Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
😂😂😂😂Duh shughuli imekua pevu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂Duh shughuli imekua pevu
Unamaanisha nini Mkuu?
Mtoto ni wako wakati manii yaliyomtengeneza kibailojia ni sio yako ni ya huyo unayempiga bit, 😂 😂.Sahihi kabisa. Yaani angemshughulikia huyo jamaa mpaka aombe poo! Yaani kama Mimi ningesema mtoto ni wakwangu full stop. Alafu ningesema jamaa anaingilia ndoa yangu na nilikuwa namtafuta kitambo sana Kwa kuvuliga ndoa. Aloo! Angekiona Cha mtemakuni.
Kila jambo angepaswa amwambie mumewe hatua kwa hatuaKosa la kwanza alilofanya dada yako ni kutomshirikisha mume wake kuanzia mwanzo Hilo ni kosa kubwa Sana alilofanya angemshirikisha tangu awali jamaa angejua apambane vipi kiume na Kama jamaa yupo vzr kiuchumi angempeleka hata nje ya TZ mtoto akaishi
Anyway pole yake