Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Soon atakuletea na ule msosi mwingine, kula si unampenda mwanae.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu poleni na majukumu yenu ya kila siku...
Niende moja kwa moja kwenye mada wakuu..kuna nyumba nimehamia maeneo ya kawe ni hizi nyumba za uswahilini zenye vyumba vingi na toilet ya kushare..
Kinachonishtua ni hii caring ya huyu single mother anakatoto kadogo kamiaka nadhani mitatu...sasa kulingana na mishe zangu huwa narudi saa kumi bhasi hupendelea kukabeba nakuingia nacho kitaa unakuta nakanunulia juice,soda kiufupi kamenizoea sana kasipo niona kanasumbua ...
Sasa shida sio haka katoto ni huyu bi dada aisee hii ni wiki inatembea mi chakula cha usiku kila siku ananiletea kwenye hotpot...mara anipigie simu narudi sa ngapi mara zamu yangu ya usafi kanisaidia maana ni siku tatu Tau sasa care zimekuwa nyingi wakuu atakuwa anashida gani au mimi nitulie tu nikae kimya...
Naombeni ushauru wakuu au nimuulize kwanini ananiletea msosi kila siku.
Yaan I hii mbinu uliyotumia hata kwa mungu ukitaka kumla bila kumtongoza sana ni watoto wake wakupende tu,Wakuu poleni na majukumu yenu ya kila siku...
Niende moja kwa moja kwenye mada wakuu..kuna nyumba nimehamia maeneo ya kawe ni hizi nyumba za uswahilini zenye vyumba vingi na toilet ya kushare..
Kinachonishtua ni hii caring ya huyu single mother anakatoto kadogo kamiaka nadhani mitatu...sasa kulingana na mishe zangu huwa narudi saa kumi bhasi hupendelea kukabeba nakuingia nacho kitaa unakuta nakanunulia juice,soda kiufupi kamenizoea sana kasipo niona kanasumbua ...
Sasa shida sio haka katoto ni huyu bi dada aisee hii ni wiki inatembea mi chakula cha usiku kila siku ananiletea kwenye hotpot...mara anipigie simu narudi sa ngapi mara zamu yangu ya usafi kanisaidia maana ni siku tatu Tau sasa care zimekuwa nyingi wakuu atakuwa anashida gani au mimi nitulie tu nikae kimya...
Naombeni ushauru wakuu au nimuulize kwanini ananiletea msosi kila siku.
Yaani umependwa unakuja kulalamika uku!Wakuu poleni na majukumu yenu ya kila siku...
Niende moja kwa moja kwenye mada wakuu..kuna nyumba nimehamia maeneo ya kawe ni hizi nyumba za uswahilini zenye vyumba vingi na toilet ya kushare..
Kinachonishtua ni hii caring ya huyu single mother anakatoto kadogo kamiaka nadhani mitatu...sasa kulingana na mishe zangu huwa narudi saa kumi bhasi hupendelea kukabeba nakuingia nacho kitaa unakuta nakanunulia juice,soda kiufupi kamenizoea sana kasipo niona kanasumbua ...
Sasa shida sio haka katoto ni huyu bi dada aisee hii ni wiki inatembea mi chakula cha usiku kila siku ananiletea kwenye hotpot...mara anipigie simu narudi sa ngapi mara zamu yangu ya usafi kanisaidia maana ni siku tatu Tau sasa care zimekuwa nyingi wakuu atakuwa anashida gani au mimi nitulie tu nikae kimya...
Naombeni ushauru wakuu au nimuulize kwanini ananiletea msosi kila siku.
niwe wazi nikwambie wewe ni mjinga sana. Ulimwengu huu uliojaa kesi za ulawiti bado unajibambisha kwa kitoto cha watu? Hivi siku huyo singo mama akikutaka nawe akakataa, akipiga mayowe polisi kwamba amekukuta unamshikashika mtoto wake makalioni, utasalimika??Wakuu poleni na majukumu yenu ya kila siku...
