Single mothers na vilio vya kushangaza

Kabisa nawaza me ndiyo single mother halafu mwanaume alete ujinga sijui nimetegesha nadhani vituo vya sheria vingekuwa ni sehemu ya maisha yake ... ningehakikisha anajutia hiyo siku aliyolala na me.. dawa ya moto ni moto
Dunia ya sasa ukizingua wale wanaume ninaowajua uyo mtoto au ata nawewe ikibid mnageuzwa fuso au duka la simu.Chunga sana.
 
Me sipo huko ila muache kunyanyasa hao dada zenu .. dushe sI lazima muhimu pesa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa hy pichu imeloa n'kojo, samahani miss ckujua utachii!!

Asee mi na ndom ni maadui, kuliko umipe na ndom bora uninyime tuu kwa kweli.
Ntakupm namba yake usaidie tuu maana anataka kuleta shida, kulea sina tatizo nipo tayari, ila umentisha kusema niongeze kipato, nahofia tuu usijempa mbinu za kutumia mimba/mtoto kama njia kujipatia mijihela.
 
Napendekeza serikali ya awamu ya tano kupitia Wizara husika iunde hata chama maalum kwa ajili ya hawa single mothers kama ilivyo CWT kwa walimu nk. maana wanazidi kuongezeka inabidi wapate taasisi maalumu ya kuwasemea
Taasisi ya kuwasemea tena? Si hawa hawa wanazaa na waume za watu sasa Wanalalama nini?
 
Taasisi ya kuwasemea tena? Si hawa hawa wanazaa na waume za watu sasa Wanalalama nini?
Namna wanavyoongezeka kwa kasi nahisi miaka kama 10 ijayo watakuwa wengi zaidi na watatakiwa kuwa handled kama special group hivyo ni vyema wizara inayoshughulika na maendeleo/ustawi wa jamii ikaanza kujipanga mapema
 
Umenikumbusha Bible mwanzo 3;12.binafsi nilishatoka hapo huwa sibebeshi mtu mzingo wa ujinga wangu nawashauri muache pia by any means ulichangia hiyo mimba kupatikana.si vema kumlaani mwenzio as if hukujua unafanya nini.
 
mkuu wengine mnaongea kabisa kuwa si muda muafaka kuwa na mtoto lakini anaamua yeye halafu utaisikilizia shughuli yake ninao mfano kwa mtu wa karibu sana.
 
mkuu na hapa ndiyo kwenye tatizo wa hii mitego.
 
tatizo wanaume wanasema tuzae ila ukishabeba mimba wanakuja kugeuka
 
mkuu wengine mnaongea kabisa kuwa si muda muafaka kuwa na mtoto lakini anaamua yeye halafu utaisikilizia shughuli yake ninao mfano kwa mtu wa karibu sana.
Wewe kama mwanaume, unajua kabisa kama si muda muafaka vaa condom, usiamini kabisa kuambiwa niko kwenye pills sijui safe days, take control of it yourself.
 
Kabla kichwa cha chini hakijaanza kufanya kazi ufikirie kwanza mkuu.
ni sahihi lakini kila kitu ni makubaliano between the couple ila mmoja akifanya ubinafsi inaweza haribu future though you're right.
 
ni sahihi lakini kila kitu ni makubaliano between the couple ila mmoja akifanya ubinafsi inaweza haribu future though you're right.
Mkuu moyo wa binadamu ni kichaka, wewe unaweza kuwa na plans nyingine na mwenzako ana plans nyingine za maisha yake lakini kwa gharama ya maisha yako.
 
Wewe kama mwanaume, unajua kabisa kama si muda muafaka vaa condom, usiamini kabisa kuambiwa niko kwenye pills sijui safe days, take control of it yourself.
ni kweli ila usaliti si kutoka nje tu bali hata kuvunja makubaliano pia ni usaliti ambao athari zake mkuu the boss amezieleza pale juu.
 
Kuchagua ni muhimu, siwezi kuolewa na MTU tu just becoz I need to get married...I need MTU ntayempenda...masuala ya ilimradi haya yanakuaga na kasumba za aina yake
Wenzako nao walisema ivo ivo.
Ngoja menopause ianze kusongea, hizo nyodo huwa zinapotea.
 
Mkuu moyo wa binadamu ni kichaka, wewe unaweza kuwa na plans nyingine na mwenzako ana plans nyingine za maisha yake lakini kwa gharama ya maisha yako.
sasa hapo ndipo the mwenye busara atawajibika na asiye na busara liwalo na liwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…