Queen Kan
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,226
- 8,961
Heri kujichukulia sheria mkononi[emoji1787]Kibubu kikijaa unapeleka wapi mkuu? Mahusiano hayakwepeki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heri kujichukulia sheria mkononi[emoji1787]Kibubu kikijaa unapeleka wapi mkuu? Mahusiano hayakwepeki.
Utachoka mkuu, hata hivyo single parenting ni zaidi ya kazi. Binafsi huwa nawasifu sana wanaolea peke yao.Heri kujichukulia sheria mkononi[emoji1787]
Hiyo akili inahitajika pale usipohitaji kumlea huyo mtoto, ila kama una nia ya kumlea huwezi tumia njia ya kufukuza. Unadhani angekuwa wake wa kumzaa angefukuza? Angepambana ahakikishe dogo ananyooka.Inahitaji uwe na akili kama ya jamaa. Kulea ubovu ni kulea magonjwa
Wanawake siku zote wana mapungufu ndo maana mwanaume anahitajika. Busara ambayo angeitumia iwapo huyo mtoto angekuwa wa kwake wa kumzaa ndo ilipaswa kutumika, sasa huwezi kuwa nayo mpaka uwe na nia ya dhati ya kubeba jukumu la malezi.busara gan itafanya kaz kama mama yakr anakingia kifua mapunguf ya mwanamke?
Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
Angekuwa wake wangemlea tangia mwanzo, sio huyo kaja na makuzi yake na mama anasimamia hivyo, kama nikweli anaongea hapa sio kwenu au Baba yako angekuwa hai angekununulia hayo ni maneno gani sasa, huyo akakae kwao amlee mtoto wake mpaka awe mtu mzima, hao ndiyo wale mwanaye akioa anataka kumsimamia kijana hata kama anamke akwende tu kwao na mwanaye.Hiyo akili inahitajika pale usipohitaji kumlea huyo mtoto, ila kama una nia ya kumlea huwezi tumia njia ya kufukuza. Unadhani angekuwa wake wa kumzaa angefukuza? Angepambana ahakikishe dogo ananyooka.
Wanawake wanahitahi miongozo ya mwanaume katika malezi, ni suala la kumfanya aelewe na kukusikiliza kuwa nia ni kumlea mtoto wenu katika njia sahihi. Ukimfukuza maana yake humtaki tena.
Umesema vyema mkuuHili somo kwanini vijana hawalielewi? Nyge zinawasumbua sana.
Eti kwa sababu ana sura nzuri, rangi nzuri na umbo zuri.
Angekuwa na Uzuri mwanaume mwingine akamwacha na kutelekeza mtoto wake?
Tabia ni kitu muhimu sana baada ya Kunyanduana.
Kama hujanyandua vizuri utajisemea Tabia mtavumiliana lakini baada ya mnyanduo akili zinarudi kwamba umeoa bomu la mtu.
Umeolewa?Akiwa mjinga ndio yatakuwa ya shida mkuu.
Mbona baba wa kambo wengi wanaishi na watoto wao wa kambo vizuri tu?
Shida ni pale mama asipotaka kukubali yule baba wa kambo asimame kama baba na sheria zake katika malezi zifuatwe.
Yaan awe na nia ya kulea mtoto asie wake? Yaani alianzisha mahusiano lengo likiwa kumlelea mtoto?Hiyo akili inahitajika pale usipohitaji kumlea huyo mtoto, ila kama una nia ya kumlea huwezi tumia njia ya kufukuza. Unadhani angekuwa wake wa kumzaa angefukuza? Angepambana ahakikishe dogo ananyooka.
Wanawake wanahitahi miongozo ya mwanaume katika malezi, ni suala la kumfanya aelewe na kukusikiliza kuwa nia ni kumlea mtoto wenu katika njia sahihi. Ukimfukuza maana yake humtaki tena.
Wewe jamaa upo sahihi kabisa kabisa,Hii kopi hakikisha umemtumia.
Ikiwa utamwoa huyo mamamtoto kwa sharti la kumpeleka mtoto kwa bibi yake utashangaza sana, mbona hizo tabia si za mtoto ni za mama mtu, Mtoto anajifunza kwenye mazingira yake.
Unajua social learning theory?
Huyo mamamtoto hamwendani, na ndiyo maana umeona kero zake kwa kupitia mtoto.
Ukilitia mikwenzi Mama mtoto anakuja juu kumtaja Mwanaume mwingine, shamba lenye mgogoro pasua kichwaSasa baba Ikram unaenda kumchukua lini mtoto wako , Yaan unalikuta litoto halina adabu halafu sio la kwako patamu hapo!!!!!
