Single Mother Waheshimiwa. Tyler Perry kasema nusu ya changamoto zao

Ofkoz tambara ni zuri sana kwa wanaopenda muvi zenye hisia za kusikitisha
Taraji P kauvaa haswa uhusika pamoja na meneja wa Bank Sherri na Tayana Taylor aliye cheza kama Detective Raymond

Ila naona kama u β€œsingle mother” unakuzwa sana kwenye hili tambara
Kwangu mimi sioni tatizo kubwa kama ni usingle mother kwasababu wapo masingle mother kibao wana maisha ya chini na watoto kibao lakini wanaishi fresh tu kiubishi ubishi

Tatizo kuu la Janiyah ni kuwa na mtoto mgonjwa ambaye ana changamoto kubwa kumtunza na dawa na matibabu yake ni gharama kubwa mmno kwa mtu wa kipato cha chini kumudu

Nilipokua naangalia movie hii ikanikumbusha movie ya John Q ya Denzel Washington jinsi alivyo lianzisha kuhangaika na mwanae ambaye alikua na ugonjwa wa moyo unaotakiwa kubadilishwa na yeye uwezo hana

Na pia kama umeipenda sana Straw basi angalia na tambara moja linaitwa Breaking kacheza John Boyega
Mshkaji ni mwanajeshi mstaafu mwenye madhara kibao ya vita ambayo yanamfanya anashindwa kumudu kufanya kazi, kipato pekee ni pensheni yake kama muathirika wa vita
Shida ilikuja pale pensheni hiyo ilipo kuja kusimamishwa kiaina na jamaa akawa homeless, ikabidi avamie bank anakochulia malipo yake na kudemand serikali imrudishie malipo yake
Senario ni kama ya Janayah kwenye bank
Inasikitisha sana
 
Hii kweli ,hao ni wabinafsi ,kawaida haifai kuwa na mahusiano na mwanamke mwenye mtoto ambaye sio wako ni wabinafsi sana...


Hapa kuna mdada naangalia status zake ni miaka miwili ila sijawahi kuona picha ya mumewe zaidi ya kupost watoto wake tu .
 
Niliacha mke wangu Nina miaka 50 na watoto wa 4, iliniuma sana maana sikutegemea, alinidharau mno baada ya kutoka nje ya ndoa!
Kwamba ulitoka nje ya ndoa. Mkeo akagundua. Akagoma kukusamehe na akaamua kukuacha. Na upo hapa unamlaumu? 😳

Yeye angekuwa ndiye ametoka nje ya ndoa na wewe ukafahamu ungeweza kumsamehe? Kuna wanawake wachache wanaojitambua na ukivuka their red lines, they will never compromise. Basi kwa vile ulimuoa akiwa singo maza basi ulifikiri unaweza kufanya cho chote hata kutoka nje ya ndoa na hatakuwa na cha kufanya? Ulimuoa kwa kumhurumia usingo maza wake au ulikuwa unampenda?

Pole sana mkuu maana naona bado una maumivu. Jisamehe kwa kutoka nje ya ndoa yako. Msamehe na yeye kwa kutokukusamehe. Rudisha amani yako na uachane na ufurushi.
 

Alitoka yeye, elewa nachosema! Sikujiandaa na kujua anaweza toka bada ya miaka20 ya ndoa, soma andiko na neutral mind, kama nilitoka Mimi namlaumi Nini?
 
Alitoka yeye, elewa nachosema! Sikujiandaa na kujua anaweza toka bada ya miaka20 ya ndoa, soma andiko na neutral mind, kama nilitoka Mimi namlaumi Nini?
Oooh! Sasa nimekuelewa. Nilifikiri wewe ndiyo ulitoka nje ya ndoa maana sentensi yako ni tata na haieleweki. Nenda ukarekebishe.

Kama ni yeye basi huna kosa mkuu. Pole!
 
Yaani ni shida!
 
Oooh! Sasa nimekuelewa. Nilifikiri wewe ndiyo ulitoka nje ya ndoa maana sentensi yako ni tata. Kama ni yeye basi huna kosa mkuu. Alikwenda kupasha kiporo na baby daddy wake ama? Pole!

Hata kueleza ni ngumu, yeye hakuwa single Mama, ila sasa ndo single Mama, Yani alinitoa machozi siku Moja, ngumu sana kusahau!

Wanawake, aisee wanawake, Hapana ndugu yangu, Wanajijua wenyewe kabisa, sio watu wema na wakueleweka hata kidogo, Mungu ndo anajua na anatusaidia.
 
Pole sana aisee. I can feel the pain in your writing. Huna la kufanya maana mapenzi huwa hayalazimishwi na mwanamke akishakuchoka hakuna rangi ambayo utaacha kuona. Hapo usikute hata watoto anawalisha sumu kuwa wewe ndiyo ulikuwa tatizo. Hawakukosea waliosema kwamba kosea kujenga lakini usikosee mwenza!
 

Pole sana Mkuu!

Tatizo wanaume wa siku hizi wamepoteza ule uanaume wao. Sasa huruma ya nini kwa Watu ambao wengi wao wanalipia kwa mambo waliyojisababishia.
 
Pole sana Mkuu!

Tatizo wanaume wa siku hizi wamepoteza ule uanaume wao. Sasa huruma ya nini kwa Watu ambao wengi wao wanalipia kwa mambo waliyojisababishia.

HAlafu huyo mwanaume ni shida tupu, Hana lolote zaidi ya kuwa jobless na mda wa kumpigia simu mpaka mda wa Kazi, wakati Mimi nahangaika kutafuta pesa kwa ajili yao!

Nina watoto wa 3 wa kiume, mmoja wa kike, nawaomba Mungu wa kiume, safari ya mwanaume sio nyepesi, Ninajua Hana idea hata ya 10% ya maumivu aliyonipa.

Anayemwongea single Mama ( ambaye mumewe yupo ) na kumuonea huruma, anaweza kuwa sahihi kama atajua zaidi, ila single Mama wengi, wameacha maumivu Makubwa sana kwa wanaume!
 
Wewe mzee uwe unasoma comment na kuelewa kabla ya kujibu
 
Single mama aachwe tu ateseke hakuna namna. Hawa watu hawafadhiliki halafu wabinafsi mno. Wanachojali ni furaha yao na mtoto basi. Wewe ukiwa naye atakutumia kwa maslahi yake binafsi na sio upendo. Huo watsapp atampost mtoto na kuandika caption za kuonyesha mtoto ndo kila kitu kwake.
 
Kifimbo cheza uko vizuriπŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Brother kumbe kwa huku upo kwa ID hii.?? Halafu Senior Member kabisa πŸ˜πŸ‘
 
Waheshimiwe kwa lipi? Single moms wengi ni umalaya umewafikisha hapo

Acha wavune walichopanda
​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…