Nyamesocho
JF-Expert Member
- May 5, 2023
- 487
- 1,287
- Thread starter
- #21
Wakuje wakuje jamani ya nini wateseke?Haya nendeni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuje wakuje jamani ya nini wateseke?Haya nendeni
Mbona si wakurya anyway kupigana ni makabila yoteView attachment 2981260
Maisha gani ya hivi
Hatutaki single maza wa kuwasiliana na baba wa watoto wake. Unawaita single maza wa daslamu waje kuolewa mara? Yaani mkurya aoe mzaramo? Tena single mother?Slogani yetu sisi wakurya "Tunataka watu,na kitanda hakizai haramu "
Nashangaa mdada unateseka huko uliko kisa huna mume na huwezi kuolewa kisa una watoto wako uliozaa na mwanaume mwingine huku ukiwaza watoto wako wataishije mbeleni?
Sisi Ukuryani tunataka watu,njoo na wanao utaolewa na majina ya watoto wako yatabadilishwa yataiitiwa mwanaume aliyekuoa
Ukoo ,ndugu jamaa na marafiki na sheria za kimila,kiutamaduni na hata za kiserikali zitakutambua Kama mke wa jamaa na urithi utapewa na watoto wako watapewa urithi bila ubaguzi
Ukuryani mtoto wako anatreatiwa na jamaa aliyekuoa kama mwanae wa kuzaa pasu pasu mfano mahitaji ya shule,afya na kumiliki mali
Naona single mama wa Kenya wanatumia fursa hii kuliko watanzania
Enyi single mama wa mliopo Tanzania unasubiri nini,njoo mkoa wa Mara na watoto wako wote ,watapata baba na watafurahia maisha
naongezea,,,ila waje na akili zilizonyooka maana huku kuelekezana ni full mapangaSlogani yetu sisi wakurya "Tunataka watu,na kitanda hakizai haramu "
Nashangaa mdada unateseka huko uliko kisa huna mume na huwezi kuolewa kisa una watoto wako uliozaa na mwanaume mwingine huku ukiwaza watoto wako wataishije mbeleni?
Sisi Ukuryani tunataka watu,njoo na wanao utaolewa na majina ya watoto wako yatabadilishwa yataiitiwa mwanaume aliyekuoa
Ukoo ,ndugu jamaa na marafiki na sheria za kimila,kiutamaduni na hata za kiserikali zitakutambua Kama mke wa jamaa na urithi utapewa na watoto wako watapewa urithi bila ubaguzi
Ukuryani mtoto wako anatreatiwa na jamaa aliyekuoa kama mwanae wa kuzaa pasu pasu mfano mahitaji ya shule,afya na kumiliki mali
Naona single mama wa Kenya wanatumia fursa hii kuliko watanzania
Enyi single mama wa mliopo Tanzania unasubiri nini,njoo mkoa wa Mara na watoto wako wote ,watapata baba na watafurahia maisha
mbuya mura.Slogani yetu sisi wakurya "Tunataka watu,na kitanda hakizai haramu "
Nashangaa mdada unateseka huko uliko kisa huna mume na huwezi kuolewa kisa una watoto wako uliozaa na mwanaume mwingine huku ukiwaza watoto wako wataishije mbeleni?
Sisi Ukuryani tunataka watu,njoo na wanao utaolewa na majina ya watoto wako yatabadilishwa yataiitiwa mwanaume aliyekuoa
Ukoo ,ndugu jamaa na marafiki na sheria za kimila,kiutamaduni na hata za kiserikali zitakutambua Kama mke wa jamaa na urithi utapewa na watoto wako watapewa urithi bila ubaguzi
Ukuryani mtoto wako anatreatiwa na jamaa aliyekuoa kama mwanae wa kuzaa pasu pasu mfano mahitaji ya shule,afya na kumiliki mali
Naona single mama wa Kenya wanatumia fursa hii kuliko watanzania
Enyi single mama wa mliopo Tanzania unasubiri nini,njoo mkoa wa Mara na watoto wako wote ,watapata baba na watafurahia maisha
Kenya kuna wanaume sasa?Mbona single mother wakenya hawakatwi mapanga,acheni kuwaonea wivu,wacheni waje Mara wapate waume