Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Ameonyesha kuwa na uzoefu na malezi.We umejuaje hajatoa mimba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameonyesha kuwa na uzoefu na malezi.We umejuaje hajatoa mimba?
🤣🤣🤣🤣🤣 mnashida sana humu mnastress sana EL msomi nini mtu wa mtu sina watoto naye because hajanioa nimpe k vizuri tuzae bt anawatoto nje ya urafiki
Ndio kwani wanavyo waita single mothers ni malaya na matusi kibao halafu wanaenda kuwapa mimba tenaEi means Emotional intelligence
Then you can't attract what you hate unaitwa wanaume Mbwa then you keep blaming that you a single mom
How comes Mbwa akuoe you will end up blaming Men .
Kwa hiyo mitusi wala hakustahili kuitwa "MKUU"Mbona unatukana matusi sana ?
Tumia lugha nzuri mkuu itapendeza.
Kwa hiyo mitusi wala hakustahili kuitwa "MKUU"
Me mwenyewe ameniporomoshea mitusi kisa tu nimemuuliza kama hao watoto amezaa na baba mmoja au kila mtoto na babaake, 🤣😅
Oi msela Roja niaje?Mada imepamba moto,, kwani single mazas wenyewe wanasemaje
Njemba liko vingunguti iloUlimfanyaje mwali kutoka njombe vijijini
Roja anapenda kumiliki kei 😁Mzee mwenzangu niombee msamaha kwa Msela Roja kanilia bati yaani
Anavizia kijambio cha Roja 😁Doh! Ila mtakua mnajuana nyie waswahili wa Pemba....Mimi simo
😂 😂 😂Roja anapenda kumiliki kei 😁
Sawa unajua kujifariji sio kosa kikatiba na kibiblia,
Thamani ya mwanamke iko katika uchi wake, tofauti na mwanaume.
Kila mtu anafanya matusi kwa sana tu, sema ukizaa mtoto kabla ya ndoa ni doa!
Ni ishara ya;
-kutoka kwenye malezi mabaya ya wazazi/walezi wako
-utukutu/jeuri/kiburi cha kushindwa kusikiliza wazazi/walezi wako
-kufanya mapenzi holela na watu hovyo, na ndio maana hawajakuoa
Na hivyo;
-Watu wa kwanza kukupinga ni wa nyumbani kwako, wazazi/walezi wanakua na uchungu na wewe. hata mifano mibaya unatolewa wewe.yale makosa ya kawaida, kwako itaonekana makubwa zaidi.
-Watu wa pili ni wenzi watarajiwa; kutunza mtoto wa mwingine ni changamoto za kujitakia. usisahau kuna watu wana toka koo zenye roho na tabia za kurithi, zinaweza kuwa mbaya au nzuri.
-mtu wa tatu ni wewe, hata wewe huwezi kufurahi kijana wako wa kiume akuletee mke mwenye watoto!.(Ebu jifanye kukataa)
Kwamba vyema, muhimu na lazima kukwepa kuzaa mtoto/watoto kabla ya muda muafaka, kwepa kuzaa na kulea mwenyewe.
Kuna magumu mengi watu wanayapitia na hawasemi! Mitandaoni watu wanaonyesha furaha tu, ya moyoni wanayajua wao.
Hili la single maza liko kwenye kila familia, hii sio fasheni jamani Hivyo hatuwasemi kwa ubaya.
😅😅 lol.Debe tupu acha zako kelele bure wajikausha sauti, wimbo wa mboso
Asante mpenzi mi sijambo😅😅😅😅 lol.
Nakusalimia jamani.
Bora umeamua kuwa baba wa kambo hayo ndo maamuz mazuriNilitaka ni comment mkuki mmoja wa moyo bahati yako kuna singo maza nammezea mate yuko jf nisije kuharibu mawindo.