Niende moja kwa moja kwenye mada wakuu..kuna nyumba nimehamia maeneo ya kawe ni hizi nyumba za uswahilini zenye vyumba vingi na toilet ya kushare..
Kinachonishtua ni hii caring ya huyu single mother anakatoto kadogo kamiaka nadhani mitatu...sasa kulingana na mishe zangu huwa narudi saa kumi bhasi hupendelea kukabeba nakuingia nacho kitaa unakuta nakanunulia juice,soda kiufupi kamenizoea sana kasipo niona kanasumbua ...
Sasa shida sio haka katoto ni huyu bi dada aisee hii ni wiki inatembea mi chakula cha usiku kila siku ananiletea kwenye hotpot...mara anipigie simu narudi sa ngapi mara zamu yangu ya usafi kanisaidia maana ni siku tatu Tau sasa care zimekuwa nyingi wakuu atakuwa anashida gani au mimi nitulie tu nikae kimya...
Naombeni ushauru wakuu au nimuulize kwanini ananiletea msosi kila siku.
Asingekuacha salama kivipi Mzee!?si ni kufanya mapenzi TU na mama Brai au angekuuza kama zamani utumwani huko mashariki ya kati na Uropa!?Mm nilianza kuitwa baba brai kutoka kwa mama brai kisa tu brai awe anakuja kuangalia katuni kwenye liskrini langu kuuubwa lililokuwepo magetoni.
Ila ishu ya kuletewa chakula niliikataa mana kuna siku sista angu alikuja kunitembelea wakati tunapiga story mama brai akaleta msosi kama kawa. Sista akanipiga boonge la mkwara kwa maelezo kwamba yeye ni mwanamka so anaelewa mbinu za wa awake. Kwamba mama brai asingeniacha salama
Bade nikagundua alikuwa anataka nimsaidie kumlea brai kwa kuchukua majukumu ya ba brai.Asingekuacha salama kivipi Mzee!?si ni kufanya mapenzi TU na mama Brai au angekuuza kama zamani utumwani huko mashariki ya kati na Uropa!?
Sista awe anakuja kufanya yake mengine akuachie
Tulia upigwe na square pipe kichwaniWakuu poleni na majukumu yenu ya kila siku... Niende moja kwa moja kwenye mada wakuu..kuna nyumba nimehamia maeneo ya Kawe ni hizi nyumba za uswahilini zenye vyumba vingi na toilet ya kushare..
Kinachonishtua ni hii caring ya huyu single mother anakatoto kadogo kamiaka nadhani mitatu...sasa kulingana na mishe zangu huwa narudi saa kumi bhasi hupendelea kukabeba nakuingia nacho kitaa unakuta nakanunulia juice,soda kiufupi kamenizoea sana kasipo niona kanasumbua ...
Sasa shida sio haka katoto ni huyu bi dada aisee hii ni wiki inatembea mi chakula cha usiku kila siku ananiletea kwenye hotpot...mara anipigie simu narudi sa ngapi mara zamu yangu ya usafi kanisaidia maana ni siku tatu Tau sasa care zimekuwa nyingi wakuu atakuwa anashida gani au mimi nitulie tu nikae kimya...
Naombeni ushauru wakuu au nimuulize kwanini ananiletea msosi kila siku.
Hiyo ni hiari Wala asingekulazimisha na hizi huwa ni madhani we ungekula kwanza kwenye malezi bado Brai atalelewa na jamii hivyo hivyo hadi akue maana si tayari hana baba so utalea wewe atalea na Mwingine na kuendeleaBade nikagundua alikuwa anataka nimsaidie kumlea brai kwa kuchukua majukumu ya ba brai.
Unakuta ata kataa ndoa tunawasagia kunguni as if watajioa [emoji1787][emoji1787] ila sizan sizan kama kuna mtu mjinga huku ataendeshwa na mawazo hasi .JF imekua tanuri kwa singo maza [emoji23][emoji23]
By the way ana tako? Kama hana usitupotezee muda kumdiscuss!