Single mother tumeanza kushindwana na kutishiana maisha kisa mwanaye

Mmh hapo hakuna mke
Hakuna mama mlezi
Hakuna kitu!

Kimbia tafuta mwanamke mwingine hamna kitu humo!
 
Utachoka mkuu, hata hivyo single parenting ni zaidi ya kazi. Binafsi huwa nawasifu sana wanaolea peke yao.
Ila ngumu mno aisee, wengine ndiyo maana tumekomaa na ndoa maana ukifikiria kulea peke yako kichwa kinauma
 
Tatizo sio kitoto tatizo ni wewe kutaka kuoa Single mother.
Jiulize kama Ana Sura, Rangi na umbo ni kwanini aliyetia ujauzito hajamuoa??
Mtoro sana kwenye vikao vyetu .
Single mother ni nyama ya bure kula Tembea.
 
Kuna jamaa yangu kampangia chumba&sebule singo mother wa watoto wawili (miaka 2&4), anasema kupata sex Ni mpaka ajipange Ela ya gesti wakati alikompagia pango kalipia miezi 6. Nae soon anakaribia kutema BUNGO[emoji23]

Nyani anatema BUNGO
 
Moja mtoto sio wake so Hana mamlaka nae kwa vyovyote.


Mbili kama mama yake hakupi ushirikiano unafiikiri anapaswa fanya Nini!?

Mnataka kuwatafutia waku kesi za unyanyasaji na mauaji!?
 
Shida sio mtoto ni huyo mama hata akipeleka mtoto kwa bibi hao wengine mtakawazaa wataharibiwa hvyo hvyo na huyo mama mtu kiufupi hauna mchumba/ mke hapo.
 
Kunamtoto anaitwa hivohivo jinalake na matendo Copyright😂😂
Juz katumwa dukani kapewa elf 5 kaichana katikati alafu anamwambia mamaake shika elayako mama kapokea kampa nyingine😂😂😂
 

Hapa mm mwenyewe ndo sita kuelewa kabsaaaa[emoji23]
 
Hapo na wewe ni wale wale tu, hakuna chochote cha maana waweza shauri kuhusu mahusiano kikaweza kuleta tija.

Ndiyo maana umeishia kumcheka na kumnanga bila kuchangia chochote ama kuelekeza njia za maana ambazo anaweza kuzichukua, kama kweli unaona mwenzako ana mapungufu.

Yeye kaeleza vzuri sana changamoto ya mahusiano yake ili wana forum, tujifunze na tupanuane mawazo.

Kwani jukwaa hili limewekewa mipaka kipi cha kuleta kuchangiwa na kipi cha kuachwa?

Changamoto ya single mom wa namna hiyo hata wewe hauwezi kufanya chochote, sana sana ungelitawaliwa na huyo mwanamke na kuanza kukunyanyasia watoto ama ndugu zako huku wewe umeufyata.
 
Mkuu usirudi nyuma katika tafakuri njema hiyo uliyoichukukua.

Huyo mwanamke hamuwezani, maana dalili njema huonekana asubuhi.

Huyo hawezi kukuletea furaha uliyoitaraji, pamoja na kumuonesha nia yako njema ya kumchukua na kuishi naye, mwenzako mapenzi yake yote yapo kwa mwanaye na siyo kwako wewe baba mlishi, hauwezi kumbadilisha huyo.

Ni bora ukachukua maamuzi magumu kapema.
 
Bro, utatunzaje unaoaje mwanamke mwenye mtoto wa mwanaume mwenzio
 
Huyu mpumbavu tu Achana naye mazima.Kuna kimoja nilikaokota hapa JF nikafikiri mtu wa maana kumbe fala tu.Kinaendeshwa na kitoto Cha miaka saba na upumbavu mwingi.Nilipoanza kukinyoosha kikaniandika hapa JF .Niliktupilia mbali.
 
Miaka yenu ile kulikua na changamoto gani ukioa singo maza?

Kwanza maisha tu ya zamani hayamfanyi mtoto kua mdebwedo, hakukua na smartphones, tv hakuna, mavazi ya hovyo hakuna, adeke adekee nini??
Hata we ukimdekeza mtaa hautamdekeza, tofauti na sasa mtoto haishi na jamii bali familia yake tu, si ajabu hata wewe watoto wa jirani yako huwajui, wao ni ndani tu, cartoons, tamthilia, games ivo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…