Sikiliza mkuu kulea mtoto asiye wako ni ngimu hata kama una hio nia itaisha hasa kwa mzazi mpuuzi kama huyo maza. Mtoto wako ikimzaba kofi mama yake hawezi kukujia juu, hata akiwaka ni kawaida tu, ila wa kufikia ukimzaba kofi utaona rangi ya mama yake na huwa wanakimbilia kusema humpendi mtoto wake, kama mtoa mada alivyosema, hapo utaendelea kumnyoosha au utakua unachekacjeka tu kama fala hata kama dogo kakosea na wewe unaungana na mama yake kujichekesha chekesha?Wanawake siku zote wana mapungufu ndo maana mwanaume anahitajika. Busara ambayo angeitumia iwapo huyo mtoto angekuwa wa kwake wa kumzaa ndo ilipaswa kutumika, sasa huwezi kuwa nayo mpaka uwe na nia ya dhati ya kubeba jukumu la malezi.
Jamaa yupo sahihi iwapo hakuwa tayari, kujilazimisha angeteseka sana.
Lengo kula mzigo sasa kakutana na toto sumbufu hadi mzigo anapewa kwa masharti 🥶Yaan awe na nia ya kulea mtoto asie wake? Yaani alianzisha mahusiano lengo likiwa kumlelea mtoto?
Utaambiwa umemwingizia Chupa hawachelewi, kua makini single Mama asije akakubambika kesi ya kupaka na kutawiti mtoto wake chondechonde utaozea seloSasa ivi mfinye mtoto wa mtu uone. Mtoto ukimkalipia tu mzazi anakujia juu. Yaani siku hizi watu wanahisi kuzaa wameanza wao. Ni mfumo wa maisha umebadirika sana, huwezi lea mtoto wa mtu kwa malezi ya kumnyoosha utaqmbiwa humpendi
Na hapo kila mtoto ana Baba yakeKuna jamaa yangu kampangia chumba&sebule singo mother wa watoto wawili (miaka 2&4), anasema kupata sex Ni mpaka ajipange Ela ya gesti wakati alikompagia pango kalipia miezi 6. Nae soon anakaribia kutema BUNGO[emoji23]
Kwahiyo singo Maza wawili mmeshindwanaNlipoanza mahusiano naye sikujali kama ana mtoto nikasema nitampenda hivyo hivyo ila tu anielewe na misimamo yangu. Maana mapema nlimwambia kuwa ni changamoto sana kudate yeye ikiwa hatojielewa.
Mwezi wa 12 akaomba sana aje likizo kukaa kwangu. Nikamwambia hamna shida. Akaja na mtoto wake. Mimi huwa sina ubaya na watoto. Ila sipendi vitoto vinavyodeka na vitundu. Nimepata naye changamoto mpaka nimemwambia HATUWEZI KUENDELEA MBELE. ACHAGUE KUISHI NAMI AU KUISHI NA MTOTO WAKE.
Maana nlimpa option ampeleke kwa bibi yake mimi nitamlipia ada na mahitaji mengine. Akasema anapenda kuwa karibu na mwanaye bibi yake ni mkali kwa watoto. Nikaelewa shida ni huyu mwanamke hana akili ya kulea mtoto. Amejaliwa tu rangi, sura na umbo zuri. Akili hana.
1. Mtoto ana miaka 6 kinadeka kama cha miaka 3. Kinajikojolea mama yake anasema usipokikumbusha kwenda kukojoa kinaona uvivu kinajikojolea hapo hapo kilipo.
2. Ana makelele mtu haukai ukapumzika. Fujo muda wote kinataka kiangalie TV na kinajua kucheza amapiano na singeli. Mama yake anacheka anakapigia makofi na anataka eti tukae kukiangalia kwa huo upuuzi.
3. Mtoto anaangalia michezo ya kiswahili na ile ya kipuuzi ya Azam Tv ya kutafsiri na kinapenda ile mbaya wanakaa kuangalia na mama yake. Mimi hiyo ni kichefu chefu.
4. Mtoto hakitaki kulala mchana muda wote kina fujo na kelele na amekizoesha hadi saa tano kinakuwa hai tu sebuleni.
5. Mtoto hataki kulala room ya peke yake. Amekizoesha kikilala kimkumbatie. Anasema ndo kinapata upendo. So inabidi tulale watatu kitandani na akumbatiane na kitoto chake. Tunatiana kwa nadra sana kwa Timing. Anaamka akinyata na kuniambia nimfuate sebuleni nikapige bao chap chap nirudi tukalale kabla hakijaamka na kuanza kulia.
