Single mothers na vilio vya kushangaza

Single mothers na vilio vya kushangaza

Hahaha hahaha
Watoto ni zawadi toka kwa Mungu
Ukitaka uwe happy just ignore the dead beat father and raise ur kid
Just show him he is just a sperm donor
kweli mtu uzae wakati umejipanga hesabu umekutana na sperm donor akitoa hela hesabu tu ni bonus .hao mabwege na malofa yasitutishie mfyuuuu
 
And thats wht people shud understand.
Ila Mkuu ongezeni umakini na msimamo maana mimba mnapata nyie,kichef chef nyie,uchungu ya kuzaa nyie, kulea nyie

Sadly ukikaa vibaya jamaa anakutelekeza na mtoto, you have a lot to lose so I expect you to be a little bit cautious
 
kweli mtu uzae wakati umejipanga hesabu umekutana na sperm donor akitoa hela hesabu tu ni bonus .hao mabwege na malofa yasitutishie mfyuuuu
Mkuu upo?? Mara ya mwisho nliona unaaga humu jamvini!!!

Sina wasiwasi na wewe kwenye hii mada maana uliahidi mwaka huu afe kipa afe beki hutoi papuchi

Haha
 
Ila Mkuu ongezeni umakini na msimamo maana mimba mnapata nyie,kichef chef nyie,uchungu ya kuzaa nyie, kulea nyie

Sadly ukikaa vibaya jamaa anakutelekeza na mtoto, you have a lot to lose so I expect you to be a little bit cautious
Na wanaume unawashauri watelekeze tu damu zao eti?
 
Mimba ya bahati mbaya ni ulobakwa tu.
Kama hataki ndom then vaa boksa yako sepa maana hutaki kulala mlango wazi ukaibiwa.
responsibility aliyonayo mwanaume in such circumstance ni malez ya mtoto tu.hzo habar za ndoa c za lazima.
soo ikitokea kagoma kutumia ndom m ntakula mzigo ikitokea mimba nitalea mtoto over.
 
Even putting on a rubber isn't 100%, man. It's crazy. Can't be too careful.

Just that, no man should get nasty with a mama and cry when she turns out knocked up. Nor mamas should cry when a brotha walks out.
Ww hujui kiswahili?
 
The Boss mkuu katika hii dunia tuliyoko kwanza kuna magonjwa mengi yasiyotibika, kuna HIV, herpes ect, kinga bora kwa magonjwa haya ni condom. Mpaka umefikia kuwa kwenye mahusiano ambayo mnaplay safe sex inamaana mmeshaaminiana na mwenza either mmepima, wote mmerithia mmko salama au liwalo na liwe.

Sasa inapotokea liwalo na liwe utalaumu vipi ulitegeshewa mtoto? Sasa hivi kuna morning after pills ambazo zinauwezo wa kuharibu mbegu katika muda wa masaa 72 baada ya sex.
Duh!
 
Steve Bing ni mMarekani mfanyabiashara tajiri, alijidai yeye ni senior Batchelor, alimdate actress mwingereza Elizabeth Hurley, walikwenda for a week break kwenye romantic place, Liz alijua kabisa yuko kwenye danger days, baada ya romance za wiki, mimba ilikamata, Steve alipinga sana kuwa mimba si yake, Liz alimdanganya kuwa yuko kwenye pills, baada ya siku aibu imemkuta DNA test imeprove mtoto ni wake.

Kutokana na pesa ya jamaa, Liz na mtoto wanavuta £1million kwa mwaka kama child support kutoka kwa Steve na Damiani ni mtoto pekee wa Steve Bing mpaka sasa hivi na ndiye mrithi wa mali zote za baba yake.

Msituone ni wajinga tukiona opportunity tunazitumia pia.
Huchelewi kusema ni shoga yako.
 
Unakuta mdada alitoa mimba za kutosha
halafu anazaa na mtu anaanza kulalamika alirubuniwa

Hataki kusema ukweli alizaa kwa utashi wake pengine kamtegea huyo mtu
Kauli za umenichezea au umenipotezea muda kwa upande ule ni za kufikia tu . Sio wote ila wengi wao wamewekeza hapo magoli ya offside au kama penye draft tunaita force king (fosi kingi )ni kawaida wanajua ukimpa ujauzito basi maisha yanasonga ndio utata hutokea hapo
 
Back
Top Bottom