Single mother kamwandikia meseji hii Step Father

Huyu mwanaume umenikuta nae, sasa mbona unalalamika...ukiniona na mwanaume mpya hapo ndio utasema nimeku cheat.. Lakini huyu umenikuta nae..

Mwisho wa kunukuu...
Hapo hata mimi sioni kosa lake kabisa, kosa ni la huyo bwege aliyejifanya anajua kupenda na kutaka kuvunja bond ya watu
 
wewe ndio mjinga mwanaume unatumiwa meseji nisipokuta umeosha vyombo halafu unasema weww ni mwanaume?! Aiseee kweli hata wazee wapumbavu wanazeeka
Naungana na wewe huyo mwanaume ni mpumbavu
 
Mke wake, keshaona Jamaa ni Falaa .. nahapa ndio Kataa Singomaza Huwa wanachukua MAKSI ( hapo ni wazi Singomaza anawasiliana na Baba mtoto 100%). Kwa muktadha huo ni kwamba BADO ANALIWA.

pili, Singomaza huyo ana dharau na HAMHESHIMU JAMAA.



hapa ndo Jamaa wakasema ...KUOA SINGOMAZA, MAANA YAKE UMEMKABIDHI MAISHA YAKO YOTE KWA SABABU KICHWAN ANAWAZA HILI NENO "HUYU FALA KAMA KANIOA NINA MTOTO BASI NI KWAMBA KWANGU AMEFIKAAA NA HANA CHA KUSEMA HATA NIKO SEE VIPI" .


Hilo tu Mh Rais, Linatosha kukufanya UMPIGE CHINI HUYU SINGOMAZA........ MAKAMBA A.K.A KIPARA'S VOICE.
 
Jibu langu lingekuwa, sawa na Mimi Kwa heri ya kuonana. Siludi nyumbani nipo na wala Sito Rudi naenda Kwa mwanamke ninaye mpenda na ananiheshimu sana
 
Huyu mwanaume umenikuta nae, sasa mbona unalalamika...ukiniona na mwanaume mpya hapo ndio utasema nimeku cheat.. Lakini huyu umenikuta nae..

Mwisho wa kunukuu...
Hhahaahhahah!!!!,mkuu uko sahihi
Nilishakutana na single mother wa aina hiyo aliniambia hivyo siku tuliyo korofishana kuhusu baba wa mtoto wake.before alinieleza mazila mengi ya huyo ex aliyompitsha
akanishawishi nikamwonea huruma tukawa kwenye mahusiano ya kawaida.
Nusu nije kumuoa

Sijui leo ningekuwa wapi
 
Mngese huyo. Unless anakaa kwa huyo demu lakini kama alimleta kwake mwanaume halafu apokee vitisho ndani ya nyumba yake ninachelea kusema huyo ni mpumbavu sana. Fukuza huyo ubwa na mwanae wakakae atakapohudumiwa in fulna huyo jamaa aliyezaa nae. Kwanza why hajazaa na huyo mwanamke mpaka sasa? He is such a stupid fool.
 
Tatizo Single Maza ni watamu ukiwa hujamuweka ndani anajilipua.
Care kama zote.
Jichanganye sasa.
hasa ukimkuta ana ugwadu utaenjoy hata ukitaka kumgeuza atakubali fasta, jichanganye ujidai umefika akuonyeshe rangi zake zote!
 
Chai
 
Bila shaka huyo single mother ana mshahara au anaingiza kipato fulani.

Jamaa achague kuosha vyombo au amwachie mwanamke nyumba akanze upya kuteleza sio kuanguka.
Kuteleza sio kuanguka
 
Yaani unataka azae nae aongeze matatizo,mi naonaga bora mtu umsome kwanza kabla ya kuzaa naye.
 
Ndio utaamini sio wote wanaoolewa wanawapenda waume zao.
 
Single mother ni mke wa mtu

Kaa nao mbali,

Hapo kupasha kiporo ni muda wowote
 
mbona mna wa judge sana

vipi kama walikua na zamu ya kuosha vyombo ikafika turn ya jamaa akawa anajivutavuta πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

achape kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…