Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
Copy major!All units...
All units...
Return to base...
I repeat return to base abort the mission...
Mission compromised...
Return to base...
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Copy major!All units...
All units...
Return to base...
I repeat return to base abort the mission...
Mission compromised...
Return to base...
Hapo hata mimi sioni kosa lake kabisa, kosa ni la huyo bwege aliyejifanya anajua kupenda na kutaka kuvunja bond ya watuHuyu mwanaume umenikuta nae, sasa mbona unalalamika...ukiniona na mwanaume mpya hapo ndio utasema nimeku cheat.. Lakini huyu umenikuta nae..
Mwisho wa kunukuu...
Globle hawk oneCopy.. we need an evac immediately.. over and out..
AiseeHuyu mwanaume umenikuta nae, sasa mbona unalalamika...ukiniona na mwanaume mpya hapo ndio utasema nimeku cheat.. Lakini huyu umenikuta nae..
Mwisho wa kunukuu...
Naungana na wewe huyo mwanaume ni mpumbavuwewe ndio mjinga mwanaume unatumiwa meseji nisipokuta umeosha vyombo halafu unasema weww ni mwanaume?! Aiseee kweli hata wazee wapumbavu wanazeeka
Mke wake, keshaona Jamaa ni Falaa .. nahapa ndio Kataa Singomaza Huwa wanachukua MAKSI ( hapo ni wazi Singomaza anawasiliana na Baba mtoto 100%). Kwa muktadha huo ni kwamba BADO ANALIWA.Jamaa leo nilikuwa nae sehemu tunagonga moja mbili, sasa ghafra nikaona jamaa kabadilika. Nikamuuliza vipi mbona umechange ghafra!
Jamaa akaniambia Single mother kamtumia meseji inayosema "Asipokuta vyombo vimeoshwa basi ajiandae kumpokea beki tatu atakaeletwa na Baba mzazi wa mtoto wake".
Jamaa kachanganyikiwa, maana hapendi kuona mke wake akipokea msaada wowote toka kwa mzazi mwenzie.
Jibu langu lingekuwa, sawa na Mimi Kwa heri ya kuonana. Siludi nyumbani nipo na wala Sito Rudi naenda Kwa mwanamke ninaye mpenda na ananiheshimu sanaJamaa leo nilikuwa nae sehemu tunagonga moja mbili, sasa ghafra nikaona jamaa kabadilika. Nikamuuliza vipi mbona umechange ghafra!
Jamaa akaniambia Single mother kamtumia meseji inayosema "Asipokuta vyombo vimeoshwa basi ajiandae kumpokea beki tatu atakaeletwa na Baba mzazi wa mtoto wake".
Jamaa kachanganyikiwa, maana hapendi kuona mke wake akipokea msaada wowote toka kwa mzazi mwenzie.
Hhahaahhahah!!!!,mkuu uko sahihiHuyu mwanaume umenikuta nae, sasa mbona unalalamika...ukiniona na mwanaume mpya hapo ndio utasema nimeku cheat.. Lakini huyu umenikuta nae..
Mwisho wa kunukuu...
Mngese huyo. Unless anakaa kwa huyo demu lakini kama alimleta kwake mwanaume halafu apokee vitisho ndani ya nyumba yake ninachelea kusema huyo ni mpumbavu sana. Fukuza huyo ubwa na mwanae wakakae atakapohudumiwa in fulna huyo jamaa aliyezaa nae. Kwanza why hajazaa na huyo mwanamke mpaka sasa? He is such a stupid fool.Jamaa leo nilikuwa nae sehemu tunagonga moja mbili, sasa ghafra nikaona jamaa kabadilika. Nikamuuliza e vipi mbona umechange ghafra!
Jamaa akaniambia Single mother kamtumia meseji inayosema "Asipokuta vyombo vimeoshwa basi ajiandae kumpokea beki tatu atakaeletwa na Baba mzazi wa mtoto wake".
Jamaa kachanganyikiwa, maana hapendi kuona mke wake akipokea msaada wowote toka kwa mzazi mwenzie.
hasa ukimkuta ana ugwadu utaenjoy hata ukitaka kumgeuza atakubali fasta, jichanganye ujidai umefika akuonyeshe rangi zake zote!Tatizo Single Maza ni watamu ukiwa hujamuweka ndani anajilipua.
Care kama zote.
Jichanganye sasa.
ChaiJamaa leo nilikuwa nae sehemu tunagonga moja mbili, sasa ghafra nikaona jamaa kabadilika. Nikamuuliza vipi mbona umechange ghafra!
Jamaa akaniambia Single mother kamtumia meseji inayosema "Asipokuta vyombo vimeoshwa basi ajiandae kumpokea beki tatu atakaeletwa na Baba mzazi wa mtoto wake".
Jamaa kachanganyikiwa, maana hapendi kuona mke wake akipokea msaada wowote toka kwa mzazi mwenzie.
Kuteleza sio kuangukaBila shaka huyo single mother ana mshahara au anaingiza kipato fulani.
Jamaa achague kuosha vyombo au amwachie mwanamke nyumba akanze upya kuteleza sio kuanguka.
Yaani unataka azae nae aongeze matatizo,mi naonaga bora mtu umsome kwanza kabla ya kuzaa naye.Mngese huyo. Unless anakaa kwa huyo demu lakini kama alimleta kwake mwanaume halafu apokee vitisho ndani ya nyumba yake ninachelea kusema huyo ni mpumbavu sana. Fukuza huyo ubwa na mwanae wakakae atakapohudumiwa in fulna huyo jamaa aliyezaa nae. Kwanza why hajazaa na huyo mwanamke mpaka sasa? He is such a stupid fool.
Ndio utaamini sio wote wanaoolewa wanawapenda waume zao.Hawa watu akili zao huwa kama zimevurugwa,kuna mmoja alishawahi kumwambia mzazi mwenzie eti wewe ndio mwanaume niliowahi kukupenda kuliko wanaume wote hapa duniani,wakati tayari kaolewa na mwanaume mwingine.Hapa ndio utawakumbuka wale wanaosema kama unataka kuoa single mother inatakiwa usikie baba mtoto wake amefariki...
Single mother ni mke wa mtuJamaa leo nilikuwa nae sehemu tunagonga moja mbili, sasa ghafra nikaona jamaa kabadilika. Nikamuuliza vipi mbona umechange ghafra!
Jamaa akaniambia Single mother kamtumia meseji inayosema "Asipokuta vyombo vimeoshwa basi ajiandae kumpokea beki tatu atakaeletwa na Baba mzazi wa mtoto wake".
Jamaa kachanganyikiwa, maana hapendi kuona mke wake akipokea msaada wowote toka kwa mzazi mwenzie.
Tea 🍵 without sugar....teh teh teh.ya moto
shkamoo,, naomba usichangie kwanguvu apo nitajinyongaNdio utaamini sio wote wanaoolewa wanawapenda waume zao.