Single mothers na vilio vya kushangaza

Single mothers na vilio vya kushangaza

Kabisa nawaza me ndiyo single mother halafu mwanaume alete ujinga sijui nimetegesha nadhani vituo vya sheria vingekuwa ni sehemu ya maisha yake ... ningehakikisha anajutia hiyo siku aliyolala na me.. dawa ya moto ni moto
Dunia ya sasa ukizingua wale wanaume ninaowajua uyo mtoto au ata nawewe ikibid mnageuzwa fuso au duka la simu.Chunga sana.
 
Huhitaji dushe?acha kudanganya,ulizaa nae vip kama huhitaji dushe?wewe utakua ni m1 kati ya waliozaa bila ndoa na kugeuza mtoto kama kigezo,uzae usiolewe afu uje utuambie eti huhitaji dushe ni uongo wa kiwango cha juu,na huwaga mna maneno kama mmemeza cd ya taarabu ila mnajua wapi mlipokosea
Me sipo huko ila muache kunyanyasa hao dada zenu .. dushe sI lazima muhimu pesa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yani mpaka nimejikojolea uwiii.. kwa hiyo mkuu we una mke ukapiga ugenini kavu nipe namba ya huyo binti nimfundishe namna ya kuishi na wewe Bila ya mkeo kujua .. .. ila tu hakikisha unaongeza vitega uchumi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa hy pichu imeloa n'kojo, samahani miss ckujua utachii!!

Asee mi na ndom ni maadui, kuliko umipe na ndom bora uninyime tuu kwa kweli.
Ntakupm namba yake usaidie tuu maana anataka kuleta shida, kulea sina tatizo nipo tayari, ila umentisha kusema niongeze kipato, nahofia tuu usijempa mbinu za kutumia mimba/mtoto kama njia kujipatia mijihela.
 
Napendekeza serikali ya awamu ya tano kupitia Wizara husika iunde hata chama maalum kwa ajili ya hawa single mothers kama ilivyo CWT kwa walimu nk. maana wanazidi kuongezeka inabidi wapate taasisi maalumu ya kuwasemea
Taasisi ya kuwasemea tena? Si hawa hawa wanazaa na waume za watu sasa Wanalalama nini?
 
Taasisi ya kuwasemea tena? Si hawa hawa wanazaa na waume za watu sasa Wanalalama nini?
Namna wanavyoongezeka kwa kasi nahisi miaka kama 10 ijayo watakuwa wengi zaidi na watatakiwa kuwa handled kama special group hivyo ni vyema wizara inayoshughulika na maendeleo/ustawi wa jamii ikaanza kujipanga mapema
 
Ubinafsi wa wanaume Kama ulivyouonesha hapa Ndio Tatizo linalotuletea jamii yenye watoto wakatili na tabia nyingine Za ajabu Kwa kukosa Malezi yaliyotimia. Wengine Hata mna familia Bado hamjali maradhi Eti hutumii kondom mpk mwanamke aseme mnajiua wenyewe na mnaua Wengine na kuacha watoto wasio na muelekeo.
Be a man, be responsible .
Ndo maana Wengine wanahangaika hawafanikiwi, na laana zinachangia Kwa kukataliwa na baba zao na Wengine wenyewe kukataa watoto wao.
Umenikumbusha Bible mwanzo 3;12.binafsi nilishatoka hapo huwa sibebeshi mtu mzingo wa ujinga wangu nawashauri muache pia by any means ulichangia hiyo mimba kupatikana.si vema kumlaani mwenzio as if hukujua unafanya nini.
 
The Boss mkuu katika hii dunia tuliyoko kwanza kuna magonjwa mengi yasiyotibika, kuna HIV, herpes ect, kinga bora kwa magonjwa haya ni condom. Mpaka umefikia kuwa kwenye mahusiano ambayo mnaplay safe sex inamaana mmeshaaminiana na mwenza either mmepima, wote mmerithia mmko salama au liwalo na liwe.

