Single mother tumeanza kushindwana na kutishiana maisha kisa mwanaye

Single mother tumeanza kushindwana na kutishiana maisha kisa mwanaye

Anatulia vipi ilihali mama anamtenganisha mtoto kisaikolojia na mlezi, Kakishakua hatomsikiliza kabisa mlezi wake (baba wa kambo)..Ki ufupi ni kwamba huyo mtoto hapendeki kwasababu ya mama yake na mwanaume mwenye heshima zake hawezi kuona mtoto anaharibika chini ya himaya yake iwe ni wake au sio wake
Na hiyo ndo changamoto kwangu. Mtoto anaharibika mama yake hataki tumtengeneze. Anakuwa mbishi.
 
Samahani before ni coment chochote huwa naangalia jina la aliepost.hii inanipa maana kubwa sana ya kilicho akilini kwake. Back to your topic

Bro ulitakiwa usimame kama baba kwa huyo mtoto. Anza kuwa rafiki nae ili aelewe vitu baadhi hapa baba kachukia hapa baba amekasirika.

Sometimes single mothers sio shida shida ni manna ya kuenda nao.

Umeshawin moyo wa mama yake basi win na moyo wa mwanae. Ifike hatua mtoto aje akuambie kitu kwa furaha hata kama sio wa kwako.

Unalalamika anaangalia Tv lakini ukute mtoto hana hata toys za kuchezea,Bro nunua vifaavya mtoto kuchezea sio vile vile kila siku.

Mtoe kwenye kuangalia tamthilia instead weka katuni angalianae.

KUTAKA KUISHI VIZURI NA MWANAMKE AMBAE HATA MTOTO WAKO MPENDE MWANAE MAANA YEYE UMESHAMPENDA NA HANA SHAKA NA WEWE TENA.
Katuni zipo. Hataki. Toys ni nyingi sana na bado analilia kila anapoziona mpya. Mama yake kazoea mtoto anachotaka anapewa. Akitaka lolote lile apewe ili asione gap ya kumkosa baba yake. Urafiki na kitoto ambacho ukikirekebisha hata kwa kukikataza kitu kinalia utadhani kimefinywa. Si rahisi. Mimi kudekeza siwezi niseme tu kwa uwazi.
 
Kuna jamaa yangu kampangia chumba&sebule singo mother wa watoto wawili (miaka 2&4), anasema kupata sex Ni mpaka ajipange Ela ya gesti wakati alikompagia pango kalipia miezi 6. Nae soon anakaribia kutema BUNGO[emoji23]
***** mimi nilitema mzigo dakika ya pili tu. Mjinga stori zikakolea ananiambia baba Eva mpaka leo ananipenda hata nikimwambia amuache mkewe anirudie mimi anaweza. Nikasema huyu fala degree haimsaidii kabisa
 
Nilichoelewa ni kwamba wewe ni Mbaguzi kimsingi huwezi ishi na single maza achana nae tu, kero za watoto kwa mama ni kawaida na angekua wako ungezizoea pia.
 
Nlipoanza mahusiano naye sikujali kama ana mtoto nikasema nitampenda hivyo hivyo ila tu anielewe na misimamo yangu. Maana mapema nlimwambia kuwa ni changamoto sana kudate yeye ikiwa hatojielewa.

Mwezi wa 12 akaomba sana aje likizo kukaa kwangu. Nikamwambia hamna shida. Akaja na mtoto wake. Mimi huwa sina ubaya na watoto. Ila sipendi vitoto vinavyodeka na vitundu. Nimepata naye changamoto mpaka nimemwambia HATUWEZI KUENDELEA MBELE. ACHAGUE KUISHI NAMI AU KUISHI NA MTOTO WAKE.

Maana nlimpa option ampeleke kwa bibi yake mimi nitamlipia ada na mahitaji mengine. Akasema anapenda kuwa karibu na mwanaye bibi yake ni mkali kwa watoto. Nikaelewa shida ni huyu mwanamke hana akili ya kulea mtoto. Amejaliwa tu rangi, sura na umbo zuri. Akili hana.

1. Mtoto ana miaka 6 kinadeka kama cha miaka 3. Kinajikojolea mama yake anasema usipokikumbusha kwenda kukojoa kinaona uvivu kinajikojolea hapo hapo kilipo.

2. Ana makelele mtu haukai ukapumzika. Fujo muda wote kinataka kiangalie TV na kinajua kucheza amapiano na singeli. Mama yake anacheka anakapigia makofi na anataka eti tukae kukiangalia kwa huo upuuzi.

3. Mtoto anaangalia michezo ya kiswahili na ile ya kipuuzi ya Azam Tv ya kutafsiri na kinapenda ile mbaya wanakaa kuangalia na mama yake. Mimi hiyo ni kichefu chefu.

4. Mtoto hakitaki kulala mchana muda wote kina fujo na kelele na amekizoesha hadi saa tano kinakuwa hai tu sebuleni.

5. Mtoto hataki kulala room ya peke yake. Amekizoesha kikilala kimkumbatie. Anasema ndo kinapata upendo. So inabidi tulale watatu kitandani na akumbatiane na kitoto chake. Tunatiana kwa nadra sana kwa Timing. Anaamka akinyata na kuniambia nimfuate sebuleni nikapige bao chap chap nirudi tukalale kabla hakijaamka na kuanza kulia.

6. Mkitoka mkaenda sehemu analilia kila kitu kinachoona. Ukikataa kununua mama yake anasema kwa unyonge " basi mwanangu usilie angekuwepo hai baba yako angekununulia. Vumiiia baba" mara tatu namsikia anaongea hayo maneno kama kuniumiza kuwa simjali mtoto wake.

7. Mtoto ameshaharibu vitu vingi ndani na kuvunja. Mama yake anacheka tu na kusema we Ikram usifanye hivyo hapa siyo kwenu.

Kiufupi ni kuwa huyu mama napomwambia kuwa mtoto anatakiwa alale mchana, usiku alale mapema, asiangalie sana TV, sitaki ajikojolee kwenye sofa au kitanda anaona mimi simpendi mwanawe.

Juzi nimemtolea uvivu. Nimemwambia sasa inatosha waondoke arudi akakae na mama yake. Akitaka kuja kwangu asije na mtoto wake. Sitaki kero na sitaki unafiki. Siwezi jifanya nafurahia wakati si kweli. Amelia sana kuwa hakujua sipendi watoto. Nimemwambia tabia za mtoto wake sizipendi na anamlea vibaya. Akiendelea hivyo kitoto either kitakuwa kishoga or kijizi.

Amerudi kwao. Tumeshindwana. Anatuma msg kuwa naonekana mtu mzuri kumbe nina roho mbaya. Yeye atajinyonga tu aniache na roho yangu. Nimemnyanyasa.

Nikipenda Boga nipende na ua lake sijui na nini na nini. Nimemwambia hata mtoto wangu siwezi mruhusu amlee vile.
Atakuzalia watoto wajinga huyo. Usiangalie nyuma hata kwa mizizi ya Kigoma
 
Usimtamkie Maneno mabaya mtoto hata kama si wako sometimes maneno huumba. Muombee na umlee katika njia ipasayo muelekeze mfundishe
 
Back
Top Bottom