Single mother tumeanza kushindwana na kutishiana maisha kisa mwanaye

mimi i cant stand mtoto wa kudeka!
Ni mkali kwa wanangu kusema ukweli, tunacheka ,tupeane gud times, ila sitaki ujinga!
mxxxxxie, mtoto wa miaka 6 asiamkie, mtoto wa kulilia kila kitu aseeeh hata akija kwangu usiniletee mtoto unalea kama yai.
Kwangu atafanya kazi kulingana na umri wake.
Tucheze ila atafaaaanya kazi.
utafika muda wa kulala mchana ni atalala,
hutaki nakutandika!, mamako akinuna akuchukue!
Vitu vya kutizama ni vile naona ni sawa, haviko sawa hutatizama
Kwanza TV yenyewe haipo ndani kwangu!
Movie inatizamwa kwenye laptop, only zile movies nimeshazitizama na naona ni child appropriate!
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hii noma
 
Mimi mwenyewe sipendi watoto hasa makelele hapa nini miaka 31 sina mtoto wala sitegemei hata nikipata nitakuwa mbali sana
 
Hii haikubaliki hata kidogo hahaha ,baba ikram anasema kitoto kinakimbilia kulala katikati hahaha

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Kuna jamaa yangu kampangia chumba&sebule singo mother wa watoto wawili (miaka 2&4), anasema kupata sex Ni mpaka ajipange Ela ya gesti wakati alikompagia pango kalipia miezi 6. Nae soon anakaribia kutema BUNGO[emoji23]
Hapo kama unaakili lazima uteme bungo. Haina maana ila jamaa naye ni boya sana watoto wawili unampangia nyumba, unataka uwe unapata nini cha ajabu?
 
Unamrekebishaje au kumwelekeza mama yake hataki anaona unamnyanyasa. Yaani anataka apewe pesa tu malezi hataki. So ni bora niwe sipendi mtoto wake. Acha iwe hivyo niwe huru naye awe huru.
 
upo wrong mkuu , hapa ni sehem ya kujengana na sio kila ttzo utatue mwenyew , ni vzr kushare na watu mikasa yako na way forward yako ili jamii ikuongezee nyama kweny nin cha kufanya

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe kuna wanaume mnaongea sana kiasi hichi au basi...
 
usiwafanye wanawake kama wehu kwamba kila kitu mpk wanyenyekew wkt mafanikio ya mtoto ni ya yeye na baba mzaz tu

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
makosa ya mama mzazi , unajibu km vile hana akili ya malezi , kana ni jukumu la mwanaume kumjenga mtoto kitabia

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…