Single mother kamwandikia meseji hii Step Father

Single mother kamwandikia meseji hii Step Father

Sasa ujinyonge kwa michango yangu kwanini au tayari kuna namna huko moyoni mwako kuhusu mimi๐Ÿ˜‚
Ghai ghai ghai ghai wew ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚moyo wangu huu huu au kuna mwingine,, kifupi sina moyo mimi wa kua na namna na kiumbe yoyote๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ turud kwenye mada si unajua mimi n wale wale kasoro majina
 
Huyu mwanaume umenikuta nae, sasa mbona unalalamika...ukiniona na mwanaume mpya hapo ndio utasema nimeku cheat.. Lakini huyu umenikuta nae..

Mwisho wa kunukuu...
Kuna Demu mmoja Dodoma aliwai kuniambia Kama hivi. Nikapiga chini single mama Yule. Alinisumbua nilivyo muacha maana nilikuwa Nina msaidia Sana mgogo Yule.
 
Ghai ghai ghai ghai wew ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚moyo wangu huu huu au kuna mwingine,, kifupi sina moyo mimi wa kua na namna na kiumbe yoyote๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ turud kwenye mada si unajua mimi n wale wale kasoro majina
Nidanganganye danganye tu
 
Huyo rafiki yako ana akili za ziada anazotumia hapo bar? au ni hizo hizo ndio anazotumia kuishi na huyo mwanamke?
 
Hawa watu akili zao huwa kama zimevurugwa,kuna mmoja alishawahi kumwambia mzazi mwenzie eti wewe ndio mwanaume niliowahi kukupenda kuliko wanaume wote hapa duniani,wakati tayari kaolewa na mwanaume mwingine.Hapa ndio utawakumbuka wale wanaosema kama unataka kuoa single mother inatakiwa usikie baba mtoto wake amefariki...
Kazi ipo....anampongeza mtu ambaye hakumuoa. Au ni Kumsifia ili amchume pesa?
 
Jamaa leo nilikuwa nae sehemu tunagonga moja mbili, sasa ghafra nikaona jamaa kabadilika. Nikamuuliza vipi mbona umechange ghafra!

Jamaa akaniambia Single mother kamtumia meseji inayosema "Asipokuta vyombo vimeoshwa basi ajiandae kumpokea beki tatu atakaeletwa na Baba mzazi wa mtoto wake".

Jamaa kachanganyikiwa, maana hapendi kuona mke wake akipokea msaada wowote toka kwa mzazi mwenzie.
Sema nini, mnawananga lakini hamuachi Kuwaoa.

Mkiwa jukwani kila mtu anajifanya hamtaki Single Maza lakini hao hao kila siku wanawaliza.
 
Yaani unataka azae nae aongeze matatizo,mi naonaga bora mtu umsome kwanza kabla ya kuzaa naye.
soma vizuri utaelewa nimepose question kama assumtion ambayo ikiwa na majibu bado amtimue au atimke
 
Kuna Demu mmoja Dodoma aliwai kuniambia Kama hivi. Nikapiga chini single mama Yule. Alinisumbua nilivyo muacha maana nilikuwa Nina msaidia Sana mgogo Yule.
Mkuu lazima akasumbue kwasababu huduma alizokua ana pata kwako hazipati tena kupitia Baba mtoto wake.
 
Back
Top Bottom