6. Mkitoka mkaenda sehemu analilia kila kitu kinachoona. Ukikataa kununua mama yake anasema kwa unyonge " basi mwanangu usilie angekuwepo hai baba yako angekununulia. Vumiiia baba" mara tatu namsikia anaongea hayo maneno kama kuniumiza kuwa simjali mtoto wake.
7. Mtoto ameshaharibu vitu vingi ndani na kuvunja. Mama yake anacheka tu na kusema we Ikram usifanye hivyo hapa siyo kwenu.
Kiufupi ni kuwa huyu mama napomwambia kuwa mtoto anatakiwa alale mchana, usiku alale mapema, asiangalie sana TV, sitaki ajikojolee kwenye sofa au kitanda anaona mimi simpendi mwanawe.
Juzi nimemtolea uvivu. Nimemwambia sasa inatosha waondoke arudi akakae na mama yake. Akitaka kuja kwangu asije na mtoto wake. Sitaki kero na sitaki unafiki. Siwezi jifanya nafurahia wakati si kweli. Amelia sana kuwa hakujua sipendi watoto. Nimemwambia tabia za mtoto wake sizipendi na anamlea vibaya. Akiendelea hivyo kitoto either kitakuwa kishoga or kijizi.
Amerudi kwao. Tumeshindwana. Anatuma msg kuwa naonekana mtu mzuri kumbe nina roho mbaya. Yeye atajinyonga tu aniache na roho yangu. Nimemnyanyasa.
Nikipenda Boga nipende na ua lake sijui na nini na nini. Nimemwambia hata mtoto wangu siwezi mruhusu amlee vile.
Wanawake wanaongeaga tu kwa mihemko. Huyo anarekebishika.Angekuwa wake wangemlea tangia mwanzo, sio huyo kaja na makuzi yake na mama anasimamia hivyo, kama nikweli anaongea hapa sio kwenu au Baba yako angekuwa hai angekununulia hayo ni maneno gani sasa, huyo akakae kwao amlee mtoto wake mpaka awe mtu mzima, hao ndiyo wale mwanaye akioa anataka kumsimamia kijana hata kama anamke akwende tu kwao na mwanaye.
Kuwa na nia ya kulea mtoto asiye wako inawezekana mkuu na kuna watu wanalea watoto pasua kichwa na wanapambana nao na sio wa kwao. Ila si jambo la kuiga au kujilazimisha.Yaan awe na nia ya kulea mtoto asie wake? Yaani alianzisha mahusiano lengo likiwa kumlelea mtoto?
Ni kweli, sijasema ni rahisi.Sikiliza mkuu kulea mtoto asiye wako ni ngimu
Wanawake wengi kwenye malezi hufanya upuuzi au makosa ndo maana ni vizuri watoto kupata malezi ya baba na mama.hata kama una hio nia itaisha hasa kwa mzazi mpuuzi kama huyo maza.
Ndo maana nikasema busara inahitajika, fimbo anachapwa na mama yake ataelewa. Huyo mwanamke bado akili ndogo ana mihemko ni vile na jamaa bado kijana na huenda hana mtoto ambaye angekuwepo hapo huyo mwanamke angeona kuwa jamaa si mwonevu bali ni mlezi maana hata mwanae anamtandika akifanya ujinga.Mtoto wako ikimzaba kofi mama yake hawezi kukujia juu, hata akiwaka ni kawaida tu, ila wa kufikia ukimzaba kofi utaona rangi ya mama yake na huwa wanakimbilia kusema humpendi mtoto wake, kama mtoa mada alivyosema, hapo utaendelea kumnyoosha au utakua unachekacjeka tu kama fala hata kama dogo kakosea na wewe unaungana na mama yake kujichekesha chekesha?
Kama zamani iliwezekana hata sasa inawezekana na kuna watu wanalea mkuu.Kulea mtoto asiye wako ilikua zamani sio sasa.
Ni kweli, jamii ilitulea.Zamani ukizingua unagongwa na mzee wa kitaa tu na anakushika mkono kukupeleka home huku unambembeleza asikupeleke home manaa ukifikishwa ni kipondo tena.
Inawezekana ila ni ngumu sana haswa kama wewe huna watoto wa kuonyesha kuwa ni tabia yako kulea watoto kwa mtindo huo.Sasa ivi mfinye mtoto wa mtu uone. Mtoto ukimkalipia tu mzazi anakujia juu. Yaani siku hizi watu wanahisi kuzaa wameanza wao. Ni mfumo wa maisha umebadirika sana, huwezi lea mtoto wa mtu kwa malezi ya kumnyoosha utaqmbiwa humpendi