Single mothers na vilio vya kushangaza

ni kweli ila usaliti si kutoka nje tu bali hata kuvunja makubaliano pia ni usaliti ambao athari zake mkuu the boss amezieleza pale juu.
Mkuu kama si mke wako wa ndoa itakuwaje ujiachie mpaka, kwanza mtoto anaweza asiwe wa kwako huoni kama unarisk sana kufanya unprotected sex kwa partner/girlfriend?
 
Mkuu kama si mke wako wa ndoa itakuwaje ujiachie mpaka, kwanza mtoto anaweza asiwe wa kwako huoni kama unarisk sana kufanya unprotected sex kwa partner/girlfriend?
nina cases mbili za moja wanandoa na wasio wanandoa ila kwa sababu fulani siwezi ziweka hapa ila inaharibu vitu vingi ikiwemo kuvunja hata ujamaa wa watu kwa ajili ya usalit/kuvunja makubaliano.
 
nina cases mbili za moja wanandoa na wasio wanandoa ila kwa sababu fulani siwezi ziweka hapa ila inaharibu vitu vingi ikiwemo kuvunja hata ujamaa wa watu kwa ajili ya usalit/kuvunja makubaliano.
Kwa wanandoa sielewi tatizo linakuwa wapi, all in all men are responsible for their actions as well as women.
 
Nice girl/woman, hv unajua kabisa leo noma halafu naomba gemu unanipa tena kavu wala hunambii kama Uko danger days aise sihitaji mtoto ambaye hutujamjadili b4 naomba uwaelimishe na wenzio ,Mungu atakusaidia
 
responsibility aliyonayo mwanaume in such circumstance ni malez ya mtoto tu.hzo habar za ndoa c za lazima.
soo ikitokea kagoma kutumia ndom m ntakula mzigo ikitokea mimba nitalea mtoto over.

Unaonaje akikataa kutumia ndom na hauna plan yoyote ya kumuoa basi uachane nae tu. Uje uteleze kwa yule ulo na plan nae!! Maana hapa victims ni watoto jamani hebu kabla hatujajitoa ufahamu tuwafikirie na tuache ubinafsi.
 
Wapo wengi nowadays anaamua hataki kuolewa
anazaa tu na mtu but hataki ndoa

tembea uone

na wapo ambao anazaa na mtu kwa uamuzi wake tu binafsi
bila kumshirikisha anaetaka kuzaa nae
unajua twaweza bisha ila ndo ukweli wenyewe. hvi vitu vimeshamiri sana na shida ni manyanyaso ya ndoa zenyewe.
Unakuta michepuko inapata raha zaidi ya walio ndoani so y ununue the whole pig while there are a lot of sausages out there.

hahhahaha jst kidding bhana msinitupie mawe.
 
Wanawake wenzangu jamani tuwe makini na hawa viumbe, its about time sisi ndio tuishi nao kwa akili maana hali sio hali tena. Mwanaume sio ndugu yako,just through hizi threds unapata picha ya ni aina gani ya wanaume tunaodeal nao. So akili kumkichwa, zaa kwakuwa umeamua na una uwezo wa kumlea huyo mtoto, huyo sperm donor mpotezee tu, akiona bora amlee mwanae its okay.

Ila kabla ya kuchukua maamuzi hayo pia basi utafakari pia kuhusu huyo mtoto atakayezaliwa, ni aina gani ya maisha unataka aishi, is it worth it?
 
Warning yako umeitoa too late
 

DADA TATIZO HIVYO VICHWA VYA CHINI VIKISHA SHIKA NETIWEKI AKILI HAZIFANYI KABISA,
 
Hii thread imenifurahisha sana
Na kunifunza zaidi
Binafsi nilizaa na mtu sikuhitaji ndoa ila amlee mtoto,alinipa head ache kibao until I came to realise the boy is mine and am his super mom
Nikampotezea mazima,nikawa busy raising my prince
Uzuri Mungu kanibariki kaajira kangu na vitega uchumi kadhaa,thanks lord
Mwaka umeisha kaona sina time naye akaanza jirudisha ohhh tusahau yalopita tulee mwanetu,nikamjibu nani hiyo?trust me since I had my boy hajui hata color of my pants
Kwaaibu kaenda ongea na mashost ohh ongeeni na mwenzenu tumlee mtoto,I said kumtunza hujanyimwa bt you will never enter my bedroom forever
Trust me I love my boy na kalivyo kacute sasa,saivi Niko na baba mlezi tuna kalea bila bugudha,kako pre nursery sasa
Bt kuzaa tena mmhhh
Nakula ujanaa
So single moms out there msivunjike moyo,yes you can!!!
 
Huu uzi wanawake mmeubaka mpaka mmepindisha maudhui halisi ya uzi.
 

Na akipata mtoto ndipo mwanaume unakumbuka zile takwimu za mkemia mkuu wa serikali - vipimo vya DNA vinaonyesha karibia nusu ya wanaume wamesingiziwa watoto!
 
Na wote wanadai waliahidiwa matunzo au ndoa
wakati wengi tu huamua wenyewe

em pia tuwaze.... maana ya watu hawa kwenda kavu kavu nini??? maana mwanamke kupata mimba ni moja ya matokea ya mwanaume kuacha mbegu zake.. sasa hapo si pia mwanaume hakuwaza matokeo... kwenye mimba nalaumu wote walifanya mambo bila kufikiria... na wote wanatakiwa kuchukua jukumu lao.. mwanamke ana haki ya kulia lia kama kaachiwa mzigo peke yake... hata kama alitaka mwenyewe na mwanaume should have thought kabla kwamba kuna uwezekano wa kuwa baba baada ya tendo
 
Napendekeza serikali ya awamu ya tano kupitia Wizara husika iunde hata chama maalum kwa ajili ya hawa single mothers kama ilivyo CWT kwa walimu nk. maana wanazidi kuongezeka inabidi wapate taasisi maalumu ya kuwasemea
KABISA ETI, HII NI ANOTHER VULNERABLE GROUP IMEONGEZEKA KWENYE SOCIETY AND WE NEED TO PLAN AROUND IT JUST LIKE OTHER GROUPS OF, WIDOW/ERS, ORPHANS, DISABLED, etc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…