Single mother tumeanza kushindwana na kutishiana maisha kisa mwanaye

Na hiyo ndo changamoto kwangu. Mtoto anaharibika mama yake hataki tumtengeneze. Anakuwa mbishi.
 
Katuni zipo. Hataki. Toys ni nyingi sana na bado analilia kila anapoziona mpya. Mama yake kazoea mtoto anachotaka anapewa. Akitaka lolote lile apewe ili asione gap ya kumkosa baba yake. Urafiki na kitoto ambacho ukikirekebisha hata kwa kukikataza kitu kinalia utadhani kimefinywa. Si rahisi. Mimi kudekeza siwezi niseme tu kwa uwazi.
 
Kuna jamaa yangu kampangia chumba&sebule singo mother wa watoto wawili (miaka 2&4), anasema kupata sex Ni mpaka ajipange Ela ya gesti wakati alikompagia pango kalipia miezi 6. Nae soon anakaribia kutema BUNGO[emoji23]
***** mimi nilitema mzigo dakika ya pili tu. Mjinga stori zikakolea ananiambia baba Eva mpaka leo ananipenda hata nikimwambia amuache mkewe anirudie mimi anaweza. Nikasema huyu fala degree haimsaidii kabisa
 
Nilichoelewa ni kwamba wewe ni Mbaguzi kimsingi huwezi ishi na single maza achana nae tu, kero za watoto kwa mama ni kawaida na angekua wako ungezizoea pia.
 
Atakuzalia watoto wajinga huyo. Usiangalie nyuma hata kwa mizizi ya Kigoma
 
Usimtamkie Maneno mabaya mtoto hata kama si wako sometimes maneno huumba. Muombee na umlee katika njia ipasayo muelekeze mfundishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…