Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Vipi ulipata wa ngapi wa kuku join lunch?Achana na akili za kivulana, single mother ni akili kubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi ulipata wa ngapi wa kuku join lunch?Achana na akili za kivulana, single mother ni akili kubwa
Nitapost mrejesho keshoVipi ulipata wa ngapi wa kuku join lunch?
Kama alikuwa ajamtongoza sawa ila kama upo kwenye mahusiano then uposti ujinga huo utavhezewa na wanaume mpaka unazeeka utasingia Sisi Single Mother Nini....kumbe tatizo mwenyeweKwani picha Ni nini?
Alafu alieandika kasema mahusiano?
Hata kumtongoza hajamtongoza kaanza lawama..
Sijasema kama mimi ni Ke au Me nimejibu kwa nionavyo
Hakuna msamiati Single father mzee kuwa na uwanaume sio kilakitu kina balance pande zotena sisi single Fadher tunaruhusiwa kuoa wadada fresh au?
Hamna mtu aliyelaani mtoto chief wala kumlaani huyo mwanamke, bali wanazikataa tabia zao. Jiongezee mali leo kwakuiba, utasifiwa kwa mali nyingi ila zikigundulika zilipotoka wewe sichochote. Mabinti wanacompete kupata mteremko wa maisha hasa chuoni au baada ya maisha kuwashika, wanachokifanyaga consequences sio ndogo. Mabinti wachache sana wenye watoto wanaolea wenyewe ndio hali hiyo imewatokea kwa bahati mbaya. Chief, mwanaume analisha familia au kumtunza binti ila wema wote unasahaulika nakudharauliwa siku moja tu akikosa. Hivyo huo ndio ulimwengu ulivyo, hakuna aliyesalama...........sorry in advance to all single mamas in this forum.....kaupepo kameanza kuvuma, very sorry.......mmeleta uhai duniani but it is taken as a very big fault, kumbe mngeweza kuabort.......
Badala ya kuchukua pointi tatu unabaki unalalamika tu hapa...ulitka umjengee mnaraSamaleko...
Hiki nacho ni moja ya visa vyangu kwenye harakati zangu za kumpata mtoto wa mama mkwe.
Kuna ka binti nilikutana nako miezi kama mitatu iliyopita. Siku ya kwanza tu nakaona nilipokasalimia tu, kalinichangamkia sana. Kakaniambia "ni kama nakuonaga maeneo flan" na ni kweli ndio maeneo niyoushi. Nikamjibu itakua kweli maana naishi maeneo hayo. Kwenye stori stori kumbe hakai mbali na ninapoishi. Basi tukabadilishana namba kila mtu kwao.
Nikatulia kama wiki kadhaa nikamche, just kumpa salam. Nikamuuliza upo wap? Akanijibu, kumbe anapofanya kazi nami huwa napita kila siku nikitoka kwenye mishe zangu jion. Basi nikamwambia naomba nisubiri nitakupitia hapo, akaubali.
Basi nimefunga zangu mida ya saa3 usiku nikamuuliza umemaliza kazi akajibu ndio, nikamwambia nakupitia, akajibu sawa. Kweli nikampita, nikampitisha mahala kupata dinner then kila mtu kwao. Siku ikaisha.
Sasa kipindi hichi sasa nikaanza kukathaminisha kama kanaweza nifaa kwenye nia yangu. Kimuonekano kakawa kanaingia, kanatoka. Nikajiambia anyway, ngoja nitupe ndoano huwezi jua pengine roho yake na treatment zake zinaweza nifanya nizame mazima. Wakati huu bado sijui kama ni ka single mother maana kalikua hakana muonekano wa kamba kalisha zaa na hakana smartphone, so sikua hata naona status zake whatsapp. Maana njia nyingine ya mkujua mtu ni kupia status anazopost.
Basi nikaanza kukasaundisha. Kakaanza kuingia lain. Jinsi nilivyokua romantic hadi kuna siku kakaniambia "yaani wanaume wengine jaman, unaweza hata wabebea mimba". Mimi bichwa hilo.
Basi life likaendelea, muda huu wote sijui kama ni ka single mother. Siku moja, nikasema leo nataka nijiridhishe na maisha yake. Nikamwambia atafute siku atakua na muda nimtoe dinner. Kweli akaniambia siku flan. Siku ikafika tukatoka. Basi ni msosi na soft drinks tu (situmii alcohol).
