Single mothers hawajali maneno yenu

Niliwahi kuoa single mama kilichonipata ni very sad story ndio napona pona saiv , inshallah namshukuru Mungu sana amenipa mfariji soon naoa tena ,
 
Mh mbn kama kuna watu mnaviziana km konokono humu jmn (kono kono hawana jinsia1 wanazo 2 hivyo ni kuviziana atakaemuwahi mwenzake
 
Mleta mada relax watu wanauzoefu nao ila sio wote wabaya,yaani ktk single mother 1000 , mmoja tuu ndio wife material , hao wengine ni wafanyabishara wa uchi waliopata faida zao , na bado tunawaungisha tuu hatuna roho mbaya , ila idadi yao inatisha kwa sasa jmn naandaa uzi wao nikipata mda niwafundishe kudeal na hii hali ,
 
Sisi tunawapenda Sana sema wengi wenu viburi!!

Halafu conscious sana kana kwamba mnajishuku haraka Ili muonekane hamna shida ya kuolewa kumbe wahitaji!
 
Mtoa mada naona yupo emotional disturbed naona huku kageuza sehemu yakutema sumu zake.
 
Kuolewa sio taji, umewahi kusikia single mother waliondani ya ndoa? Kila kitu wewe. Utatamani ulee tu peke yako ujue moja[emoji2088]‍[emoji3591][emoji2088]‍[emoji3591][emoji2088]‍[emoji3591]
Tutajuaje kama umetokea malezi ya hovyo bila kutuambia. Matokeo yake ndio kauli kama hizi. Ndoa zina wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…