Single mothers hawajali maneno yenu

Single mothers hawajali maneno yenu

🤣🤣🤣🤣🤣 mnashida sana humu mnastress sana EL msomi nini mtu wa mtu sina watoto naye because hajanioa nimpe k vizuri tuzae bt anawatoto nje ya urafiki


Ei means Emotional intelligence

Then you can't attract what you hate unaitwa wanaume Mbwa then you keep blaming that you a single mom

How comes Mbwa akuoe you will end up blaming Men .
 
Ei means Emotional intelligence

Then you can't attract what you hate unaitwa wanaume Mbwa then you keep blaming that you a single mom

How comes Mbwa akuoe you will end up blaming Men .
Ndio kwani wanavyo waita single mothers ni malaya na matusi kibao halafu wanaenda kuwapa mimba tena
 
Kwa hiyo mitusi wala hakustahili kuitwa "MKUU"
Me mwenyewe ameniporomoshea mitusi kisa tu nimemuuliza kama hao watoto amezaa na baba mmoja au kila mtoto na babaake, 🤣😅

So anagawa dozi kwa idadi!
 
Sawa unajua kujifariji sio kosa kikatiba na kibiblia,
Thamani ya mwanamke iko katika uchi wake, tofauti na mwanaume.
Kila mtu anafanya matusi kwa sana tu, sema ukizaa mtoto kabla ya ndoa ni doa!

Ni ishara ya;
-kutoka kwenye malezi mabaya ya wazazi/walezi wako
-utukutu/jeuri/kiburi cha kushindwa kusikiliza wazazi/walezi wako
-kufanya mapenzi holela na watu hovyo, na ndio maana hawajakuoa

Na hivyo;
-Watu wa kwanza kukupinga ni wa nyumbani kwako, wazazi/walezi wanakua na uchungu na wewe. hata mifano mibaya unatolewa wewe.yale makosa ya kawaida, kwako itaonekana makubwa zaidi.
-Watu wa pili ni wenzi watarajiwa; kutunza mtoto wa mwingine ni changamoto za kujitakia. usisahau kuna watu wana toka koo zenye roho na tabia za kurithi, zinaweza kuwa mbaya au nzuri.
-mtu wa tatu ni wewe, hata wewe huwezi kufurahi kijana wako wa kiume akuletee mke mwenye watoto!.(Ebu jifanye kukataa)

Kwamba vyema, muhimu na lazima kukwepa kuzaa mtoto/watoto kabla ya muda muafaka, kwepa kuzaa na kulea mwenyewe.
Kuna magumu mengi watu wanayapitia na hawasemi! Mitandaoni watu wanaonyesha furaha tu, ya moyoni wanayajua wao.
Hili la single maza liko kwenye kila familia, hii sio fasheni jamani Hivyo hatuwasemi kwa ubaya.
jamiiforums_20240720_1.jpg
jamiiforums_20240720_2.jpg
jamiiforums_20240720_3.jpg
jamiiforums_20240720_4.jpg
 
Nilitaka ni comment mkuki mmoja wa moyo bahati yako kuna singo maza nammezea mate yuko jf nisije kuharibu mawindo.
Bora umeamua kuwa baba wa kambo hayo ndo maamuz mazuri
 
Hatimaye ma single mother wameoandisha Uzi wa kufarijiana...ila mambo bado sana
 
Fainali uzeeni at the end single mama ula matunda ya watoto wao tofauti na single baba
 
Back
Top Bottom