Single mother bana, tabu tupu

Single mother bana, tabu tupu

Kwa hiyo ulitaka akuposti wewe na akupe pongezi wewe za kumlea mwanae???acha kisirani kaka,,,mtoto sio ma💡ko kila mtu anae acha wafurahie penzi lao na mtoto wao,,,khasira zote hizo kisa hajakupa Taammm!!!
 
Samaleko...

Hiki nacho ni moja ya visa vyangu kwenye harakati zangu za kumpata mtoto wa mama mkwe.

Kuna ka binti nilikutana nako miezi kama mitatu iliyopita. Siku ya kwanza tu nakaona nilipokasalimia tu, kalinichangamkia sana. Kakaniambia "ni kama nakuonaga maeneo flan" na ni kweli ndio maeneo niyoushi. Nikamjibu itakua kweli maana naishi maeneo hayo. Kwenye stori stori kumbe hakai mbali na ninapoishi. Basi tukabadilishana namba kila mtu kwao.

ma uko fresh tafuta fresh mwenzio muanze kwa score ya 0-0. Vinginevyo jiandae kuja kutuomba ushauri hapa.
Mim nachoona ww ndo unastress na maisha ya watu.
 
Kwa hiyo ulitaka akuposti wewe na akupe pongezi wewe za kumlea mwanae???acha kisirani kaka,,,mtoto sio ma[emoji362]ko kila mtu anae acha wafurahie penzi lao na mtoto wao,,,khasira zote hizo kisa hajakupa Taammm!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Tam yake ningeitaka ningela. Sikumtaka kwa matendobyake ya hovyo
Wewe ndio una matendo maovu umeingia kusiko kuhusu,,sasa mtu asimposti mwanae??na ulitaka asimpongeze mzazi mwenzie kwa kumtunza mtoto vizuri,,,simu ni yake,,bando la kwake,,, mtoto ni wake,,,mwanaume ni wake!!huwezi ukachukia na kumpangia kama wewe unavyotaka tafuta wako na wewe umzalishe na sio kurukiarukia vya watu,,,alafu alishakueleza kila kitu kabla,,wewe ndio ulishindwa kujiongeza??acha kupenda vitonga ndio matatizo yake hayo
 
Back
Top Bottom