekeze ili muwe mifano kwa wengine...
Usiichukie hali uliyonayo wewe ni singo maza tu na kama inauma chomoa.
Huu mnyukano huu, noma sana
 
Halafu anakuja mpumbavu mmoja ametoka huko machakani...
Ni singo maza,Hajui kuhusu ndoa,hajui uhuru wa mtu,kato**wa hajaoga,ananuka janaba,na kapua kake ameweka juu et "wewe mpumbavu,sijakutukana nimekuita jina"...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] watu wana stress mkuu acha tu
 
Hiyo nguvu unayotumia kunielewesha kwamba mimi nimpumbavu,hebu ipeleke kwa mwanao itamsaidia...
Hizo hasira zako,majuto yako bado hayatakusaidia kitu..
Ulisha uza mechi saizi umebaki na gubu kwa wanaume..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu hii sio kweli?

Mimi mwenyewe nimeoa single mother naishi nae vizuri tu na mtoto yupo kwa bibi yake na likizo anakuja kwangu namtreat kama mwanangu tu ilihali mpaka babake namjua na namba yake ninayo.

Na wife hana mawasiliano na huyu jamaa japo mwanzoni walikuwa wanawasiliana kisa mahitaji ya mtoto ila jamaa akawa mgumu basi nikamwambia aachane nae tutafix wenyewe mpaka dogo yupo darasa la 7 mwaka huu sioni chochote kuhusu huyo jamaa.

Sio wanawake wote wapo hivyo ni baadhi tu, na huyo unaesema wewe kwa sababu bado hujamuoa sasa unadhani una cha kumpangia?

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
Huyo baba wa mtoto wake hawawasiliani kwakuwa hana mpango nae huyo mke wako ila akija kuamua kumpiga sound za Kumla, analiwa huyo mkeo
 
Back
Top Bottom