Sasa inapotokea liwalo na liwe utalaumu vipi ulitegeshewa mtoto? Sasa hivi kuna morning after pills ambazo zinauwezo wa kuharibu mbegu katika muda wa masaa 72 baada ya sex.
mkuu wengine mnaongea kabisa kuwa si muda muafaka kuwa na mtoto lakini anaamua yeye halafu utaisikilizia shughuli yake ninao mfano kwa mtu wa karibu sana.
 
Steve Bing ni mMarekani mfanyabiashara tajiri, alijidai yeye ni senior Batchelor, alimdate actress mwingereza Elizabeth Hurley, walikwenda for a week break kwenye romantic place, Liz alijua kabisa yuko kwenye danger days, baada ya romance za wiki, mimba ilikamata, Steve alipinga sana kuwa mimba si yake, Liz alimdanganya kuwa yuko kwenye pills, baada ya siku aibu imemkuta DNA test imeprove mtoto ni wake.

Kutokana na pesa ya jamaa, Liz na mtoto wanavuta £1million kwa mwaka kama child support kutoka kwa Steve na Damiani ni mtoto pekee wa Steve Bing mpaka sasa hivi na ndiye mrithi wa mali zote za baba yake.

Msituone ni wajinga tukiona opportunity tunazitumia pia.
mkuu na hapa ndiyo kwenye tatizo wa hii mitego.
 
Huo ndio ujinga wao ..lkn sio km hawajui danger days..mtu umesoma mpk chuo kikuu unashindwa kujua danger days?? simpo biology hiyo..mpk wamamawa mtaani wanajua...
labda kuna wale amabao mzunguko wao hauko sawa ndio tunaweza tusiwalaumu...
Lkn kuna pipo kbs nazijua..eti nnatamani mtt ngoja nitafute mtu nibebe mmh
tatizo wanaume wanasema tuzae ila ukishabeba mimba wanakuja kugeuka
 
mkuu wengine mnaongea kabisa kuwa si muda muafaka kuwa na mtoto lakini anaamua yeye halafu utaisikilizia shughuli yake ninao mfano kwa mtu wa karibu sana.
Wewe kama mwanaume, unajua kabisa kama si muda muafaka vaa condom, usiamini kabisa kuambiwa niko kwenye pills sijui safe days, take control of it yourself.
 
Kabla kichwa cha chini hakijaanza kufanya kazi ufikirie kwanza mkuu.
ni sahihi lakini kila kitu ni makubaliano between the couple ila mmoja akifanya ubinafsi inaweza haribu future though you're right.
 
ni sahihi lakini kila kitu ni makubaliano between the couple ila mmoja akifanya ubinafsi inaweza haribu future though you're right.
Mkuu moyo wa binadamu ni kichaka, wewe unaweza kuwa na plans nyingine na mwenzako ana plans nyingine za maisha yake lakini kwa gharama ya maisha yako.
 
Wewe kama mwanaume, unajua kabisa kama si muda muafaka vaa condom, usiamini kabisa kuambiwa niko kwenye pills sijui safe days, take control of it yourself.
ni kweli ila usaliti si kutoka nje tu bali hata kuvunja makubaliano pia ni usaliti ambao athari zake mkuu the boss amezieleza pale juu.
 
Kuchagua ni muhimu, siwezi kuolewa na MTU tu just becoz I need to get married...I need MTU ntayempenda...masuala ya ilimradi haya yanakuaga na kasumba za aina yake
Wenzako nao walisema ivo ivo.
Ngoja menopause ianze kusongea, hizo nyodo huwa zinapotea.
 
Mkuu moyo wa binadamu ni kichaka, wewe unaweza kuwa na plans nyingine na mwenzako ana plans nyingine za maisha yake lakini kwa gharama ya maisha yako.
sasa hapo ndipo the mwenye busara atawajibika na asiye na busara liwalo na liwe.
 
Back
Top Bottom