Kwenye mastori nikamtega akajaa. Akaanza kufunguka kuwa yy anamtoto wa kike alizaa na jamaa wa bukoba. Mtoto anaishi na baba yake bukoba. Nikamtega zaidi akaendelea kufunguka. Akasema, kuwa anampigia sim mzazi mwenzie anampa sim mtoto anaongea nae. Nikajiambia, hawa bado wana bondi inayoishi kabisa. Kwa kifupi nika conclude kwamba siku hio iwe mwisho wa kumfuatilia. Basi baada ya muda nikarudisha kwao maana anakaa na mama yake.
Sasa wiki mbili zilizopita nilimuona maeneo flan mida ya saa3 asubuhi ila yy hakuniona. Ilipofika saa5 nikamtext, nimekuona maeneo flan sijui ulikua wewe. Akasema ndio ni mm. Nikamuuliza hujaenda kazini? Akajibu sijaenda, ninasafari ya bukoba leo naondoka na magari ya saa7 yanayotoka dar. Nikamwambia safari njema. In short nilihisi kabisa anenda kwa mzaz mwenzie. Sasa kipindi hichi kesha nunua smartphone.
Kweli alisafiki. Picha likaanza kwenye status. Mara ampost mzazi mwenzie na caption like "asante baba kwa kunitunzia mwanangu" yaani ni post za mzaz mwenzie like bado wana uhusiano. Muda huu mm nilishasitisha zoezi, so nothing to complain.
Ninachota kuwaambia, kuoa single mother ni kujitafutia stress tu. Hawaachanagi hawa. Kama uko fresh tafuta fresh mwenzio muanze kwa score ya 0-0. Vinginevyo jiandae kuja kutuomba ushauri hapa.
Ninalo moja pumbavu, Mengi ni mapumbavu.unaliokota limechoka karibu kufa unaliokoa matako yakiota nyege , inabimbirika kwa zamani.SIJASEMA WOTE.Daaah [emoji28][emoji28]
Wanasemaga kanuni tatu ukizitimiza hawachomoi.MPE MIMBA AZAE,MTOE BIKIRA, AU UWE WA KWANZA KUMMARINDA.
NakataaAchana na akili za kivulana, single mother ni akili kubwa
Labda Enzi za WakoloniKama we huwezi muoa single mother wapo wanaweza kuwaoa tulia
Yaani una mahusino ya kimapenzi na mimi then umposti mwanaume mwengine kwamba unamsifi 'asante kunilelea mwanangu' kisa bando lako na simu yako Ni hakuna mwanaume timamu atakubaliana na huo upuuzi na hata akipotezea hayo MAHUSIANO hayatofika mbali.
Happ sawa nilijua tiali Wana mahusiano then afanye icho kumbe jamaa hajalipa COST ya kutongoza hana haki ya kulialiaSasa mtu akimpost bwana ake na kumpa sifa shida ipo wapi? Si mwanaume wake. Sijaona sehemu pameandikwa walikua wanadate zaidi ya kutoana dinner. Jamaa ndio alitaka kujiweka kwenye mahusiano ya watu uzuri kajua mapema mwanamke ana mtu wake kajiengua. Sijaona alipokosea huyo dada.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu si single mother mkuu,To yeye, kiukweli mnazingua. Imagine huyu single mother ningezama mazima. Halafu ndio hivyo mara bukoba kwa mwanaume wake, utaka kusema tunawaonea ha hapo?
Umeona ehKwa hiyo ulitaka akuposti wewe na akupe pongezi wewe za kumlea mwanae???acha kisirani kaka,,,mtoto sio ma[emoji362]ko kila mtu anae acha wafurahie penzi lao na mtoto wao,,,khasira zote hizo kisa hajakupa Taammm!!!
Single mother Ni aliyezalishwa bila ya ndoaHuyu si single mother mkuu,
Unamsingizia tu na kumnyanyasa..
Kwani mtu akiwa mbali na mzazi tayari amekuwa single mother.?
Naona umetaka tu kuwasilisha kero au Changamoto zinazohusu mahusiano nao , ila reference yako sio. Acha kumdhalilisha mke wangu..