Single mother bana, tabu tupu

Kwani picha Ni nini?
Alafu alieandika kasema mahusiano?
Hata kumtongoza hajamtongoza kaanza lawama..
Sijasema kama mimi ni Ke au Me nimejibu kwa nionavyo
Kama alikuwa ajamtongoza sawa ila kama upo kwenye mahusiano then uposti ujinga huo utavhezewa na wanaume mpaka unazeeka utasingia Sisi Single Mother Nini....kumbe tatizo mwenyewe

Mimi binafsi nikiwa na wewe ukianza huo upuuzi tunamwagana mapema tu suala la kwamba Kuna tatizo gani upo sahihi utajua wewe
 
...........sorry in advance to all single mamas in this forum.....kaupepo kameanza kuvuma, very sorry.......mmeleta uhai duniani but it is taken as a very big fault, kumbe mngeweza kuabort.......
Hamna mtu aliyelaani mtoto chief wala kumlaani huyo mwanamke, bali wanazikataa tabia zao. Jiongezee mali leo kwakuiba, utasifiwa kwa mali nyingi ila zikigundulika zilipotoka wewe sichochote. Mabinti wanacompete kupata mteremko wa maisha hasa chuoni au baada ya maisha kuwashika, wanachokifanyaga consequences sio ndogo. Mabinti wachache sana wenye watoto wanaolea wenyewe ndio hali hiyo imewatokea kwa bahati mbaya. Chief, mwanaume analisha familia au kumtunza binti ila wema wote unasahaulika nakudharauliwa siku moja tu akikosa. Hivyo huo ndio ulimwengu ulivyo, hakuna aliyesalama
 
Badala ya kuchukua pointi tatu unabaki unalalamika tu hapa...ulitka umjengee mnara
 
Yaani una mahusino ya kimapenzi na mimi then umposti mwanaume mwengine kwamba unamsifi 'asante kunilelea mwanangu' kisa bando lako na simu yako Ni hakuna mwanaume timamu atakubaliana na huo upuuzi na hata akipotezea hayo MAHUSIANO hayatofika mbali.

Sasa mtu akimpost bwana ake na kumpa sifa shida ipo wapi? Si mwanaume wake. Sijaona sehemu pameandikwa walikua wanadate zaidi ya kutoana dinner. Jamaa ndio alitaka kujiweka kwenye mahusiano ya watu uzuri kajua mapema mwanamke ana mtu wake kajiengua. Sijaona alipokosea huyo dada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Happ sawa nilijua tiali Wana mahusiano then afanye icho kumbe jamaa hajalipa COST ya kutongoza hana haki ya kulialia
 
To yeye, kiukweli mnazingua. Imagine huyu single mother ningezama mazima. Halafu ndio hivyo mara bukoba kwa mwanaume wake, utaka kusema tunawaonea ha hapo?
Huyu si single mother mkuu,
Unamsingizia tu na kumnyanyasa..
Kwani mtu akiwa mbali na mzazi tayari amekuwa single mother.?
Naona umetaka tu kuwasilisha kero au Changamoto zinazohusu mahusiano nao , ila reference yako sio. Acha kumdhalilisha mke wangu..
 
Single mother Ni aliyezalishwa bila ya ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…